Mpatuka
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 1,711
- 2,494
hahahah jamaa labda alijua no security guardHivi unajielewa kweli dogo?
Unajua hata unachosomea kweli? Ama kwasababu imeitwa SOCIAL PROTECTION basi ndo ukajua ni ilivyo kama jina lake?
Unajua kama hapo ni CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA?
Unajua kama ni chuo kilichopo chini ya Wizara Ya Fedha?
Unajua hasa core perspective ya hiyo course?
Very arrogant aisee... Social protection is wide. Unadeal na financing, uchumi kiujumla. Unadeal na bima let it be ya maisha ya watu ama properties. Ulifikiri unaenda kusoma SOCIALOGY ama? Mbona hata yenyewe wana hesabu?
Unataka ukafanye kazi kwenye mashirika ya bima hujui hesabu? Kuw ana adabu na course zetu dogo. Na nikuambie tuu, ya hapo IFM imelegea hesabu. Wenzako walienda Masters nje kidogo wakimbie kwa hayo mahesabu. How are u gonna be an ACTUAREE? Mbona hujalalamika kusoma Course ya Law ama CS?
Hamaa kama pamekushindaaa.....