Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Kama ingependeza zaidi then kwanini muweke hio mambo ya block?

WALK THE TALK.

Ingependeza zaidi: Nilisema hivyo kwa mtu niliyekuwa nimem-quote, alisema kuwa yeye hawezi kumblok mtu kisa akitofautiana naye mtazamo

Ignore Option: Imewekwa kwa watu ambao hawawezi kuwa kama huyo mtu niliyekuwa nimem-quote

Wapo ambao watakuwa wanaitumia na wapo ambapo hawataitumia
 
Hii ilikuwepo kitambo walichofanya ni kuboresha zaidi..wale mnaolalamikia baadhi ya thread (haziendani na interest zenu) sasa kazi imerahisishwa piga kufuli...hii safi sana..hakuna kuwalalamikia mods kwamba sijui wanaacha baadhi ya thread sijui blabla kibao..kila mtu ashinde mechi zake!
 
Kuna wakati nilim'ignore member fulani lakini baadae nikaanza kujiuliza, hivi mimi ni dhaifu kiasi cha kushindwa kuhimili mtu mwenye mtizamo tofauti na wangu, je, dunia inaweza kusogea mbele ikiwa sote tutakuwa na mtizamo mmoja?

Baada ya kujipatia majibu nikamiondoa kwenye ingore list na maisha yanasonga.
 
Nilipigwa ban ya wiki kwa sababu ya member mmoja anayeonekana mungu-mtu humu JF. Jamaa ni mweupe kichwani afu ana kauli mbaya. Naanza na huyo, nafatisha na watu kibao waongo na wenye matusi.
Kuna watu wanakera lakini tunaishi nao, mtu kama Bia yetu sikubaliani nae kabisa lakini sijawahi ona anatoa lugha chafu ata umkosee vipi.
Ni kweli, huyu mkuu Bia yetu huwa hana makuu, hata akipewa maneno ya kuudhi!
 
Nashindwa upload video kama mwanzo
Na Ile icon ya drop video siioni
Je ni Mimi Tu au kila mtu?
Nifanyeje?

Pole, ipo. Kama upo via Mobile (browser), tumia hii kwa sasa, badae kidogo (leo) itawekwa ili via mobile ionekane.

Kwa Mobile App, naamini button ya kutumia ipo clear

Adjustments.jpg
 
Mkuu hicho kitufe kilikuwepo siku za nyuma, for some reasons akina Melo wakakiondoa. Leo naingia tu ni dk 3 Max ka-post. Haraka sana nika activate list yangu ambayo ni ndefu sana.
ninaendelea kuifanyia kazi kabla Max hajabadili mawazo.Nshafikia 27 hadi Jtatu nitakuwa pazuri tu.

Hakikuwahi kuondolewa mkuu; ndo maana unaona watu wengine wanashangaa “jipya nini”? Kimsingi, hapa sababu ya kuongelea ni kwakuwa zimeongezwa options kuwa unaweza ku-ignore zaidi ya mtu
 
Back
Top Bottom