Ifike mahali tujiulize tatizo ni nini pale Azam

Kipre tcheche, kipre balou, wawa, manula, nyoni, kapombe, sure boy, himid mao, muda. Nakumbuka kombe la mapinduzi azam hii ilicheza na yanga ile ya moto ta kina bosou, msuva, ngasa etc game ikaisha kwa sare.
Azam wameacha kusajili wachezaji wazuri. Nadhan bajet yao si kubwa
 
Kusajili wachezaji wzuri unahitaji kocha mzuri, kocha. Kuonesha uzuri anahitaji nidhamu ya Mfumo wa utawala na nafasi ya kutekeleza majukumu yake.

Bottoms line.. azam Wana Wana pale sio viongozi.. na wapigaji tu kama wapigaji wengine.. has nothing to do with budget. Kiongozi mzuri will do more with less
 
Nope , kabla ya kuwatoa wasomali kwenye shirikisho walihidiwa us dollars 10,000(team nzima)imagine kwa team nzima yaani milioni 23 tu...sasa hela ilivyotoka viongozi wakawa wanataka wao na benchi la ufundi wawepo kwenye mgao ila Agrrey, Sure boy na Mudathir wakakaza kukataa wakasema hela yenyewe ndogo ni ya wachezaji tu SO WAKALA HIYO ADHABU
Kumbe ni halali kusimamishwa
 
Kwenye mpira kuna matokeo matatu(kufungwa, kufunga, kutoka sare) kila timu inajiandaa vilivyo ili kukabiliana na mpinzani hivyo sioni sababu eti kwakuwa Azam ana kila kitu basi ndo hasifungwe, angalia ligi nyingine za ulaya timu kubwa zinapigwa na timu zilizopanda daraja mf Arsenal vs Brentford
 
Mpira ni bahati , unaweza kuwekeza na usipate matokeo ,rejea Monaco
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom