IGP Mahita: Said Mwema alipewa u-IGP kwa figisu

IGP mstaafu, ndugu Omary Mahita, amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari, akidai, kuteuliwa kwa mrithi wake ndugu Said Mwema kuligubikwa na figisu za kujuana baina ya Kikwete na Mwema

"Mapendekezo yangu yalikuwa Adadi ama Mwansasu. Huenda kwa sababu Mwema alikuwa ameoa kwenye ukoo wa Kikwete, pengine uteuzi wake ulihanikizwa nalo, labda. Na hata Kikwete alinitamkia bayana, mimi nibaki kupendekeza Makamishina pekee na u-IGP nimwachie yeye na niliamua kuondoka zangu". Mahita

Duh, huyu mzee mbona anafunguka namna hii, anakaribia kukata moto nini? Anaonekana yupo kwenye state nyingine kabisa kiroho.
 
Saidi mwema atajisikiaje?.lakini watu wengi wanamsifu saidi mwema kwa uzalendo hivi ni kweli alikuwa mzalendo?
Alihakikisha PGO inakua uraiani, askari wajue utendaji wao wa kazi, na raia wafahamu mipaka na namna utakelezaji wa kazi za kipolisi unavyofanyika. Kabla ya hapo PGO ilikuwa imefichwa sana, na mpaka leo askari polisi bado hawaifahamu kabisa. Matokeo ndio vichekesho mahakamani wanapokutana na maswali kutoka kwa Wakili nguli Peter Kibatala na wenzake.
 
Pamoja na kwamba Saidi Mwema alibebwa ila alikua IGP mzuri kulinganisha na wengine
Hakubebwa, alikuwa na sifa tena za ziada.
Police walikuwa na tabia ya kupeana vyeo na kupendekezana kirafiki, Mahita naye alitaka kufanya kitu kama hicho cha kumpendekeza mtu aliye karibu naye, alishindwa, Said Mwema lilikuwa chaguo sahihi kabisa.
 
IGP mstaafu, ndugu Omary Mahita, amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari, akidai, kuteuliwa kwa mrithi wake ndugu Said Mwema kuligubikwa na figisu za kujuana baina ya Kikwete na Mwema

"Mapendekezo yangu yalikuwa Adadi ama Mwansasu. Huenda kwa sababu Mwema alikuwa ameoa kwenye ukoo wa Kikwete, pengine uteuzi wake ulihanikizwa nalo, labda. Na hata Kikwete alinitamkia bayana, mimi nibaki kupendekeza Makamishina pekee na u-IGP nimwachie yeye na niliamua kuondoka zangu". Mahita

Wanaendelea kuvuana nguo taratibu
 
Hana chakupoteza sasahv na hawan chakumfanya wacha aropoke
 
Saidi mwema atajisikiaje?.lakini watu wengi wanamsifu saidi mwema kwa uzalendo hivi ni kweli alikuwa mzalendo?
Mapolisi waliofanya kazi naye wanasema Said Mwema alilipeleka jeshi kwa standards fulani za kufuata GPO (General Police Order)hivi ambazo kwa sasa zinapotea.

Said Mwema alifanya kazi mpaka Interpol kwa hiyo alijua upolisi wa kimataifa sio kama hawa kina Mahita wamepeea u IGP kwa kupigapiga wapinzani Arusha.
 
Mshana, Mahita akiwa nje ya Gwanda ni mtu mmoja safi sana, tokea akiwa IGP. Ila alipokuwa kazini amevaa Gwanda ahhh ni kauzu.

Miaka fulani huko nlichezaga faulo fulani sasa nikasema niende nikamuone tuone namna ya kulimaliza; nikampigia simu kweli akanipa appointment maana alishanijuwa mimi mtoto wa mzee fulani maana si alikuwa anajuana na mzee.

Mzee alimjua Mahita tokea yuko Mwadui, Mkuu wa police post huko Mwadui na mzee wangu Mwadui mine alikuwa taita.

Sasa kosa langu nlimzunguka mzee wangu nkamfata mzee Mahita bila mshuwa kujua.

Ahh kumbe Mahita alimtonya mzee mwanao kaja alikuwa na 1,2,3 😄 msala
Mzee Mahita akanisikiliza, ahh nlijikuta napelekwa central 😄 pale nlikaa siku 3 baadae nkatolewa.

Badaye mambo yalimalizwa juu juu ila adabu walinionjesha, nkajua mshuwa ndiye aliagiza waninyooshe

Ova
Watoto wa kishua kwa kudeka
 
Ila pamoja na yote aliosema ya ukatili sijui nini, mie nadhani kwa kazi yake ile ya IGP ukiwa mzembe mzembe utadharauliwa. Nadhani yupo sahihi hamna mtu mtimilifu chini ya jua na haswa linapokua ni suala la kazi. Mahita alikua mkuu wa polisi Mwadui mwaka gani??? Mie pia nilikaa Mwadui kitambo, mkuu wa polisi wa mwisho kabla ya kuondoka alikua yule mtu wa Singida alieuliwa kwa kuwekewa sumu kwenye kinywaji chake.
Ila serikali nyingi za Africa wanapeana madaraka kishkaji sana, kwa bongo serikali ya Kikwete ilijaa washkaji na ndugu wa karibu, ile ilikua kijiwe cha washkaji.
 
IGP mstaafu, ndugu Omary Mahita, amenukuliwa na vyombo mbalimbali vya habari, akidai, kuteuliwa kwa mrithi wake ndugu Said Mwema kuligubikwa na figisu za kujuana baina ya Kikwete na Mwema

"Mapendekezo yangu yalikuwa Adadi ama Mwansasu. Huenda kwa sababu Mwema alikuwa ameoa kwenye ukoo wa Kikwete, pengine uteuzi wake ulihanikizwa nalo, labda. Na hata Kikwete alinitamkia bayana, mimi nibaki kupendekeza Makamishina pekee na u-IGP nimwachie yeye na niliamua kuondoka zangu". Mahita

zee la hovyo la mwaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom