Ifike atua bakressa afanye maamuzi magumu.

Manofu

JF-Expert Member
Nov 3, 2018
1,317
2,019
Timu ina kila kitu pesa,viwanja, malupulupu, usafiri mzuri na kila aina ya incentives.
Njoo uwanjani sasa timu inacheza kama ipo umitashumita kweli? yani pesa yote mtu kawekeza alafu litimu linafungwa goli tatu utafikili ni ndanda fc. Ifike atua uongozi wa azam ubadilike wekezeni kwenye scouting ya wachezaji sio kusajili wachezaji wazee kama kina ngoma na chirwa pumbavu zenu.
 
we jamaa wahi milembe,,

unashangaa azam kufungwa3
simba5 yanga0
fiorentina7 as roma0
man.u8 arsenal2
man.c6 chelseo0
barca5 madrid0
madrid14 barca0
bournemouth4 chelseo0
Unafungwa lakini umecheza mpira. Nikama yanga tulivyo fungwa na simba ila mwisho wa siku unasema ata kama tumefungwa wamelala na viatu. Sio unafungwa kikekike.
 
Hivi ungekuwa wewe ndo mmiliki wa timu alafu litimu linacheza mpira kama lipo kwenye bonanza ungefanyaje?

Tatizo ni sajili wanazofanya. Jamaa anahujumiwa kwa kuletewa wachezaji wazee na waliochoka kutoka vilabu vya simba na yanga...
 
Tatizo ni sajili wanazofanya. Jamaa anahujumiwa kwa kuletewa wachezaji wazee na waliochoka kutoka vilabu vya simba na yanga...
Menenjimenti yote ya azam fc ni pumba tupu. Timu inasafili kwa ndege,timu ina uwanja mzuri, posho malupulupu, mabasi mazuri ila uwanjani sufuri kabisa bora ata namongo fc.
 
Chelsea ni zaidi ya Azam Fc ilaa alifungwa 6.0 na timu ambayo ni kama Man city kwa Bongo hii
Cjakataa ila ufungwe kila mtu aone kwamba umefungwa kialali. Unafungw kama vile uwanjani ulikuwa umesimama tu.
 
Timu ina kila kitu pesa,viwanja, malupulupu, usafiri mzuri na kila aina ya incentives.
Njoo uwanjani sasa timu inacheza kama ipo umitashumita kweli? yani pesa yote mtu kawekeza alafu litimu linafungwa goli tatu utafikili ni ndanda fc. Ifike atua uongozi wa azam ubadilike wekezeni kwenye scouting ya wachezaji sio kusajili wachezaji wazee kama kina ngoma na chirwa pumbavu zenu.
Unazungumziaje chelsea kufungwa 6 na man city?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom