Ifikie hatua upinzani uache kabsa kuwatetea wananchi

Nsam

JF-Expert Member
Oct 25, 2018
212
286
Napendekeza hoja hii ili nao wananchi wajifunze kwa sabab. Wapinzani wanasimama kuwasemama kuhus mishahara midogo ! Wao wanaandaman kupongeza juhudi! Wanakemea suala la korosho wao wanaandaman kupongeza juhudi! Sas ni vyema wananchi wakose wasemaj ili baada ya ukandamizwj wa muda mrefu wapate akili had bibi wa kule kijijin apate akili! La sivyo hatutoboi! Inatakiwa tukandamizwe had tuimbe wimbo mmja! Ona sas wamerudishiwa korosho! Waende wakzipike kwa saabab walipongeza juhud na kusema wamepata mkombozi

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wapinzani uchwara,te te te!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu lini Kangomba akamtetea mkulima wa Korosho?
 
Lini wapinzania au wanasiasa wanawasemea wananchi zaidi ya kusemea matumbo yao kwa kivuli cha wananchi
Kwani wangekuwa wanawasemea wananchi mishahara yao ingefanana na wananchi
 
Kodi za wananchi ndio zinawafanya wasema hivyo ni wajibu wao ndio maana wakiondoka kwenye hizo nafasi huwasikii tena sababu hakuna maslahi.
 
Nafikiri kuna watu wanapenda kuwaona wengine wakiishi maisha ya Shida, huenda ile furaha ya msimu uliopita wa watu kuwanywesha mbuzi soda kuna mtu aliumia Sana, angependa waishi kama mashetani Nadhani, nimewaza tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: prs
Napendekeza hoja hii ili nao wananchi wajifunze kwa sabab. Wapinzani wanasimama kuwasemama kuhus mishahara midogo ! Wao wanaandaman kupongeza juhudi! Wanakemea suala la korosho wao wanaandaman kupongeza juhudi! Sas ni vyema wananchi wakose wasemaj ili baada ya ukandamizwj wa muda mrefu wapate akili had bibi wa kule kijijin apate akili! La sivyo hatutoboi! Inatakiwa tukandamizwe had tuimbe wimbo mmja! Ona sas wamerudishiwa korosho! Waende wakzipike kwa saabab walipongeza juhud na kusema wamepata mkombozi

Sent from my iPhone using JamiiForums
Wananchi wanacho angalia ni mambo ya msingi,Kwasasa huduma za maji, umeme, Barabara, shule za bure, vituo vya afya kusogezwa karibu, Madawa ya binadamu kwenye Zahanati ayo ndio mambo yanayo mpa JPM na Serikali yake heshima kwa wananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmmmm mleta mada kwani wewe walikutetea kitu kama mwananchi walikuletea hela ya Kula nyumbani kwako?
 
Back
Top Bottom