Ifahamu shule ya bei kubwa zaidi Duniani ambayo ipo Switzerland

Kuna kitu kwenye biashara kinaitwa GOODWILL. Yaani chpisi yai ya 2500 Ubungo ukienda Posta kwenye mgahawa fulani unauziwa 9000.

Ukiwa na jina kubwa la biashara yako unaweza kupanga bei unayotaka.

Kutoka Arusha kuja Dar kuna mabasi mazuri kuliko KILIMANJARO EXPRESS ila bei yao ni elfu 25 wakati KILIMANJARO EXP wanachaji hadi elfu 36.

Goodwill= ni kuuza kitu kwa kutumia ukubwa wa jina la kampuni ila bidhaa au huduma ni ile ile.

Mimi nimesoma Ifunda Tech kwenye baridi ada ilikuwa elfu 70 kwa mwaka nikapata division I na kuna mwingine kasoma Feza Boys kalipa ada milioni 6 kapata division I kama yangu.
Dhiki ulizopitia ifunda mwenzako wa fedha anazisikia tu
 
haziwezi kufanana...kajaribu kuongea kizungu mbele ya watu uone tofauti...weweee
 
Weee ninatema yai mzungu akosome. Uliza debate za Tosamaganga, Iringa girls hadi Malangali nilikuwa nakimbiza.

Ila kusema ukweli English sio kipimo cha akili au maarifa. Zambia, Malawi, Zimbabwe wanaongea English nzuri kuliko Tanzania ila ni maskini wa kutupwa!
 
Kuna kitu kwenye biashara kinaitwa GOODWILL. Yaani chpisi yai ya 2500 Ubungo ukienda Posta kwenye mgahawa fulani unauziwa 9000.

Ukiwa na jina kubwa la biashara yako unaweza kupanga bei unayotaka.

Kutoka Arusha kuja Dar kuna mabasi mazuri kuliko KILIMANJARO EXPRESS ila bei yao ni elfu 25 wakati KILIMANJARO EXP wanachaji hadi elfu 36.

Goodwill= ni kuuza kitu kwa kutumia ukubwa wa jina la kampuni ila bidhaa au huduma ni ile ile.

Mimi nimesoma Ifunda Tech kwenye baridi ada ilikuwa elfu 70 kwa mwaka nikapata division I na kuna mwingine kasoma Feza Boys kalipa ada milioni 6 kapata division I kama yangu.
... na huwa tunaushukuru sana ule msitu wa posta kule.

Ila hiyo shule ya Instut Le Rosey sijapenda huo utaratibu wao wa kukaa hasa kipindi cha mitihani, maana kwenye pepa lolote laweza toke.
 
Chips yai Samaki Samaki ni 25,000 yaani Elfu ishirini na tano.
 
Weee ninatema yai mzungu akosome. Uliza debate za Tosamaganga, Iringa girls hadi Malangali nilikuwa nakimbiza.

Ila kusema ukweli English sio kipimo cha akili au maarifa. Zambia, Malawi, Zimbabwe wanaongea English nzuri kuliko Tanzania ila ni maskini wa kutupwa!
aah sio kipimo lakini ni muhimu, mi nikisikia naitwa na mkurugenzi huwa naona kero, au tatizo likitokea kwake naona kero, jamaa mzungu alafu
yai lake vigumu kulielewa mpk aongee taratibu...heheheheheheee unaweza pishana na hela
 
... na huwa tunaushukuru sana ule msitu wa posta kule.

Ila hiyo shule ya Instut Le Rosey sijapenda huo utaratibu wao wa kukaa hasa kipindi cha mitihani, maana kwenye pepa lolote laweza toke.
Ha ha ha kweli mkuu, tunakula upepo ndani ya msitu.
 
Weee ninatema yai mzungu akosome. Uliza debate za Tosamaganga, Iringa girls hadi Malangali nilikuwa nakimbiza.

Ila kusema ukweli English sio kipimo cha akili au maarifa. Zambia, Malawi, Zimbabwe wanaongea English nzuri kuliko Tanzania ila ni maskini wa kutupwa!
Malangali chama
 
Hii shule ina wasichana na wavulana?

Kale katabia kanyuma ya mlango O-level, na disco za mwisho wa muhula vipi au ndio CCTV CAMERA kila eneo ili nimlete mwanangu awahi ngozi nyeupe chapu
 
Back
Top Bottom