The Valiant
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 2,826
- 3,946
Mhe. Nape bastola, ambao nao walikuja pale St. Peters kwa kutumia gari aina ya Nissan nyeupe
asante pasco
Mhe. Nape bastola, ambao nao walikuja pale St. Peters kwa kutumia gari aina ya Nissan nyeupe
Nasikia alikuwa kasha mtaja askari mmoja wa FF kuwa alikuwa anashirikiana naye. Sasa kwa kifo cha kijana huyo basi hakuna kesi tena kwa huyo askari. Paskali nini maoni yako kuhusu hili?
Wanabodi,
Declaration of Interest.
Mimi ni mtoto wa polisi, Mzee wangu Andrew Mayalla (RIP) ndiye aliyekuwa RSO wa Mwanza wakati wa Kesi ya Mauaji Mwanza, hivyo ninaelewa mbinu za kipolisi za interrogations za watuhumiwa wa mauji!, hivyo nalijua jeshi la polisi.
Jeshi Letu la Polisi Safi.
Baada ya utambulisho wa mtoto wa polisi, kwa kuzingatia taarifa za mahojiano ya polisi kwenye kesi ya Uhani ya 1984, then nikisema jeshi letu safi la polisi, naomba mnielewe!, ni Nyerere alilisafisha, labda kama limechafuka tena!. Kwa vile kauli huumba, kila siku ukimwita mtoto kuwa ni mtoto mbaya, kauli hiyo ya mtoto mbaya inaumba, hivyo huyo mtoto anakuwa mbaya kweli!. Hivyo kuliita jeshi letu la polisi safi, ni kutumia kauli za affirmatives, kwa kutumia affirmations kuliumbia usafi jeshi letu la polisi ambalo kiukweli limechafuka tena!, ingekuwa ni enzi za Nyerere, yule kamanda aliyetangaza uzembe huo saa hizi saa nyingi...debe!.
Pongezi Kwa IGP, Kamanda Simon Sirro.
Naomba kuanza kwa kutoa pongezi kwa Kamanda Simon Siro kuteuliwa kuwa IGP, na pia kutoa pongezi kwa jeshi letu la polisi kwa kazi nzuri inayofanya kulinda rais na mali zao. Mimi binafsi nina imani sana na Kamanda Siro kwa good track record yake ndani ya jeshi hilo, na sura ya kipolisi tofauti na mtangulizi wake aliyekuwa na sura laini laini, matokeo yake jeshi letu nalo lilifanana nae!.
Huu uzi ni wa wito kwa IGP, Kamanda Simon Siro, asiruhusu uzembe kama huu ulioelezewa hapa, kwa mtuhumiwa wa mauaji, kufa akiwa mikononi mwa polisi, kizembe zembe namna hii kama ilivyoelezwa hapa ambako kunachafua jeshi letu safi la polisi!.
Shuhudia Kamanda Polisi Akithibitisha Kifo cha Mtuhumiwa Kwa Uzembe Bila Hata Blink of an Eye, As if ni Jambo la Kawaida!.
Japo aliyeuliwa ni muuaji, kwa maelezo yaliyotolewa hapo, nakuomba sana, IGP Kamanda Sirro, kamwe usiukubali blanket statements za uzembe kama huu, unless kifo cha mahabusu huyu ni utekelezaji wa lile agizo la Amiri Jeshi Mkuu, Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na ...
Nijuavyo mimi, mtuhumiwa yoyote mikononi mwa polisi, anapopelekwa popote ispokuwa mahakamani, anasindikizwa na ulinzi madhubuti wa askari wenye silaha za moto, na wakati wote anakuwa na pingu mikononi, anawezaje kutoroka hadi kupelekea kuuwawa mikononi mwa polisi?!.
Mazingira ya Polisi Kutumia Silaha Za Moto Kwenye Arrest
Nakiri kuyafahamu mazingira ambayo jeshi letu la polisi wanaruhusiwa kutumia silaha za moto katika arrest na kuzuia mtuhumiwa kutoroka akiwa mikononi mwa polisi, mazingira hayo nimeyazungumza katika bandiko hili.
Hivi polisi wameruhusiwa kuua wakihisi fulani ni mhalifu ...
nimesema
Hoja Mbalimbali Katika Mauaji ya Mahabusu Huyu
Hitimisho.
- Ni kweli mtuhumiwa alijaribu kutoroka akiwa chini ya ulinzi kwa kukimbia huku akiwa na pingu mikononi.
- Baada ya kupigwa risasi moja ya mguu, lazima alianguka chini. Mahabusu mwenye pingu mikoni, amepigwa risasi moja ya mguu, ameanguka chini, je ni nini kilimfanya apigwe risasi nyingine ya miguu, yaani miguu yote?!.
- Jee alipigwa hizo risasi mbili tuu miguuni ndizo zilizopekekea kifo kweli, au alimiminiwa risasi kadhaa na kuachwa a bleed to death?. Risasi mbili za mguu zinawezaje kusabisha kifo?.
- Nakijua kinachowapata watuhumiwa wanaojaribu kuroka mikononi mwa polisi, jee ni kweli baada ya kupigwa hizo risasi mbili, mtuhumiwa huyo, jee alipatiwa huduma yoyote ya kwanza kumzua as bleed to death na kumuwahisha hospitali?, au baada ya kumiminiwa risasi za kutosha, mtuhumiwa huyo pia 'alishughulikiwa' ipasavyo kama walivyoshughulikiwa watuhumiwa hawa kwenye kisa hiki, na kilichopelekwa Mt. Meru Hospital ni mwili tuu kwa ajili ya kupata taarifa ya dakitari?!. Vifo vya Mahabusu Mwanza, IGP Mangu, Usikubali Kudanganywa ...
- Vifo vyote vya mahabusu wowote mikononi mwa polisi, lazima vifuatiwe na independent inquiry, ili kujiridhisha, kufuatia huko nyuma jeshi la polisi kuwahi kuhusishwa kwa utesaji na mauji ya mahabusu kama ilivyotokea hapa katika kisa hiki, TISS ni Watekaji, Watesaji na Wauaji!. Wasijadiliwe na Bunge bali ...
- Huu nauta ni uzembe, kwa sababu nguvu iliyotumika kumdhibiti mahabusu huyo ni kubwa kuliko, mtuana pingu, amepigwa risasi mguu moja, ameanguka chini, kwa niniafie mikononi mwa polisi badala ya kulinda maisha yake, apone awaonyeshe polisi washirika wake?.
- IGP, Kamanda Siro, wewe ni mtu wa kuaminika sana, kwa uadilifu na ushupavu usiotia shaka, nakuomba usikubali kirahisi rahisi taarifa za watendaji wako zenye makando kando kama haya, yanayoweza kupelekea karma repercussions za damu za watu zinazomwagika chini yako, zikaja kuwa juu yako!.
Lengo la bandiko hili, sio kulitaka jeshi la polisi kujibu chochote katika hoja hizi, bali ni angalizo tuu kutoka kwa raia mwema, anayekutakia mafanikio mema katika kazi yako, na weledi wa hali ya juu kwa jeshi letu la polisi haswa katika kipindi kipindi hiki ambacho Jeshi la Polisi linakabiliwa na changamoto nyingi za uhalifu wa kutumia silaha za moto, na silaha za kivita, na mauaji, japo matukio mengine yana possibilities za friendly fires lakini polisi ndio mkanyooshewa vidole, hivyo jeshi lako la polisi ni lazima liwe na undendaji makini kwa uadilifu wa hali ya juu kabisa usio tia shaka, na haswa katika kuwabaini watu wasiojulikana, kama wale waliomtishia Mhe. Nape bastola, ambao nao walikuja pale St. Peters kwa kutumia gari aina ya Nissan nyeupe, hadi picha zao zilitapakaa kwenye magazeti yote na video kwenye TV zote na mitandao ya kijamii, lakini ni watu wasiojulikana!, lakini mko bize kufuatilia mitandao ya kijamii nani kasema nini, huku watu wanaojulikana, wakifanya uzembe wa wazi kabisa, mchana kweupe, lakini hakuna lolote linalofanyika!.
