IFM mnalazimisha kila course mfundishe hesabu!

Ndugu yangu ,Kwanza sijakwambia Mimi nasoma IFM ...Pili NGO Ngapi zinahitaji Risk Analyst !
Duniani Social welfare inageuka kuwa Social Protection ,usikariri hicho unachofundishwa.bila kuchungulia upande wa pili ..hivi unajua Course Content ya Ms Ya Ifm ...asilimia 70 hapo wanalenga kwenye Social Welfare !
Sasa kama mifuko inakufa ,Sekta ya Bima ni ndogo Sana ...huoni kuwa Kuna haja ya Vyuo kjiongeza ...tafuta Andiko la Serikali kuhusu hàja ya kuwa na Social Protection Frame Work.ndio utaona mwelekeo ukoje...Hata hivyo bado unachokiyetetea pia kina umuhimu pia ...lakini usikatae mawazo mapya
Ndugu siwezi kukataa mawazo mapya ila nilichokuwa najaribu kukwambia kaa mbali na shughuli zinazowalenga sana economist, sociologist na social workers .ishu kama child care ,elimu, afya ,maji etc kuna wataalamu huko na watunga sera.
Wewe jaribu kusimama upande wako namna ya kudeal na majanga,na upande uliopo hesabu haikwepeki ,maana decision making ina depend katika namba.

Rejea mkataba azam ilioingia wa billioni 200 kwa miaka kumi ligi kuu bara, hawakuingia kichwa kichwa, kuna wataalamu walikaa chini wakafocast,fanya projection wakaja na modal inayoonesha baada ya 10 years wataingiza faida hicho ndio nacho kimaanisha.
 
Yaani huyu dogo ni mpumbavu kweli. Halag kanashupaza shingo kanajua tunasoma kama kenyewe. Hakajui kama kanadeal.na life insurance haka. Kanataka kakafanye kazi kwenye sociol security funds na hakajui calculations. Kajinga mnoo. Nadhan kuiita social protection ndo imempoteza. Atakua hata hajui kazi zao ziko wapi. Sijui anataka vipi kievaluate majanga. Yaan ndo kifirst year ila keleelee pumbavu. Sasa usikaze udisco. Sasa 2nd year ndo utajua hujui dogo. Katafute kazi za unachokisomeaaa or else nenda ustawi wa jamii.
Nadhani angesoma social work au sociology ingemfaa sana.
Amebase sana kwenye ustawi wa jamii
 
Ndugu yangu ,Kwanza sijakwambia Mimi nasoma IFM ...Pili NGO Ngapi zinahitaji Risk Analyst !
Duniani Social welfare inageuka kuwa Social Protection ,usikariri hicho unachofundishwa.bila kuchungulia upande wa pili ..hivi unajua Course Content ya Ms Ya Ifm ...asilimia 70 hapo wanalenga kwenye Social Welfare !
Sasa kama mifuko inakufa ,Sekta ya Bima ni ndogo Sana ...huoni kuwa Kuna haja ya Vyuo kjiongeza ...tafuta Andiko la Serikali kuhusu hàja ya kuwa na Social Protection Frame Work.ndio utaona mwelekeo ukoje...Hata hivyo bado unachokiyetetea pia kina umuhimu pia ...lakini usikatae mawazo mapya
Tafuta sana information ndugu, Hakuna financial institutions yoyote ile ambayo haina risk analyst/financial analyst haipo ,kampuni za simu, madini kote huko. Hata wakienda chukua mkopo lazima kwanza mahesabu lazima yapigwe. Ili kampuni ijiendeshe lazima ilinde mtaji kwanza.

