Ifahamu pumbu erosion

Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2017
Messages
32,628
Points
2,000
Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2017
32,628 2,000
Hahahaaa pamoja sana mkuu Mwifwa ukichanganya yale maji ya bwawani na uchafu aisee P. Erosion ilikua Kama SI unit ya pond boy yeyote. Unajikuna wee mi nilikua hadi naokota vigunz kule kwa kinyogoli naenjoy. Ila ndo zinakua kama maini na maumiv makali baada ya hapo dah
 
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Messages
4,900
Points
2,000
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2016
4,900 2,000
Story za watu zinachekesha
 
Joop

Joop

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Messages
269
Points
500
Joop

Joop

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2014
269 500
Niwe sehemu ya ushuhuda


Back then uboyzin Advanced level!!


Basi kukawa na hiyo ma_kitu,hadi ndoo za kuogea zilikuwa na utando mweupe, likely to be fungus ambapo tuliamini ni source ya pumbu erosion.

Asalaeee... Mara pap ninazo! Mwanzoni nilikuwa nahisi raha kupiga gitaa basi nikawa nalicharaza ile ile. Aaaargh, hali ikawa si hali nikaona niachane na uvaaji wa nguo za ndani maana hata boxer nilizokuwa nazo zilikuwa ni za polyester.

Ila niliporudi home likizo zikapotea basi nikanunua bonge la pensi, linavaliwa nje ndani. Nakarudi nalo skonga!!

Ikawa after skuli hawaz natupia mpensi wangu, kama nitavaa upande wablue basi kesho yake kijivu wana wanahisi ninayo mawili kumbe moja tu!!... Suruali ya shule navaa bila kitu ndani, kengele zinagongana tu hadi nikazoea......!!

Nashukuru ilikuwa kama tiba cuz sikukumbwa na kadhia hiyo tena!!
 
kurlzawa

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Messages
6,423
Points
2,000
kurlzawa

kurlzawa

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2018
6,423 2,000
Pumbu erosion ni ugonjwa wa kuvu(fungus) unaowapata watu wenye kwenye mikunjo ya ngozi sehemu ya siri zenge joto na unyevunyevuโ€ฆhasa kwenye mapumbu/korodani

Nilipokuwa sekondari niliwaji kupata na iilisababishwa na kuvaa chupi bila ya kujifuta maji mara baada ya kuoga au kujitawaza! Pia kurudia kuvaa chupi bila kufua. Kwa kifupi ni uchafu na unyevunyevu ndio haswa ndio visababishi vya kuwafanya kuvu (fungus) hao kuota na kukua.

Dalili ni hizo hizo kujikuna sana hata kujichubua ngozi na kusababisha majeraha ambayo hutoa majimaji na baadaye kuweka tabaka gumu ambalo pia huwasha sana.

Ukioga maji ya baridi utapata maumivu siyo ya dunia hii na hivyo unashauriwa kuoga maji ya vuguvugu! Mara unapooga zingatia kujifuta vizuri na upake antifungal powder na siyo dawa yoyote ya cream au majimaji.

Lengo ni kutengeneza mazingira makavu ktk maeneo ya sehemu za siri. Na kumbuka kupiga pasi taulo ili kuua kuvu wanaojishikisha kwenye taulo. Pia ukumbuke kuvaa chupi safi na kamwe usirudie kuvaa chupi chafu.

Dawa kama mycota powder ni kiboko kwa aina ya kuvu hawa na ukianza kuitumia matokea ni ndani ya masaa 24 hali inadarikia na unapomaliza wiki unakuwa na dalili za kupona kabisa. Lakini hata hivyo unapaswa uendelee na matibabu kwa takribani wiki mbili baada ya dalili zote kupotea.

Nawasilisha!
Mpaka asaivi unavaaga chupi?
 
King Adolfo Osaka

King Adolfo Osaka

Member
Joined
Mar 15, 2017
Messages
86
Points
125
King Adolfo Osaka

King Adolfo Osaka

Member
Joined Mar 15, 2017
86 125
Mkuu Hero umenikumbusha mbali sana, miaka ile ya Azania Boys wakiwa boys kweli kweli, enzi za Mzee Meja. Bafu za pale school zilikuwa chafu na zimejaa vimimea mithili ya algae. Usipokuwa makini, lazima uondoke na fangasi.
Mwenzetu mmoja aliathirika na hizi fangasi, full time mkono umezama kwenye balls zake - tulimbatiza Mr. Fungus.
 
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Messages
94,465
Points
2,000
BAK

BAK

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2007
94,465 2,000
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚kama nakuona vile Mkuu umesepa darasani umejificha mahali unakuna pumbu kwa raha zako huku macho yakiwa busy kulinda usalama wa eneo. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Huo ufala ulinipata nikiwa form 3 aisee acha kabisa.

Chanzo nilinunua boxer za mpira Ubungo pale. Zile boxer zilinisababishia hayo matatizo kende zikawa na rangi ya kungu flani na wingu jeusi jeusi usipime hayo maumivu yake. Ilikuwa class sikai halafu kipindi cha joto yanawasha kinoma

Likizo nilikuja nikapata cream na nikabadili boxers na kununua za cotton nikapona. Tangu na hapo sijawahi kulipata tena hilo gonjwa.
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
17,202
Points
2,000
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
17,202 2,000
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚kama nakuona vile Mkuu umesepa darasani umejificha mahali unakuna pumbu kwa raha zako huku macho yakiwa busy kulinda usalama wa eneo. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Nilikuwa Santana kwa muda
 
oscarsolomon

oscarsolomon

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2017
Messages
3,920
Points
2,000
oscarsolomon

oscarsolomon

JF-Expert Member
Joined Apr 8, 2017
3,920 2,000
kwa kifupi wakisema tukifa adhabu ya waovu ni kuumwa pumbu erosion naanza kusali sasa hivi
Hahahaaa pumbu zina kasheshe kuliko moto wa milele aisee hii kali
 
FORTALEZA

FORTALEZA

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Messages
3,005
Points
2,000
FORTALEZA

FORTALEZA

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2017
3,005 2,000
ukinipata mwezi wa 3 tu hapo....

Me nkaupotezea, usiku napiga gitaa hadi ngozi yote inatoka korodani znabak na ngo nyekundu kama inataka kutoa damu hivi... Nliacha tu maana hujaga na kupona wenyewe,

Kilichonikuta sasa kilinikimbiz pharamcy kununua cream ya kupaka.. Ilikua hivia bwana..

Nilienda bafun kuog sasa kila nkitafuta sabuni siioni, na nina haraka sana, nkatafta tafuta wapi, nkaona isiwe shida acha niogee ya unga...

Dk 2 mbele naanza kuhisi kama nachanwa chanwa na viwembe katika korodani, maumivu yake hakika ni kama zmekatwa na kunyofolewa kabisa..

Sio raggae sio kiduku vyote nilicheza... Ilipopoa chaap nko pgamacy siamini kama mzima
Dawa gani ulitumia?
 
FORTALEZA

FORTALEZA

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Messages
3,005
Points
2,000
FORTALEZA

FORTALEZA

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2017
3,005 2,000
Pugu Boys wanaufaham vizuri sana ugonjwa huu
 

Forum statistics

Threads 1,313,752
Members 504,645
Posts 31,803,984
Top