IFM mnalazimisha kila course mfundishe hesabu!

Kwendaaaaaa..... nimedanganya nn? Nikudanganye kitu nilichosomea?

Halaf hii course iko kisiasa tu.. ingekua rai yangu nisingeisoma maana mnaambiwa hii course ni marketable maana ndo moya mpya. IFM ilianza 2009 as first graduants kama sikosei. Ila kwenye ajira hamna lolote waongooo...

Ingekua rai yangu leo hio wallah kama ni chuo ningeenda jifunza kilimo na ufugaji.

Hivi hakuna taasisi wanazofundisha pasipo mitihani?
Course ipo kiasiasa ...kwani Siasa ni Nini?!
Kimsingi ...kwa namna Course Content ya Masters ilivyowekwa ..inalenga kuwachukua watu wanaofanya kazi kuhudumia makundi Maalum...watoto ,watu wenye Ulemavu ,wazee nk
Nimeogopa Sana kuona hata wenye chuo wanachanganya kuhusu Social Security na Social protection 🤭🤭🤭
Nawahakikishia kuwa miaka michache ijayo Hizo Actua Nini sijui ...😆zitatolewa hapo!
 
Course ipo kiasiasa ...kwani Siasa ni Nini?!
Kimsingi ...kwa namna Course Content ya Masters ilivyowekwa ..inalenga kuwachukua watu wanaofanya kazi kuhudumia makundi Maalum...watoto ,watu wenye Ulemavu ,wazee nk
Nimeogopa Sana kuona hata wenye chuo wanachanganya kuhusu Social Security na Social protection
Nawahakikishia kuwa miaka michache ijayo Hizo Actua Nini sijui ...zitatolewa hapo!
dogo, unaijua definition ya social protection?
 
This is the difference. Social security is part of social protecrion
Screenshot_20210622-004854_Google.jpg
 
Ne
This is the difference. Social security is part of social protecrionView attachment 1826029
Ok,Sasa hebu chungulia kwenye utendaji huko Serikalini au NGO uone...Hata muundo wa Maafisa Ustawi was Jamiii umerekebidhwa ku accommodate watu wanaosoma Social Protection!
Hivi punde vyuo wanaona Fursa wataanza kutoa degree hiyo ...Dunia inaenda Kasi bro,usikomalie Definition za mwaka 1979😉
Halafu mnasema Hanna ajira !?!? Asilimia 60 ya NGO nchini zinajishughulishana Social Protection! Lakini sio hizo Hesabu mnazozikomalia ...ni kuhusu afua mbalimbali za kulinda /kuyaendeleza makundi maalum ili yawese kukabiliana au kwenda sambamba na maendeleo na Ustawi was Jamii husika ..
Masuala ambayo yanahaitaji Hesabu au Takwimu za Form Two sio hizo NYOKA 😃!IFM Wameßhaona hiyo Fursa ...ila wakiendelea kumaintaIn Status Quo Vyuo vingine vitawapiku!
Nafikirri nimekusaidia kuijua zaidi Dunia yako ,pamoja na kuwa unaniita dogo!
 
Unalalamika kusoma hesabu au hisabati????

Maana hesabu zenyewe ukiziona utaacha chuo mwenyewe
 
Kumbe Kuna tofauti ...ipi hiyo?!
Calculus
Algebra
Real Analysis
Differential Equations
Theory of Real Functions
Group Theory- I
Multivariate Calculus
Partial Differential Equations
Riemann Integration and Series of Functions
Ring Theory and Linear Algebra- Metric Spaces
Group Theory- II
Complex Analysis
Ring Theory and Linear Algebra-II

Hizo ndo hesabu

sasa kuna tumtu tunashindwa kubalance makabati tunasema tunasoma hesabu!!!!!like seriously????
 
Ne

Ok,Sasa hebu chungulia kwenye utendaji huko Serikalini au NGO uone...Hata muundo wa Maafisa Ustawi was Jamiii umerekebidhwa ku accommodate watu wanaosoma Social Protection!
Hivi punde vyuo wanaona Fursa wataanza kutoa degree hiyo ...Dunia inaenda Kasi bro,usikomalie Definition za mwaka 1979
Halafu mnasema Hanna ajira !?!? Asilimia 60 ya NGO nchini zinajishughulishana Social Protection! Lakini sio hizo Hesabu mnazozikomalia ...ni kuhusu afua mbalimbali za kulinda /kuyaendeleza makundi maalum ili yawese kukabiliana au kwenda sambamba na maendeleo na Ustawi was Jamii husika ..
Masuala ambayo yanahaitaji Hesabu au Takwimu za Form Two sio hizo NYOKA !IFM Wameßhaona hiyo Fursa ...ila wakiendelea kumaintaIn Status Quo Vyuo vingine vitawapiku!
Nafikirri nimekusaidia kuijua zaidi Dunia yako ,pamoja na kuwa unaniita dogo!
Yaani hujielewi, hapo chuoni unapoteza muda, hujui hata unasomea nini mungu wangu.
Usijipachike kwenye social work haikuhusu hiyo ndugu.

Kiufupi wewe ni risk analyst kwenye NGO ya nani utaenda kufanya kazi hujui Mathematics, Statistics, finance, economics, legal aspects .

Now mifuko ya hifadhi ya jamii inachechemea rejea kuanzishwa sheria ya kikokotoo, kupigwa danadana kwa mafao ya wastaafu. Muajiri mkuu aliebaki ni hizo NGOs hasa mabanki na baadhi ya mifuko ya bima, betting companies.

Utaweza vipi kuderive modal ya kulinda mitaji yao wakati hujui hesabu ndugu, au unadhani nikitu rahisi?
Hivi unajua competitors wako ni watu wa actuarial science ambao udsm lazima uwe na A ya namba ndio wakuchukue .

Kuna interview mwaka jana crdb graduate training program kwenye eneo la social protection hesabu zilizokuwepo zilikuwa za kukata nashoka kama unamategemeo hesabu za olevel zikuokoe nakupa pole.
 
Halafu mimi siyo mwanaume...

Na nimekuambia kwakua ndicho nilichosoma. Wewe nikusaidie tu, social protection siyo sociology. Pungiza ujuaji. Nitakuita dogo kwakua unajifunga na kulazimisha ujuaji kwa kitu usichokijua. Hapo IFM sociol protection yenyewe imelegezwa tu hayo mahesabu.

Nikutakie siki njema anyways

Or else siku njema..
 
Yaani hujielewi, hapo chuoni unapoteza muda, hujui hata unasomea nini mungu wangu.
Usijipachike kwenye social work haikuhusu hiyo ndugu.

Kiufupi wewe ni risk analyst kwenye NGO ya nani utaenda kufanya kazi hujui Mathematics, Statistics, finance, economics, legal aspects .

Now mifuko ya hifadhi ya jamii inachechemea rejea kuanzishwa sheria ya kikokotoo, kupigwa danadana kwa mafao ya wastaafu. Muajiri mkuu aliebaki ni hizo NGOs hasa mabanki na baadhi ya mifuko ya bima, betting companies.

Utaweza vipi kuderive modal ya kulinda mitaji yao wakati hujui hesabu ndugu, au unadhani nikitu rahisi?
Hivi unajua competitors wako ni watu wa actuarial science ambao udsm lazima uwe na A ya namba ndio wakuchukue .

Kuna interview mwaka jana crdb graduate training program kwenye eneo la social protection hesabu zilizokuwepo zilikuwa za kukata nashoka kama unamategemeo hesabu za olevel zikuokoe nakupa pole.
Ndugu yangu ,Kwanza sijakwambia Mimi nasoma IFM ...Pili NGO Ngapi zinahitaji Risk Analyst !
Duniani Social welfare inageuka kuwa Social Protection ,usikariri hicho unachofundishwa.bila kuchungulia upande wa pili ..hivi unajua Course Content ya Ms Ya Ifm ...asilimia 70 hapo wanalenga kwenye Social Welfare !
Sasa kama mifuko inakufa ,Sekta yq Bima no ndogo Sana ...huoni kuwa Kina haja ya Vyuo kunyumbulika
 
Yaani hujielewi, hapo chuoni unapoteza muda, hujui hata unasomea nini mungu wangu.
Usijipachike kwenye social work haikuhusu hiyo ndugu.