Rejea kilicho wakuta TALA na BRANCH
 
Nadhani angesoma social work au sociology ingemfaa sana.
Amebase sana kwenye ustawi wa jamii
Nimeachana naye huyo ananipotezea muda tu

Analalamika hesabu halaf tena anasema yeye hasomi hapo. Unamwelezea ila anashupaza shingo. Sasa kama siyo kitu anachosoma ama hasomi anakiongeleaje hivi kwa ujasiri wakati hajui kitu. Rubbish kabisa
 
Tafuta sana information ndugu, Hakuna financial institutions yoyote ile ambayo haina risk analyst/financial analyst haipo ,kampuni za simu, madini kote huko. Hata wakienda chukua mkopo lazima kwanza mahesabu lazima yapigwe. Ili kampuni ijiendeshe lazima ilinde mtaji kwanza.

Rejea kilicho wakuta TALA na BRANCH
Tatiilzo mkuu unazijua Taasisi za Fedha pekee !
 
Pole sana Miss kasome masomo uejye ajira ..sekta Binafsi ,Kuna deal nyingi tu kwenye Social Welfare and Protection ...Ninewaambia kuwa hii kuchanganya Unguin na Hesabu ..Wanguin watachukua hata hicho vichache mlivyo navyo ...All the Best Miss!
Sasa ulichokua unakipinga ni nn? Mbona hapa unaongea same language? Si nimesema sociol protection is wide yapo mengi yanayoingia humo? I fave a bit of a difference btn sociol protection and social protection?

Kama miaka yote hiyo hizi course zipo hapa kwa IFM na UDSM ipo hiyo Actuarial Science na bado ajira ni siasa unaexpect nini? Hapa ajira hamna. Siasa zimejaa.

Ndoaana nikasema toka kule mwanzo, ingekua rai yangu leo hii kwa miaka hiyo irudi nyuma ningeenda kusoma Kilimo na ufugaji. Hizi vitu za siasa is killing everything. Kwahiyo huyo qa kusoma apambane aache kulia lia
 
Penguin ni wazuri ktk uandishi. Km hauna akili ya hesabu, angalau uwe na akili ya kusoma ulichokiandika mara 2 au zaidi kabla ya ku-post. Hasa pale unapojua kuwa hautakuwa na nafasi ya ku-edit.
Hivi Mod kwa Nini mliweka zuio kwenye ku edit Heading🤭🤭...ona sasa Tecno ilivo nitenda hapo juu!
 
Pole sana Miss kasome masomo uejye ajira ..sekta Binafsi ,Kuna deal nyingi tu kwenye Social Welfare and Protection ...Ninewaambia kuwa hii kuchanganya Unguin na Hesabu ..Wanguin watachukua hata hicho vichache mlivyo navyo ...All the Best Miss!
We have other life from that. Ni ifike time tu sote tujue kwamba Elimu tuipatayo darasani ndo iwe chachu ya kutafuta fursa zingine na siyo kusubiri kuajiriwa. Hata huko tulikoajiriwa ilikua ushubwada tuu private sectors...

Hiyo mifuko ya jamii itaendelea kufa kwakua wanaendekeza siasa. Ushubwada mtupu.

Wengi walikua na passion kweli ya kwenda kuifufua. Lakini siasa zilivyokithiri wooii.. ila kila mtu atapata mkate wake kwa namna alivyoandikiwa. Ujasiriamali is life
 
Chuo cha Usimamizi wa Fedha kinatoa Course nzuri sana, inaitwa Social Protection. Taaluma hii ni muhimu kwa Dunia ya sasa, na hapa Tanzania kuna gap sana.

Sasa cha ajabu ndani ya hiyo Course kumewekwa Hesabu, tena ngumu ngumu.

Lengo lenu nini?

Mnatukwaza Manguin'
Hata ukisoma SUA ni lazima kuna courses ni za chuo kizima na ni lazima usome kuna courses inaitwa statistics , yellow book n.k. ni lazima kwahiyo kila chuo kuna compulsory course s

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
tz ni nchi ya pekee sana.

vyuoni watu wanapiga course ngumu zenye calculation kibao na wana graduate.

lakini bado serikali inakwambia baadhi ya sector zina uhaba wa wataalam.
 
Back
Top Bottom