IGP Kamanda Sirro, Usiruhusu Vifo Vya Uzembe Kama Huu Kuchafua Jeshi Letu Safi la Polisi!.

Toka haya majamaa yahusike kuniulia hao baba zangu wadogo ctak hata kuyackia
kufuatia tukio la jana, tayari kuna tuhuma kwa jeshi letu safi la polisi. Kuwa yule jamaa ni wafanyabiashara wa madini, na kwa kuzingatia kilichotokea kwa wale wafanyabiashara wa madini wa Mahenge, na jeshi letu la polisi, baada ya kutoelewana na polisi, akili zikamruka ndipo kikatokea kilichotokea.

P
 
Tumuombe rais Mama Samia aunde Tume huru kulichunguza hili tukio. Inawezekana ni kweli jamaa alikuwa provoked, due to provocation akapata pseudo insanity, ndio akawawasha polisi waliomprovoke na kuzichukua silaha zao na kuwa target polisi tuu!.

Niliwahi kushauri

Kwa vile tayari kuna tuhuma za polisi kuhusika, you can't be a judge on your own case!.
RIP Askari wetu.
RIP Mtuhumiwa.
P.

Hapa ndio umuhimu wa kuwa na chombo huru cha uchunguzi unapoonekana, kwasababu ni vigumu sana kupata majibu kutoka kwa mchunguzi anaejichunguza mwenyewe. Ipo haja kwa serikali yetu kuunda chombo huru kitakachokuwa kinachunguza matukio ya kihalifu. Na mifano hai ipo.... Kesi za rushwa kuna chombo kinachoshughulika na uchunguzi dhidi ya mambo yanayohusiana na rushwa kwanini kwenye uhalifu kusiwe na chombo kitakachoshughulika na mambo yote yanayohusu uhalifu like FBI?
Polisi haiwezi kujichunguza yenyewe ikaja na majibu yenye ukweli kuhusu uhalifu hususan ikiwa inahusika kwa namna moja ama nyingine... Tungoje sarakasi!
 
Back
Top Bottom