Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,596
- 1,071
Marekani walimkamata Raisi Noriaga wa Nicaragua baada ya kuwa kidedea wa mihadarati na kumfungulia mashtaka kwani aliharibu jamii ya wamarekani.
Nami, nilisononeshwa sana majambazi walivyompiga mapanga ya kichwani Dr. Mvungi, nikaamini bangi ilitumika.
IGP tupia macho na peleka helikopta au askari kanzu kutazama mashamba kwenye vijiji hivi;
1 Tangeni Morogoro Mjini ( Kijiji mlimani juu ya Kiwanda cha Mazao/ Mzinga cooporation)
2 Kising'a – Wilaya ya Kilolo (mashamba Ndani ya msitu wa serikali)
3 Ruvuma (Morogoro Mjini)
4 Iditima Njombe
5 Tarime (vijiji mpakani na Kenya )
6 Lumbiji wilaya ya Kilosa
7 Endelea
8
9
10
11
12
13
14
15