Kiufupi wewe ni risk analyst kwenye NGO ya nani utaenda kufanya kazi hujui Mathematics, Statistics, finance, economics, legal aspects .

Now mifuko ya hifadhi ya jamii inachechemea rejea kuanzishwa sheria ya kikokotoo, kupigwa danadana kwa mafao ya wastaafu. Muajiri mkuu aliebaki ni hizo NGOs hasa mabanki na baadhi ya mifuko ya bima, betting companies.

Utaweza vipi kuderive modal ya kulinda mitaji yao wakati hujui hesabu ndugu, au unadhani nikitu rahisi?
Hivi unajua competitors wako ni watu wa actuarial science ambao udsm lazima uwe na A ya namba ndio wakuchukue .

Kuna interview mwaka jana crdb graduate training program kwenye eneo la social protection hesabu zilizokuwepo zilikuwa za kukata nashoka kama unamategemeo hesabu za olevel zikuokoe nakupa pole.
Yaani huyu dogo ni mpumbavu kweli. Halag kanashupaza shingo kanajua tunasoma kama kenyewe. Hakajui kama kanadeal.na life insurance haka. Kanataka kakafanye kazi kwenye sociol security funds na hakajui calculations. Kajinga mnoo. Nadhan kuiita social protection ndo imempoteza. Atakua hata hajui kazi zao ziko wapi. Sijui anataka vipi kievaluate majanga. Yaan ndo kifirst year ila keleelee pumbavu. Sasa usikaze udisco. Sasa 2nd year ndo utajua hujui dogo. Katafute kazi za unachokisomeaaa or else nenda ustawi wa jamii.
 
Sasa kama mifuko inakufa ,Sekta ya Bima ni ndogo Sana ...huoni kuwa Kuna haja ya Vyuo kjiongeza ...tafuta Andiko la Serikali kuhusu hàja ya kuwa na Social Protection Frame Work.ndio utaona mwelekeo ukoje...Hata hivyo bado unachokiyetetea pia kina umuhimu pia ...lakini usikatae mawazo mapya
 
Huu ni mwandiko wa Msomi...unajua nyie ndio mnawafanyaga'Manguini ' wawadharau watu mnaosoma Natural Science ...ni Wahafidhina mno ...ndio maana mkipewa Uongozi Mnaongoza kwa kutumia Moyo!!
 
Sasa ulichokua unakipinga ni nn? Mbona hapa unaongea same language? Si nimesema sociol protection is wide yapo mengi yanayoingia humo? I fave a bit of a difference btn sociol protection and social protection?

Kama miaka yote hiyo hizi course zipo hapa kwa IFM na UDSM ipo hiyo Actuarial Science na bado ajira ni siasa unaexpect nini? Hapa ajira hamna. Siasa zimejaa.

Ndoaana nikasema toka kule mwanzo, ingekua rai yangu leo hii kwa miaka hiyo irudi nyuma ningeenda kusoma Kilimo na ufugaji. Hizi vitu za siasa is killing everything. Kwahiyo huyo qa kusoma apambane aache kulia lia
 
Huu ni mwandiko wa Msomi...unajua nyie ndio mnawafanyaga'Manguini ' wawadharau watu mnaosoma Natural Science ...ni Wahafidhina mno ...ndio maana mkipewa Uongozi Mnaongoza kwa kutumia Moyo!!
Nani kakuambia? Hayo ni yako sasa na moyo wako na utajua mwenyewe. Dogo aache ujinga na asome. Tena wangewaongezea kbs.
 
Back
Top Bottom