IGP Ernest Mangu awaaga Polisi wanaoenda kozi maalum ya kupambana na uhalifu na wahalifu

Tatizo siyo msuli, siku hizi hata wao askali wanapenda tight clothes ukizingatia wengi ni NEW GENERATION fuatilia ukiwa naye karibu uone suruali au shati (hizo combats) zilivyoshonwa.
UKUTA mumeuona huo misuli ya mkononi ya huyo kijana kakamavu PC Prosper Yenda Yenda aliyeshikana mkono na mkuu wa polisi? Msijifanye hamjaona.Jina lake tu laweza fanya UKUTA ajisaidie haja kubwa UKUTANI akisikia YENDA YENDA Huyo anakuja.

HAPA KAZI TU
 
Hujui kitu nyamaza kenge wewe, kwa kifupi igp havai kofia bz, kila atakayempigia salute atakua na Kazi ya kujibu, na yeye hakuna anayemcommand kuvaa kofia ila wote walio chini yake lazima wavae waki msalute, sawa wewe kengeE="Ka-nabyule, post: 17269783, member: 347484"]Nini Yenda yenda, alipigwa Goliath na kijana mchunga mbuzi jangwani aitwae Daud. Ushindi ni maarifa siyo ukubwa wa misuli.
Isitoshe hapo kwenye kuagana nidhamu imepungua. IGP hakuvaa kofia, ndo maana wanaishia kushikana mikono badala ya heshima ya saluti.[/QUOTE]
Hunui
 
Uzalendo wa kweli sio mshahara Bali kuipenda nchi yako. Machadema nyie mnawaza kipato tu na ufisadi mnaoutetea.
Kama ni uzalendo basi wote wangelipwa mshahara sawa na Mangu hapo..Anaepokea mshahara mkubwa hana hivyo vi misuli njaa
 
Nanga mstaafu, povu la nn? Ulikuwepo pale? Sasa asipoivaa si ndio ataishia kubana mikono. Ukitaka kujua nidhamu ilivyo majeshini tembelea Jkt, Jwtz huko ndio utajifunza nidhamu ya kijeshi ilivyo na inavyotakiwa kuheshimiwa. Acha povu la Surf.
 
Ni jambo zuri askari wetu wanapopatiwa mafunzo kazini kama hayo...hongera kwa jeshi la polisi endeleeni na utaratibu huo maana sasa hivi uhalifu unafanyika kisasa tunahitaji mbinu za kisasa kuudhibiti.
post nzima wewe umereply kisomi zaidi na kwa busara well done bro
 
Kuna mambo mengi yanayotishia usalama wa nchi kuliko ukuta,ukawa na sijui ukuda...ccm fanyeni recall kwa JPM otherwise utakuwa unaua mbu ndani kwako kwa bunduki na kujigamba kumbe umesahau kuna watoto wako ambao wanacheza mdako humo ndani.watch out nyie nusu mshahara....
1471571947698.jpg
 
UKUTA mumeuona huo misuli ya mkononi ya huyo kijana kakamavu PC Prosper Yenda Yenda aliyeshikana mkono na mkuu wa polisi? Msijifanye hamjaona.Jina lake tu laweza fanya UKUTA ajisaidie haja kubwa UKUTANI akisikia YENDA YENDA Huyo anakuja.

HAPA KAZI TU
Mkuu hivi wale jamaa walioua polisi wanne juzi mpaka sahivi wameshikwa wangapi??maana lile tukio la polisi wetu kuuwawa limenisikitisha sana
 
Back
Top Bottom