Chris wood
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 1,667
- 5,008
Ndugu siwezi kukataa mawazo mapya ila nilichokuwa najaribu kukwambia kaa mbali na shughuli zinazowalenga sana economist, sociologist na social workers .ishu kama child care ,elimu, afya ,maji etc kuna wataalamu huko na watunga sera.Ndugu yangu ,Kwanza sijakwambia Mimi nasoma IFM ...Pili NGO Ngapi zinahitaji Risk Analyst !
Duniani Social welfare inageuka kuwa Social Protection ,usikariri hicho unachofundishwa.bila kuchungulia upande wa pili ..hivi unajua Course Content ya Ms Ya Ifm ...asilimia 70 hapo wanalenga kwenye Social Welfare !
Sasa kama mifuko inakufa ,Sekta ya Bima ni ndogo Sana ...huoni kuwa Kuna haja ya Vyuo kjiongeza ...tafuta Andiko la Serikali kuhusu hàja ya kuwa na Social Protection Frame Work.ndio utaona mwelekeo ukoje...Hata hivyo bado unachokiyetetea pia kina umuhimu pia ...lakini usikatae mawazo mapya
Wewe jaribu kusimama upande wako namna ya kudeal na majanga,na upande uliopo hesabu haikwepeki ,maana decision making ina depend katika namba.
Rejea mkataba azam ilioingia wa billioni 200 kwa miaka kumi ligi kuu bara, hawakuingia kichwa kichwa, kuna wataalamu walikaa chini wakafocast,fanya projection wakaja na modal inayoonesha baada ya 10 years wataingiza faida hicho ndio nacho kimaanisha.