Wasalaam
Paskali.
Rejea
IGP Mwema, Please, Please, Please, Stop This Police Brutality ...
Vifo vya Mahabusu Mwanza, IGP Mangu, Usikubali Kudanganywa .
Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na ...
Waziri Nchimbi na IGP Mwema, Mnasubiri Nini Kujiuzulu ...
Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know ...
Unyama wa polisi Tanzania- walazimisha mtu kukubali video kwa ...

ila TL mbishii! katandikwa tano lkn ka survive, wakati huyu kagongwa moja tu ya mguu na kakufa hapohapo!!!
"Five shots couldn't stop me, I took it in stride" - 2Pac "Hit 'em Up"
Huyu Tundu Lissu jina lake jipya ni 2 Pac Lissu.
Wote wamepigwa risasi September 7.
Wote majina tao yanaanza na Tu.
Wote wamepigwa risasi tano na ku survive.
Wote ni watu waliokosoa watawala kwa maneno makali.
Wote ni watu waliopendwa na jamii licha ya kuwa watukutu mara nyingine.
2Pac Lissu is only right.
"Five shots couldn't stop me, I took it in stride" - 2Pac "Hit 'em Up"
Eventually wote hatuta survive assault ya maisha.Eventually Pac haku survive ile assault ya Vegas...just sayin'.
Wanabodi,
Declaration of Interest.
Mimi ni mtoto wa polisi, Mzee wangu Andrew Mayalla (RIP) ndiye aliyekuwa RSO wa Mwanza wakati wa Kesi ya Mauaji Mwanza, hivyo ninaelewa mbinu za kipolisi za interrogations za watuhumiwa wa mauji!, hivyo nalijua jeshi la polisi.
Jeshi Letu la Polisi Safi.
Baada ya utambulisho wa mtoto wa polisi, kwa kuzingatia taarifa za mahojiano ya polisi kwenye kesi ya Uhani ya 1984, then nikisema jeshi letu safi la polisi, naomba mnielewe!, ni Nyerere alilisafisha, labda kama limechafuka tena!. Kwa vile kauli huumba, kila siku ukimwita mtoto kuwa ni mtoto mbaya, kauli hiyo ya mtoto mbaya inaumba, hivyo huyo mtoto anakuwa mbaya kweli!. Hivyo kuliita jeshi letu la polisi safi, ni kutumia kauli za affirmatives, kwa kutumia affirmations kuliumbia usafi jeshi letu la polisi ambalo kiukweli limechafuka tena!, ingekuwa ni enzi za Nyerere, yule kamanda aliyetangaza uzembe huo saa hizi saa nyingi...debe!.
Pongezi Kwa IGP, Kamanda Simon Sirro.
Naomba kuanza kwa kutoa pongezi kwa Kamanda Simon Siro kuteuliwa kuwa IGP, na pia kutoa pongezi kwa jeshi letu la polisi kwa kazi nzuri inayofanya kulinda rais na mali zao. Mimi binafsi nina imani sana na Kamanda Siro kwa good track record yake ndani ya jeshi hilo, na sura ya kipolisi tofauti na mtangulizi wake aliyekuwa na sura laini laini, matokeo yake jeshi letu nalo lilifanana nae!.
Huu uzi ni wa wito kwa IGP, Kamanda Simon Siro, asiruhusu uzembe kama huu ulioelezewa hapa, kwa mtuhumiwa wa mauaji, kufa akiwa mikononi mwa polisi, kizembe zembe namna hii kama ilivyoelezwa hapa ambako kunachafua jeshi letu safi la polisi!.
Shuhudia Kamanda Polisi Akithibitisha Kifo cha Mtuhumiwa Kwa Uzembe Bila Hata Blink of an Eye, As if ni Jambo la Kawaida!.
