Ignore list on JamiiForums: Maboresho ya mwaka 2020

Kwani mimi nakuhusu nini, nina madhara gani kwako, kwanini unanilazimisha niachane na jambo lake? Ungekuwa unaishi ulichokiandika usingeniandikia hivi. Ni kwamba huwezi mind your own business katika mada za JF kwakuwa zipo tujadiliane, ndo maana hakuna thread unayoweza zuia comments.

Unaona jinsi ulivyorejea comments zangu mada ile... Rudia kusoma ulichoandika uone ulivyoshindwa kukitimiza.

Punguza kinyongo mkuu...mie mwenyewe humu nilijua mtu akitoa thread huwa kweli kumbe kuna wengine furahisha genge! Lol...take easy!
 
Kuna mmoja wa Lumumba naanza kulipiga block

Acha kua na muoga..
Muntu jasiri hafanyi hayo.. raha ni kutobuloki watu.. ukibuloki hiyo ni kuonyesha udhaifu mkubwa na mengine mengi uliyonayo wewe nyuma ya kudonoa humu..

Eeeeeeh
Oktoba ipo karibu acha uoga.. uoga ni kuwa pia huna ubavu bali porojo tu. eeeeeh.. msibuloki watu.. hata hamuwafahamu munaogopa.. sasa hao viongozi wenu si ndio mnawafata walivyo nao.. eeeeh
 
Asante kwa maboresho hayo, pia ningependa kuona kama:
1. Mtu akini-ignore nipate notification kwamba " Wangari Maathai has ignored you".😎
2. Kwa vile kuna button za like, love, nk basi tuwekewe ile ya dislike, kama sikubaliani na mchango wa mtu nionyeshe hisia zangu kwa dislike👊

Vinginevyo hongereni sana kwa hili jukwaa maridhawa kabisa.
 
Back
Top Bottom