financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,130
- 40,690
Unasema wameolewa ? Ni nani huyo kawaoa duh.?sorry sijaona hiyo connection 😪. Zamani ilikua wazazi wanafikiria zaidi juu ya malezi ya mtoto wa kike , ila siku hizi hata watoto wa kiume inabidi mzazi uwe macho muda wote hadi aje ajitambue kama yeye ni mtoto wa kiume, otherwise unaweza mpoteza 🙄. Inabidi elimu itolewe kuhusu jinai ya ushoga na ikiwezekana sheria ichukue mkondo wake kwa waliofanya huo upuuzi.au wanaona wanawake mnavoliwa huwa mnafaidi na kupata raha sana nini? ndo wakachagua nao waliwe na kuolewa.