Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

Hiyo kitu ni balaa,wiki juzi pumbu lilikuwa gumu na magamba juu nimejikuna mpaka nikawa natoa unga asubuh maji ya baridi yakipita kwenye pumbu inakuwa vita, ikanibidi niende hospital nkakuta kidokta cha field kikanionesha dawa vidonge 38 bei 8000tsh na dawa ya kupaka 4000ths,nkasema haiwezekani nkanunua gentrizone kidogo nimeanza kupata nafuu!!
 
Wale tuliosoma shule shule za bweni Dar au Pwani nadhani hili si jambo la kusimuliwa, maana ndio mashuhuda wakubwa.
Ilifikia hatua wauza madawa kwenye maduka walikuja shuleni kutoa taarifa kwa uongozi wa shule kuwa wanafunzi wenu mbona wananunua sana dawa za fangasi, ikabidi tuitwe assembly, girls wakakiri kuna shida wanaumwa sana, baada ya siku 2 boys nao wanakiri kuwa hali ni mbaya full maunga unga.
Toka siku hiyo niliacha kuogea bafuni, ni nje tu maana nilikuwa bado sijapata hilo tatizo na ndio ikawa ponepone yangu.
 
Wachangiaji wote mme😂🤣🤣🤣🤣zifumua mbavu zangu kwa ushuhuda wenu, ni burudani mwanzo mwisho huku tunaelimishana! Nawashukuru wooooote! Elimu hii tuwape wadogo zetu na watoto wetu pia maana kama nilivyogusia hapo mwanzo, maumivu yake siyo ya dunia hii baada ya kufurahia kujikuna au kupiga gitaa kama wachangiaji wengine walivyosema. Unapoambiwa mtu haogopi moto wa jehanamu badala yake anaogopa pumbu erosion inabidi upige picha ya magumu anayopitia mtu anapopata hii kitu!
powder inoyotumika kutibu fungus za vidoleni (athletic foot) pia inafaa sana kwa kutibu hii kitu! Antifungal powder nyingi zinafaa lakini kikubwa ni kuepuka unyevunyevu na kuzingatia usafi!
Zipo antifungal cream na ointments ambazo pia hutibu ila zinachukua muda mrefu zaidi kutoa matokea. Pia antifungal cream zenye steroid sizifagilii kihivyo kwa madhara yake kwenye kinga ya mwili! Za kunywa pia zinafaa sana hasa kwa wale kinga zao za mwili ziko kwenye hatihati, lakini pia ni vizuri wakatumia pia topical/za kuweka mahala husika!
 
Wadau wa Lyamungo, Umbwe, Mpwapwa,Ilboru,Old Moshi,Tabora boys, ngamia wa Same boys, Pugu boys, Nyegezi sec, na wengine wengii wa domitori za kiumeni tukutane hapa.

Sisi kuna mhuni alikuwa anachoma mabaharia kwa dawa ya mba ile ya kijani huyu ndio alikuwa mtaalamu wetu a.k.a dokta Pumb.u dseases

Kuna watu sishangai nikisikia hawana watoto
 
husababishwa na uchafu
mimi pia nilisoma boarding na sikua najifuta huko nikitoka kuoga ila sikuwahi kuupata
unatakiwa uwe unaoga mara kwa mara na uwe na boxer nyingi, nilikua nazo zaidi ya 5 na nilikua naanika juani, huu ugonjwa niliusikilizia tu kwa watu, na mpaka leo naeza kuoga nisijifute na taulo ila sijawahi kuumwa
Uchafu una account kidogo sana kwa matatizo ya fungus
 
Nakumbuka pia nlikuwa mmoja wa muhanga wa hio kitu, mwaka wa Mwisho chuoni ilitukumba wote tulioishi bwenini, ilitutesa Sana Mpaka mmoja wetu bwenini letu ilikuwa na boys 25 hakuna hata mmoja alienusurika kutokana salama

Japo ilimshambulia Kwa kila mtu Kwa stail yake lakin kuna wengine Mpaka wanamaliza chuo walikuwa wakiugua hio kitu me ilitutesa Sana na mbaya zaid wakat nipo field sehemu nilipokuwa nafanyia n sehemu yenye watu wengi basi nlikuwa nanyanyuka nazuga naenda whani huko n kujikuna sio Kwa kawaida Mpaka p**b zinakuwa nyekundu

Lakini me nlikuja kuipatia nikawa napaka lotion kwangu ilikuwa inanisaidia, lakin nlipo washaur wengine ambao tulikuwa room Moja hawakupatana nayo, Mpaka tukamaliza chuo Bado tatizo hilo liliwatesa wenzangu me nlipona Kwa njia hio ya kupaka lotion
 
Msaada kwa yule anayejua dawa au tiba jamani,niko DAR ES SALAM huwa nikija dar huku ugonjwa huwa naupata abao na dalili zake .........

(1)muwasho

(2)maumivu

(3)kutoka kwa mabaka meusi kama unba sehemu za korodani
Ebu weka picha mkuu
 
Mkuu oga halafu paka limau kuzunguka sehemu husika.Hayo madudu utayasahau
Kuna zile ambazo haziwashi wala kuuma lakini zinakuwa kama zinakula ngozi hivi...?

Yani kama ngozi ya paja pale zinapoegemea pumbu Ngozi ya paja inakuwa nyeusi,sasa wakikaa hao wadudu ngozi inakuwa kama imechunika hivi kama kuna mabaka mabaka hivi..ile nayo ni fangas unatumia limao?

Vp ndim?
 
Msaada kwa yule anayejua dawa au tiba jamani,niko DAR ES SALAM huwa nikija dar huku ugonjwa huwa naupata abao na dalili zake .........

(1)muwasho

(2)maumivu

(3)kutoka kwa mabaka meusi kama unba sehemu za korodani
Wewe ni ke?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom