unasema chuo cha usimamizi wa fedha hakiko makin na wakati mwaka huu kuna mwanafunzi wa IT amegundua system flan ivi adi TBC1 wakamfuata chuo pale kumhoji na wakaahidi kumpa ushirikiano ili aitangaze...afu still unasema eti taasisi haiko makin...we ni mjinga kati ya wajinga dunian
MKUU MIMI SIPONDI HII TAASISI YA USIMAMIZI W Fedha ninachojaribu nikuuambia umma kwamba sio degree zote zinatolewa kwenye vyuo vikuu nyinine zinatolewa kwenye taasisi kama IFM,ISW, NA NIT
Unakwepa swali.TAASISI YA USIMAMIZI WA FEdha!! sio chuo kikuu KAMA SUA(MUCCoBS),MZUMBE,UDSM,UDOM N.K
KUBALI TU KUWA SHULE YA Ifm ni rahisi(40)!,Kuna utofauti wa kuipata 40% na hao wa muccobs kuipata 50% kama unabisha muulize mtu wa cbe kuhusu pale ifm..primary ndo wanaetolewa vyote mwalimu kafundisha ndo maana ifm hakuna first class na upper second zinazotangatanga huko mtaani..
Ni kweli ifm sio chuo kikuu...ila ifm ni chuo na ni chuo ambacho kina hadhi ya juu ukilinganisha na hata vyuo vikuu vya tz...tatizo lenu nyinyi manadharau sasa hizi institute mf TIA,DIT,TAA...Acheni dharau...kama unaona sio chuo njoo usome...wako wenzako wameingia pale wana dv 1 za six na bdo wakagraduate semestr ya 1 tu ya frst 1..acheni kudharau vituTAASISI YA USIMAMIZI WA FEdha!! sio chuo kikuu KAMA SUA(MUCCoBS),MZUMBE,UDSM,UDOM N.K
sasa nani aliyekuuliza kua degree zote zinazotolewa na vyuo vingn zinatolewa ifm??kile ni chuo cha usimamizi wa fedha ..kwa utindio wako wa ubongo unahisi kitatoa coz zote zinazotolewa ud/udom?pale wanatoa cz za biashara tu..unachojaribu kuwaambia watu ni kitu cha kijinga...
Kwa hiyo wote waliosoma MIT utawaambiaje?TAASISI YA USIMAMIZI WA FEDHA,,INATOA KOZI ZA BIASHARA TUU??!! ,IT ,COMPUterscience ni kozi za biashara???, wewe kweli unasomea kwenye taasisi na sio chuokikuu
Huu mjadala wa chuo gani kizuri na kipi kibaya unachekesha sana. Binafsi nimesoma Tumaini na nilianza kazi pamoja na vijana wenzangu wengi tu kutoka hivyo bora vilivyotajwa hapo ju na mmoja wetu (UDSM, Mzumbe). Sina undgu na bosi yetote pale ila kwakujituma, hivi sasa mimi ni bosi wa wale vijana wenzangu tulioanza kazi pamoja. Je, niidharau degree yangu kwasababu inatoka Tumaini? Hivi, nikipata First Class ya Tumaini au IFM au SAUTI nitakuwa sawa na aliyepata Gentleman ya UDSM/Mzumbe/etc? Hivi sasa ninapokea wanafunzi wengi kutoka vyuo hivyo Havard za Tanzania na wengine kutoka vile ambavyo wenzetu mliobarikiwa mnaviita Vya Kata na kusema kweli wapo wanaonielewa haraka na wapo wasioelewa kabisa japo wanatoka vyuo vyote. Je, mchango wa chuo alichosoma mtu hapa ni upi katika utendaji kazi wake? Je, tumefikia kiwango cha kuwahukumu watu kwa vyuo walivyopitia? Hatuoni kuwa tunawakatisha tamaa wale wanaowekeza katika elimu? Binafsi ninaamini kuwa UDSM kumejaa walimu wengi sana na wenye good qualifications ila wengi wao wamekuwa wanasiasa. Kwa ujumla, walimu wengi, haswa ktk vyuo vyenye majina kama UDSM, siku hizi hawafundishi kutokana na kukata tamaa na ugumu wa maisha. Wanachangamkia zaidi projects za research. Tusidanganyane, hakuna chuo ambacho ni kizuri katika kila fani na hakuna chuo ambacho ni kibovu katika fani zote. Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. IFM ni chuo kizuri kwa wanafunzi wanaokwenda kusoma na kibovu kwa wanafunzi wanaokenda kutalii. A bad writer always blames his/her pen!
Ni taasisi kile sio chuoIFM ni chuo cha usimamizi wa fedha ambacho kiko chin y a wizara ya fedha...hyo taasisi itakua ni ya baba ako mzaa mkwe
Ni taasisi kile sio chuo
Taasisi ikiwa-accredited kutoa degrees kuna tatizo gani?
NASHUKURU KWA KUKUBALI UNASOMea kwenye taasisi
Na CBE je,ipo upande gani?tehe....tehe....IFM is a high learning institute focusing on developing proffessionals. Sio chuo Kikuu/University ambao focus in kudevelop aacademia na intellectuals. sasa hapo chambua intellectual na proffesional.
INSTITUTE OF FAILURES AND MANAGEMENT.(IFM):loco:
True my NiggA.!?
Kuna jamaa yangu m1 nilisoma naye miaka hiyo na yuko hapo IFM matokeo ya semester amepata supp ya account sasa juzi kaniomba nimkopeshe elf 50 wanataka wakamhonge lecture ili awatoe kwenye hiyo supp akadai bila hivyo hatoki..!?
Nilimshangaa sana
INSTITUTE OF FAILURES AND MANAGEMENT.(IFM):loco: