Ifikapo tarehe 30 Juni wakandarasi watakiwa kukamilisha miradi ya REA awamu ya pili

Pistol

Senior Member
Oct 13, 2015
194
86

13428657_989432727821069_2902967923912802538_n.png


Serikali imeagiza wakandarasi wote wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini (REA) awamu ya pili katika maeneo mbalimbali nchini wahakikishe ifikapo tarehe 30 mwezi june wanakamilisha miradi hiyo.

Endapo watashindwa kutekeleza zoezi hilo watafungiwa kufanya kazi zao hapa nchini pamoja na kulipa fidia kwa mujibu wa mkataba uliowekwa kati yao na Serikali.
 
Hivi haya maagizo yenye malengo ya umaarufu wa bei poa ya kisiasa yasiyoheshimu mikataba ya wahusika mbona ni maigizo matupu. Huu utapeli wa kisiasa utaisha lini?
 
Back
Top Bottom