Japo aliyeuliwa ni muuaji, kwa maelezo yaliyotolewa hapo, nakuomba sana, IGP Kamanda Sirro, kamwe usiukubali blanket statements za uzembe kama huu, unless kifo cha mahabusu huyu ni utekelezaji wa lile agizo la Amiri Jeshi Mkuu, Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na ...
Nijuavyo mimi, mtuhumiwa yoyote mikononi mwa polisi, anapopelekwa popote ispokuwa mahakamani, anasindikizwa na ulinzi madhubuti wa askari wenye silaha za moto, na wakati wote anakuwa na pingu mikononi, anawezaje kutoroka hadi kupelekea kuuwawa mikononi mwa polisi?!.
Mazingira ya Polisi Kutumia Silaha Za Moto Kwenye Arrest
Nakiri kuyafahamu mazingira ambayo jeshi letu la polisi wanaruhusiwa kutumia silaha za moto katika arrest na kuzuia mtuhumiwa kutoroka akiwa mikononi mwa polisi, mazingira hayo nimeyazungumza katika bandiko hili.
Hivi polisi wameruhusiwa kuua wakihisi fulani ni mhalifu ...
nimesema
Hoja Mbalimbali Katika Mauaji ya Mahabusu Huyu
Hitimisho.
- Ni kweli mtuhumiwa alijaribu kutoroka akiwa chini ya ulinzi kwa kukimbia huku akiwa na pingu mikononi.
- Baada ya kupigwa risasi moja ya mguu, lazima alianguka chini. Mahabusu mwenye pingu mikoni, amepigwa risasi moja ya mguu, ameanguka chini, je ni nini kilimfanya apigwe risasi nyingine ya miguu, yaani miguu yote?!.
- Jee alipigwa hizo risasi mbili tuu miguuni ndizo zilizopekekea kifo kweli, au alimiminiwa risasi kadhaa na kuachwa a bleed to death?. Risasi mbili za mguu zinawezaje kusabisha kifo?.
- Nakijua kinachowapata watuhumiwa wanaojaribu kuroka mikononi mwa polisi, jee ni kweli baada ya kupigwa hizo risasi mbili, mtuhumiwa huyo, jee alipatiwa huduma yoyote ya kwanza kumzua as bleed to death na kumuwahisha hospitali?, au baada ya kumiminiwa risasi za kutosha, mtuhumiwa huyo pia 'alishughulikiwa' ipasavyo kama walivyoshughulikiwa watuhumiwa hawa kwenye kisa hiki, na kilichopelekwa Mt. Meru Hospital ni mwili tuu kwa ajili ya kupata taarifa ya dakitari?!. Vifo vya Mahabusu Mwanza, IGP Mangu, Usikubali Kudanganywa ...
- Vifo vyote vya mahabusu wowote mikononi mwa polisi, lazima vifuatiwe na independent inquiry, ili kujiridhisha, kufuatia huko nyuma jeshi la polisi kuwahi kuhusishwa kwa utesaji na mauji ya mahabusu kama ilivyotokea hapa katika kisa hiki, TISS ni Watekaji, Watesaji na Wauaji!. Wasijadiliwe na Bunge bali ...
- Huu nauta ni uzembe, kwa sababu nguvu iliyotumika kumdhibiti mahabusu huyo ni kubwa kuliko, mtuana pingu, amepigwa risasi mguu moja, ameanguka chini, kwa niniafie mikononi mwa polisi badala ya kulinda maisha yake, apone awaonyeshe polisi washirika wake?.
- IGP, Kamanda Siro, wewe ni mtu wa kuaminika sana, kwa uadilifu na ushupavu usiotia shaka, nakuomba usikubali kirahisi rahisi taarifa za watendaji wako zenye makando kando kama haya, yanayoweza kupelekea karma repercussions za damu za watu zinazomwagika chini yako, zikaja kuwa juu yako!.
