Ifike sehemu wanaume wa nchii hii tuvae sketi tu

Molembe

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
9,821
11,527
Haiwezekani watuibie pesa yetu halafu wakatae kujiuzulu na kutamba kwenye bunge letu tukufu halafu sisi watanzania tumekaa tu tumewangalia, hivi kweli nchi ina wanaume kweli na kama wapo kwanini tusivae sketi tupige umbea na wake zetu kuliko hili la kuibiwa na kubaki kuchekacheka tu hivi haya yangefanyika hata Kenya wangelitulia tu bila kufanya jambo Burkinafaso hawakuwa wajinga.
 
bila kusahau wanja
 
Wakulaumiwa zaidi ni vijana, na wengine sababu ya ushabiki wa vyama wamekuwa wakitetea ubadhilifu kwa nguvu zote eti wanalinda chama, huu ni upumbavu tunaibiwa wote, inauma sana
 
ni wanaume kwa sababu wanavaa suruali tu na sauti lakin hamna kitu.sijaona tofauti mliyonayo na wadada

Mkuu Wewe ni mwanamke halisi? Kwa kweli inaniuma sana kwa haya tunayofanyiwa mpaka sasa tunaogopa hata kuongea kwa amri majumbani mwetu! Maana sasa vimama navyo vimepata nguvu ukijidai tu unaambiwa wanaume wako escrow bwana nyie nini bwana!! Sisi ni mataahira!!
 
Haiwezekani watuibie pesa yetu halafu wakatae kujiuzulu na kutamba kwenye bunge letu tukufu halafu sisi watanzania tumekaa tu tumewangalia, hivi kweli nchi ina wanaume kweli na kama wapo kwanini tusivae sketi tupige umbea na wake zetu kuliko hili la kuibiwa na kubaki kuchekacheka tu hivi haya yangefanyika hata Kenya wangelitulia tu bila kufanya jambo Burkinafaso hawakuwa wajinga.

bunge tukufu? sidhani.
 
Tanzania ni nchi ambayo unaweza kuchukua zuzu,boga amma mbuzi na kumpigia bonge la kampeni na rushwa juu huku ukiwaambia watu ni tabaka fulani mfano dini,kabla,tajiri amma maskini ni likawa kiongozi.Watu watabaki kupiga tu umbea "watanzania wa LEO Siyo wa mwaka 47.Kumbe bora miaka hiyo siku hizi ndio hakuna kitu kabisa unamkuta mtu kakariri kafaulu mtihani lakini ni bonge la mjinga kuhusu masuala nyeti lakini atajifanya MJUVI.Yaani hata mashoga huwa wanaandama kudai haki zao,HATA ALBINO WALIANDAMANA,WANAWAKE NDO USISEME(ANGALIA KENYA).YAANI TANZANIA VIONGOZI NI KAMA WANAOONGOZA MAITI,ALL TANZANIANS ARE STILL STUPID,COWARD AND IGRORANT(Hata hakuna tofauti ya aliyeenda shule wala nini_NO DIFFERENCE.UNAWEZA KUMKAMUA 10,000/_INDIRECTLY NA KUMPA 500/=DIRECTLY ANABAKI KUCHEKACHEKA KAMA ZUZU.AMA UNAWEZA KUCHUKUA ALMASI YAKE UKAMPA KOPO LA POMBE AKAONA UMEMSAIDIA SANA. KUNA MAMBO AMBAYO YANAWEZA KUFANYIKA HAPA TU,NCHI NYINGINE UNGESIKIA KIMENUKA,HATA WATAWALA WAO WANAJUA.WATANZANIA WENGI WAPOWAPO TU,NI MAZUZU.
 
Imasikitisha wabunge wa ccm wanavyolindana humo ndani....

Yaani kwao its okey kiongozi kukatiwa hela?????

Wakati wa kuing'oa ccm ni sasa, tena ingefaa kuanzia ngazi ya serikali ya mtaa.... lakini wananchi wamelalaaaaaaaaaaa kama mazombie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom