Ndio vizuri hutakiwi kuwa na uhakika na nafasi ya uteuzi.Bora kuuza genge kuliko kufanya kazi na JPM maana hujui kesho ataamka vipi
Ndio vizuri hutakiwi kuwa na uhakika na nafasi ya uteuzi.Bora kuuza genge kuliko kufanya kazi na JPM maana hujui kesho ataamka vipi
Rais anaunda kitengo maalum cha uchunguzi wa uhalifu mangu atakuwa boss mkuuso huyu Mangu ndo anakua retired hata uaskari wa kawaida ama? mjuzi anisaidie please
Kama umeteuliwa kwenda kulalana kusubiria mshahara inakula kwako bora utafute kazi nyingine ya kufanyaBora kuuza genge kuliko kufanya kazi na JPM maana hujui kesho ataamka vipi
Hussein Mwinyi akiwa Waziri wa Nishati na Madini,tutapigwa mno maana yupo yupo tu hajulikani anafanya kazi ganiMabadiliko madogo
Ulinzi na jeshi la kujenga taifa Ernest mangu
Nishati na madini Dr Hussein Mwinyi
......stay tune