Lengo la bandiko hili, sio kulitaka jeshi la polisi kujibu chochote katika hoja hizi, bali ni angalizo tuu kutoka kwa raia mwema, anayekutakia mafanikio mema katika kazi yako, na weledi wa hali ya juu kwa jeshi letu la polisi haswa katika kipindi kipindi hiki ambacho Jeshi la Polisi linakabiliwa na changamoto nyingi za uhalifu wa kutumia silaha za moto, na silaha za kivita, na mauaji, japo matukio mengine yana possibilities za friendly fires lakini polisi ndio mkanyooshewa vidole, hivyo jeshi lako la polisi ni lazima liwe na undendaji makini kwa uadilifu wa hali ya juu kabisa usio tia shaka, na haswa katika kuwabaini watu wasiojulikana, kama wale waliomtishia Mhe. Nape bastola, ambao nao walikuja pale St. Peters kwa kutumia gari aina ya Nissan nyeupe, hadi picha zao zilitapakaa kwenye magazeti yote na video kwenye TV zote na mitandao ya kijamii, lakini ni watu wasiojulikana!, lakini mko bize kufuatilia mitandao ya kijamii nani kasema nini, huku watu wanaojulikana, wakifanya uzembe wa wazi kabisa, mchana kweupe, lakini hakuna lolote linalofanyika!.
Wasalaam
Paskali.
Rejea
IGP Mwema, Please, Please, Please, Stop This Police Brutality ...
Vifo vya Mahabusu Mwanza, IGP Mangu, Usikubali Kudanganywa .
Hili la Polisi kuruhusiwa 'kuwanyanganya' silaha majambazi na ...
Waziri Nchimbi na IGP Mwema, Mnasubiri Nini Kujiuzulu ...
Police Brutality in Tanzania: The World has a Right to know ...
Unyama wa polisi Tanzania- walazimisha mtu kukubali video kwa ...
Nimesikiafamilia imekataa kuupokea mwili kwa maziko, nafuatilia sababu.
P.
Huyu Pascall ni mpaka siku yeye mwenyewe atandikwe risasi , halafu ripoti iandikwe amepigwa na kitu chenye ncha kali ndio atakapotia akili , anatumia muda mwingi kudanganya wajinga as if yeye yuko salama ! Amesahau kwamba anayekula nyama ya mtu haachiPaskali usafi wa jeshi la polisi tanzania ulikuwepo mwaka gani? Umeshawahi kuwepo? Najua unajua ila unaogopa kupimwa mkoj! Labda kwa vile ni homeboy utakuwa spared!
Naungana na wewe maana Jeshi letu la Polisi lina silaha ambazo hazipo mahali popote duniani. Risasi zake huwa zinatembea kama nyoka. Zinaweza kupinda kwenda pembeni, kupanda juu, kushuka na kuifikia target bila kukosa.Baada ya kifo cha Akwilina, nimenote watu wengi wanalijia juu jeshi letu safi kutaka kulichafua kwa kifo hiki.
Taarifa rasmi ya polisi ni kuwa ile risasi ilipigwa juu, ila ikapinda na kuingia kwenye daladala na kumpata Akwilina kwa bahati mbaya tuu. Hivyo kifo hicho kimetokea kwa bahati mbaya, hakikudhamiriwa wala kukusudiwa, hivyo tusililalamikie sana jeshi letu safi la polisi.
P
Kwenye bold, ndugu Pascal Mayalla, bado wengine tunajiuliza, kulikuwa na haja gani tena na tena kwenda na silaha za moto pale???!!! Mbwa wapo, Farasi wapo, Maji Washa yapa, FFU wapo!Baada ya kifo cha Akwilina, nimenote watu wengi wanalijia juu jeshi letu safi kutaka kulichafua kwa kifo hiki. Taarifa rasmi ya polisi ni kuwa ile risasi ilipigwa juu, ila ikapinda na kuingia kwenye daladala na kumpata Akwilina kwa bahati mbaya tuu. Hivyo kifo hicho kimetokea kwa bahati mbaya, hakikudhamiriwa wala kukusudiwa, hivyo tusililalamikie sana jeshi letu safi la polisi. P