iPad ya Apple
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 322
- 126
1. Je, Makao Makuu ya police ni nyumbani kwa police wanaoharibu? Kuna mifano mingi ya police mikoani wanaoharibu hupandishwa cheo na kuhamishiwa makao Makuu ya jeshi la police Michael Kamuhanda is a case study.
2. Kwanini Jeshi la police limekuwa likituhumiwa kukandamiza Upinzani hasa Chadema bila kukanusha na katika vifo vyote vilivyotokea ktk mikutano ya CDM kuna mkono wa jeshi la police, mfano Arusha, morogoro , Iringa na Igunga?
3. Ilikuwaje walio wauua kamanda Barlow na Dr. Mvungi wakakamatwa mapema kuliko walio walio wateka, kutesa na kuwang'oa baadhi ya viungo Dr. Ulimmboka na Absolom Kibanda?
4. Wako wapi police walio Kuwa wanatembea na kichwa cha binadamu na kubambikia kesi watu huko morogoro?
5. Wako wapi police waliojimilikisha mamilioni ya liyokuwa yameporwa kariakoo?
6. Je, ni kweli kuna kikundi cha uharifu kilicho wahi kumpelekea gari Said Mwema linalodaiwa Kuwa ni la milioni Karibu 400. Ambalo
liliingia Tanzania na KM 0?
7. Je ni kwanini jeshi la police linapokuwa linatuhumiwa hukimbilia kuunda tume za kujichunguza lenyewe?
8. Je wako wapi wale maofisa wa jeshi la police walio watapeli vijana kule CCP Moshi kwa kuwachangisha laki moja hadi laki mbili kila mmoja na kisha kuwanyooa vipara na baadaye kuwaambia Hakuna nafasi za kujiunga na jeshi la police?
9. Wako wapi Askari walio badilisha heroine na Kuwa sukari kule mbeya na Kagera?
10. Pia muulize na wewe kama uendelee kufanya kazi kwa maelekezo ya CCM badala ya kwa mujibu wa sheria.
NB: Akikujibu kwa ufasaha hayo maswali utapata pa kuanzia vinginevyo utavurunda ukiingia kichwa kichwa tu.