Ifahamu siri iliyojificha katika matangazo ya kulipia (sponsored ads) na jinsi ya kupata faida

Vanlizerfx__

Senior Member
Jul 7, 2021
114
189
Ukweli Kuhusu Matangazo Ya Kulipia!( Sponsored ads)

Huwa nasema kama hujui Kulipia Matangazo FB na Instagram na wewe ni mfanya biashara unayetaka Mafanikio Makubwa Mtandaoni.

Kitendo Cha kutojua Kufanya hicho kitakukwamisha sana kupiga Hatua Mtandaoni.

Najua unapata Wateja wachache WhatsApp groups.

Tatizo la WhatsApp groups ni kwamba Wateja wake ni wachache sana.

Wakishanunua Wateja 10 ndo basi...waliobaki Siyo Wateja wako.( Hawana uhitaji na bidhaa Yako)

Unashauriwa lipia matangazo FB na Instagram UPATE watu wenye uhitaji na bidhaa au buduma Yako mara kwa Mara.

Utapata mara 10 mpaka 20+ ya Wateja Unaopata sasahivi!...hakuna ubishi.

Kutumia link ya WhatsApp kusambaza Katika magroup mengine ya WhatsApp Kupata wateja njia HIYO SI NZURI sana kukupatia Wateja wa kutosha.

Kwani Wengi wanaojiunga Siyo wahusika wa bidhaa au huduma Yako.( Kuna watu kila akiona Link ya group anajiunga tu...akijiunga anaanza kuuliza group hili Linahusu nini? Hata akijibiwa haleft.

Swala Siyo kuwa na watu wengi swala ni kuwa na watu wenye uhitaji wa bidhaa au huduma Yako.

Tatizo Siyo bidhaa au huduma tatizo Unauza kwa Watu ambao Hawana uhitaji na bidhaa Yako.

Unauza Bibilia kwa Mpagani unategemea KUUZA?

Utauchukia mtandao BURE na KUSEMA hakuna Wateja kwa sababu Unauza bidhaa kwa Watu wasiosahihi.

Kumbuka biashara yako Siyo kwa kila Mtu!

Tafuta Walengwa au hadhira ya bidhaa au huduma Yako.

Kujifunza Kulipia matangazo fb na Instagram haiepukiki kama uko Serious na biashara yako Mtandaoni.

Na kama hujui Kulipia Matangazo FB na Instagram wewe bado hujajua utamu wa biashara Mtandaoni. Badoo sana.

Kama hujui Kulipia Matangazo FB na Instagram Leo nitakutumia VIDEO inaoyoonyesha Hatua kwa Hatua jinsi ya Kulipia matangazo fb na Instagram na Kupata Wateja mara 10- 20 ya wale Unaopata kwa sasahivi Tena kwa gharama sawa na BURE Kabisa.

Acha ku-post bidhaa au huduma Yako kwa magroup tu bila utaratibu maalumu.

Bofya Link hii sasahivi Kupata video hiyo.Nambie una Shida na VIDEO. Nitakutumia sasahivi.

 
Hata wewe hujui kutangaza biashara pia.
Umesema unaweka link . Lkn unaweka namba ya simu, maana yake umedanganya
Ungeenda straight kuwa nitafute kuelekeze kwa gharama kadhaa
 
Back
Top Bottom