Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Asante kwa maboresho hayo, pia ningependa kuona kama:
1. Mtu akini-ignore nipate notification kwamba " Wangari Maathai has ignored you".😎
2. Kwa vile kuna button za like, love, nk basi tuwekewe ile ya dislike, kama sikubaliani na mchango wa mtu nionyeshe hisia zangu kwa dislike👊

Vinginevyo hongereni sana kwa hili jukwaa maridhawa kabisa.


😆😆😆! Shemasi kukuignore wewe ni hadi ccm iendelee kubaki twenty twenty😆😆!
 
Mkuu hicho kitufe kilikuwepo siku za nyuma, for some reasons akina Melo wakakiondoa. Leo naingia tu ni dk 3 Max ka-post. Haraka sana nika activate list yangu ambayo ni ndefu sana.
ninaendelea kuifanyia kazi kabla Max hajabadili mawazo.Nshafikia 27 hadi Jtatu nitakuwa pazuri tu.

🤣🤣🤣 ngoja na mm nicount! Bas imeondolewa hivi majuzi
 
Mkuu Melo mm nahitaji kui update my Jf app but siioni kule play store, cjui ni mm tu au ni vp, mana mwezi huu katikati nili update, lkn kwa ss siioni app kule play store.

Simu yako ina Operating System ya zamani; tafadhali fikiria kufanya update ili iwe na mpya kidogo
 
Mkuu hicho kitufe kilikuwepo siku za nyuma, for some reasons akina Melo wakakiondoa. Leo naingia tu ni dk 3 Max ka-post. Haraka sana nika activate list yangu ambayo ni ndefu sana.
ninaendelea kuifanyia kazi kabla Max hajabadili mawazo.Nshafikia 27 hadi Jtatu nitakuwa pazuri tu.


😆😆😆20 mimi had leo hii!
 
asanteni mods kwa maboresha naona na vipengele vya superscript na subscript vimeongezwa. Kero nyingine iliyopo jf ni hii ya baadhi ya verified account kuanzisha thread mwisho wa siku wanazitelekeza. Natolea mfano account ya vodacom, tangu wameweka ile thread yao hawajawahi kurudi kujibu hoja na maswali wanayoulizwa. wengine ni Tecno huwa wanaanzisha thread na kujiondokea, watu wanauliza maswali kutaka ufafanuzi No Further response. Hili nalo mliangalie au kama vipi mziondoe coz hazina msaada

Maxence Melo

Cookie

Kweli kuna baadhi ya Verified ID za makampuni /mashirika/taasisi zilianzishwa baadae ikawa kama wamezitekeleza Account zao

Kwa ID uliyoitaja ya Vodacom, sio kweli sana ulichokisema, ID hiyo ilianzisha mada hiyo 2013, mara ya mwisho ID kuingia hapa JF ilikuwa 2019

Kwa ID za makampuni/taasisi ambazo hazikuwa zikifuata malengo ya kuanzishwa kwake au walizitekeleza, amini kuwa zipo ambazo zilifutwa au kubadilishwa utambulisho wake
 
Nyie waoga sana nyie, hii sio sawa, mnapenda kumsikiliza mnachokipenda tu kama wale watu wenu wa tweeter ukiwapinga tu wanakublock, hiyo sio sawa na hata hili hapa linakandamiza freedom of speech and expression, kwa nini haya maboresho yawe katika kipindi hiki Maxence Melo? kuna nini nyuma ya pazia? tujifunze kuvumiliana wapendwa.
Kusikiliza ninachokipenda ni haki yangu ya kikatiba. Hata kuwachukia Mataga ni haki yangu ya kikatiba.
 
Mkuu,

Ignore option imekuwepo tangu kuanza kwa JF, lengo si watu wapuuziane ila badala ya mtu kuwasumbua mods kuwa flani aondoshwe kisa hakubaliani na hoja zake, tukawapa uwezo wa kufanya hivi.

Aidha, hapa tumeongeza option ya kuweza kutoona contents za forum flani au thread flani; maana watu walianza kutaka forums kadhaa wasione contents zake.

Client needs sometimes zina changamoto zake; imagine ili limefanywa after 14 yrs za kuanzishwa kwa JF, si kuwa tunalipenda ila tunaepusha malalamiko yanayoweza kuwa sorted.

Sitamani watu wahamasike kuanza kutumia hizo options, ukiangalia signature yangu inaeleza wazi - NATAMANI TUWEZE KUVUMILIANA!
It's okay anyways, umenifanya niikumbuke tweet yako ya majuzi hapa, sijui kwa nini wengi tunashindwa kuziishi imani zetu, hili swala linakiuka haki husika ya msingi na najua unalijua hilo mkuu, tujifunze kuvumiliana nakazia...all is well .
IMG_20200531_080750.jpg
 
Back
Top Bottom