IGP Mwema keshaanza kuzungumza na wanahabari?

Kyachakiche

JF-Expert Member
Feb 16, 2009
983
207
Wanajf nawaombeni mtujuze yanayojiri kwenye mkutano wa IGP Mwema na wanahabari kama alivyoahidi jana. Ikumbukwe kuwa alipigwa maswali mengitu mojawapo likiwa ni hatua gani jeshi la polisi limechukua baada ya kukabidhiwa barua ya Dr Mwakyembe aliyelalamika kutaka kuuawa. Atakayekuwepo atupe taarifa tafadhali.
 
Back
Top Bottom