Ifike atua bakressa afanye maamuzi magumu.

Kwahyo mbao unaichukulia kiwepesi kwa akili yako pole sana. Ile timu ndo ingepata pesa walizo nazo azamu fc nakuakikishia fc vita wangekuwa wanapigwa tano bila nje ndani.
Njaa ndyo inayofanya wachezaji wa mbao kujituma uwanjani kwa matumaini kuwa timu kubwa zitawaona na kuwasajili. Na wakishafika izo timu kubwa wakajenga nyumba na kununua gari basi wanabweteka as usual km wachezaji wa azam .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiifunga Simba unajituma(Mbao), ukifungwa na Simba (Azam) haujitumi.
Hiki ni kituko.
Chief kuna kujituma na still ukapoteza game sasa tunachoona kwa wachezaji wa azam ni kubweteka ....mfano ligi ya uingereza man u akiwa anacheza lets say na west ham. Man u anaweza akashinda lakini unaona kbsa west ham wanapambana mpaka tone la mwisho wanajituma kwa dk zote 90 bila kuchoka tofauti na wachezaji wa azam wanacheza km wamelazimishwa

Mbao wanajituma kisa waliifunga simba? Na azam wabovu kisa wamefungwa na simba? Positions zao kwenye standings zikoje?
 
Kwahyo mbao unaichukulia kiwepesi kwa akili yako pole sana. Ile timu ndo ingepata pesa walizo nazo azamu fc nakuakikishia fc vita wangekuwa wanapigwa tano bila nje ndani.
Ndyo maana nikakwambia mbao wakipata pesa hawataperfom km wanavyoperfom sasa ...mchezaji wengi wa kibongo wakishaanza kushika hela ndefu wana loose focus mpaka wapewe presha ndyo wanajituma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Timu ina kila kitu pesa,viwanja, malupulupu, usafiri mzuri na kila aina ya incentives.
Njoo uwanjani sasa timu inacheza kama ipo umitashumita kweli? yani pesa yote mtu kawekeza alafu litimu linafungwa goli tatu utafikili ni ndanda fc. Ifike atua uongozi wa azam ubadilike wekezeni kwenye scouting ya wachezaji sio kusajili wachezaji wazee kama kina ngoma na chirwa pumbavu zenu.
Umetoa ushauri mzuri mno !
 
Mbona kocha wa azam ameliweka hili suala la yeye kufungwa hasa na simba wazi! Amesema wamefungwa sababu simba imecheza kwa kujiamini na imeonesha uzoefu sababu mashindano ya kimataifa yamewapa uzoefu mkubwa sana, Ile kucheza na team kubwa za africa na kuzifunga imeiongezea simba ari na molali na kuifanya iwe bora zaidi .
Hili ndilo jibu sahihi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chirwa na Ngoma bado wameonekana angalau kuokoa jahazi ninavyoona mimi kwa ball control hata body physical
Shida iliyopo sasa hivi Tanzania hakuna wachezaji hasa hapa Dar es salaam,ndio kisa unashangaa hadi kina Ngassa,Chuji,Boban,Ally Kiba eti wanaingia kati
Tatizo la Azam ni wasimamizi,sijui nini kiliwatuma wakawaacha Wawa na Boko?haya Leo hii hao mliowaacha wanawasulubu mtatafuta wapi mchawi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom