IGP Mangu: Sina taarifa juu ya agizo la Rais kumpandisha cheo askari

Kwa mbali naona siku za Mangu zikizidi kupungua siku hadi siku kukalia hicho kiti.!
Mkuu naona IGP yuko sahihi nchi inaendeshwa kwa document, nilitegemea katibu mkuu kiongozi aandikie mamlaka ya jeshi la Polisi kumpandisha cheo then jeshi hilo lifuate taratibu za kumpandisha mtu cheo.
 
Asante sana .
 
Maandishi ambayo ni ushahidi yako wapi ?
Kauli pia ni ushahidi tosha. Hapo ni Amiri Jeshi Mkuu katoa amri, bahati mbaya hawakumuonyesha IGP wakati Rais akitamka maneno yale lakini kwa heshima ya Kijeshi lazima IGP alisimama na kupiga saluti. Hapo maana yake ni kwamba aliipokea amri ya mkuu wake. Hili la kusema hana taarifa sijui linatoka wapi.
 
MNAPOTEZWA NA CHEO NA NYIE MNAPOTEA, KUNA KESI YA KUZUIA ASIKARI KUFANYA KAZI YAKE, HIYO ILITAKIWA IWE YJ KWANZA
Hii simu yako nadhani mwisho ni June

Kauli ya raisi ni ya kwanza nyuma ya taratibu zenu amri jeshi mkuu anatoa tamko unaanza tena kujifalagua ala.
Siamini kama IGP kayasema hayo maneno. Hakuna haja kwa kiongozi mkuu wa Polisi kupinga kauli ya Amiri Jeshi Mkuu. Manake alikuwepo kikaoni na akasikia amri ikitolewa (jeshini anaposema mkubwa hakuna agizo ama ombi bali amri). Sasa leo anasema (kama kweli) kwamba hana taarifa!! Kawaida Amiri Jeshi akitoa amri basi IGP alitakiwa asimame na kupiga salute kuitikia amri (nadhani ndivyo alivyofanya).

Rais alipokuwa akifunga mafunzo kule Arusha alitoa amri kwamba vijana wa JKT wa kujitolea walioshiriki yale mafunzo waajiriwe na JWTZ bila shaka amri hiyo inatekelezwa na hata kama ni makaratasi walitafuta huko kimyakimya lakini CDF ambaye alikuwepo pale asingeweza kusema hana taarifa!!!
 
Au labda amenukuliwa vibaya .
 
Kama ni kweli Mangu ametamka basi hafai kuwa IGP maana katika viapo vya kijeshi kuna kipengele kinasema nitamtii Amiri jeshi mkuu maana yake ni kwamba ni lazima utii na kutekeleza maagizo yake.
 
Naamini kanukuliwa vibaya. Hawezi kusema neno kama hilo ambalo linaonyesha waziwazi kwamba anapingana na Amiri Jeshi Mkuu. Nadhani kesho atatoa taarifa kukanusha vinginevyo tutaamini kwamba kasema hayo maneno na kama kayasema hatafaa kuendelea kuwa IGP kwa kuwa amepingana na CiC hadharani kitu ambacho hakikubaliki katika nidhamj ya jeshi lolote lile duniani.
 
Haaa! Wakubwa 'wamesharoga dili hiyo'. Itakuwa wa mambo ya nje kamwandikia kimemo wa mambo ya ndani kuongeza mashariti ya kumdhibiti adui!
 
Mkuu naona IGP yuko sahihi nchi inaendeshwa kwa document, nilitegemea katibu mkuu kiongozi aandikie mamlaka ya jeshi la Polisi kumpandisha cheo then jeshi hilo lifuate taratibu za kumpandisha mtu cheo.
Kwani agizo alilitoa kwa km kiongozi?
 
Hivi majuzi Kabwe alivyotumbuliwa jipu in public wakati wa uzinduzi wa daraja la Kigamboni watakuwa wanasubiri barua siyo??
Kamuulize!
Hakusikia anasena hana taarifa. Kama kaondoka, maana yake kaipata kwa njia moja au nyingine. Kule sio jeshini. Immediate boss wake anaweza kumwambia verbally na barua ikafuata.
 
Back
Top Bottom