Ifahamu pumbu erosion

zinginary

zinginary

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2015
Messages
2,308
Points
2,000
zinginary

zinginary

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2015
2,308 2,000
ukinipata mwezi wa 3 tu hapo....

Me nkaupotezea, usiku napiga gitaa hadi ngozi yote inatoka korodani znabak na ngo nyekundu kama inataka kutoa damu hivi... Nliacha tu maana hujaga na kupona wenyewe,

Kilichonikuta sasa kilinikimbiz pharamcy kununua cream ya kupaka.. Ilikua hivia bwana..

Nilienda bafun kuog sasa kila nkitafuta sabuni siioni, na nina haraka sana, nkatafta tafuta wapi, nkaona isiwe shida acha niogee ya unga...

Dk 2 mbele naanza kuhisi kama nachanwa chanwa na viwembe katika korodani, maumivu yake hakika ni kama zmekatwa na kunyofolewa kabisa..

Sio raggae sio kiduku vyote nilicheza... Ilipopoa chaap nko pgamacy siamini kama mzima
Ahahahaha
 
DEGESWASWA

DEGESWASWA

Member
Joined
Apr 12, 2019
Messages
78
Points
125
DEGESWASWA

DEGESWASWA

Member
Joined Apr 12, 2019
78 125
Boss nilichaguliwaga hiyo shule a level ila sikwenda nikapiga private hapa hapa mtaani,,, mkuu walau nielezee kdgo kuhusu hiyo shule maana nilitaka sana kuja ila wazee wangu wakagoma
Shule Mkoa wa mbeya wilaya ya kyela kata ya Mababu(Matema)
Usafiri kwa kipindi hicho kutoka kyela mjini kwenda Matema ilikuwa ni shilingi elfu tatu( Gari aina ya Noah) ndio kama daladala zao au usafiri mkuu kutoka kyela town kwenda huko matema, is just almost more than 20 km mpaka kufika huko
Barabara haikuwa na lami that time sijajua kwa muda huu pengine huwenda iliwekwa na bwn mwakyembe ambaye ndio mbunge wao wa muda wote kule Kati
Shule
Mazingira ya shule ni mazuri Sana kwa kwa mwanafunzi yoyote yule aliye tayari kujifunza kwani safu za milima Livingstone zilizo fungwafungwa na miti mingi yenye kuleta Hali ya hewa nzuri Sana all over the area ase asikwambie mtu Bob, vumba ya madarasa na ofisi za walimu si haba mabweni almost matano yaliyo na uwezo wa kubeba watu wa kutosha lakini kubwa haswa la upekee ni morari iliyopo kwenye shule ile ambayo imetengenezwa na wahasisi (first form six leavers) ya kusoma Sana Kama darasa kwa kila combination ni jambo la kawaida sana after prepo watu kubaki darasani kujifunza wenyewe na kwa nidhamu ya Hali ya juu as if Kuna mwalimu darasani, hili mosi lakini kubwa zaidi ni juhudi za walimu (mapindi) yalikuwa yanapigwa Bob mpaka unakubali
Kwa miaka hiyo kule Kati hakukuwa na wizi kabisa Kati ya wanafunzi wenyewe kwa wenyewe hii Ni kutokana na action zilizo kuwa zikifanywa dhidi ya wezi au mtu yoyote mwenye tabia ya udokozi, I wonder for the first time kuona madaftari na vitabu kubaki darasani Yani kila darasa lilikuwa Ni Kama maktaba ndo, no sweat kuchukua kitabu darasa flani kutumia na kurudisha
MHhhh yapo mengi mazuri kwa mm pale niliishi Kama home Bob binafsi yangu mazingira yalinikubali Sana
Msosi
Kwa chakula mbeya ni mkoa ambao hauna njaa kabisa ki ukweli wamabarikiwa Sana hivyo tangu tunaingia pale mpaka tunaondoka shule haijawahi kufungwa kwa sababu ya kukosa chakula, migomo haijawahi tokea labda huko mbeleni hii Ni kwa sababu ya life style ya shule ile watu wanavyoishi iko bond poa Sana Kati ya walimu na wanafunzi
Finally
Tangu ile shule ianzishwa hakuna mtu kwa upande wa "A" level aliye pata zero, matema Ni kwaida Sana kufaulu darasa zima in all combination to the extent kukaanzishwa ka slogan na wanafunzi wenyewe later on walimu waka adopt

"MATEMA BEACH HIGH SCHOOL IS THE SHORTCUT WAY TO UNIVERSITY"
 
REDEEMER.

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2015
Messages
7,635
Points
2,000
REDEEMER.

REDEEMER.

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2015
7,635 2,000
Nilikuwa natembea na powder mfukoni, kwa ajili ya lubricant na kukausha.

Nikitembea kidogo mapaja yanazoea powder yote kitu inaanza kusuguka na kuuma
Powder nayo ni lubricant?
 
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
9,651
Points
2,000
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
9,651 2,000
Enzi hizo nasoma boys mamaee mpaka pumbu zinakuwa nyekunduuuu
 
vidmate

vidmate

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2018
Messages
333
Points
500
vidmate

vidmate

JF-Expert Member
Joined May 7, 2018
333 500
Shule Mkoa wa mbeya wilaya ya kyela kata ya Mababu(Matema)
Usafiri kwa kipindi hicho kutoka kyela mjini kwenda Matema ilikuwa ni shilingi elfu tatu( Gari aina ya Noah) ndio kama daladala zao au usafiri mkuu kutoka kyela town kwenda huko matema, is just almost more than 20 km mpaka kufika huko
Barabara haikuwa na lami that time sijajua kwa muda huu pengine huwenda iliwekwa na bwn mwakyembe ambaye ndio mbunge wao wa muda wote kule Kati
Shule
Mazingira ya shule ni mazuri Sana kwa kwa mwanafunzi yoyote yule aliye tayari kujifunza kwani safu za milima Livingstone zilizo fungwafungwa na miti mingi yenye kuleta Hali ya hewa nzuri Sana all over the area ase asikwambie mtu Bob, vumba ya madarasa na ofisi za walimu si haba mabweni almost matano yaliyo na uwezo wa kubeba watu wa kutosha lakini kubwa haswa la upekee ni morari iliyopo kwenye shule ile ambayo imetengenezwa na wahasisi (first form six leavers) ya kusoma Sana Kama darasa kwa kila combination ni jambo la kawaida sana after prepo watu kubaki darasani kujifunza wenyewe na kwa nidhamu ya Hali ya juu as if Kuna mwalimu darasani, hili mosi lakini kubwa zaidi ni juhudi za walimu (mapindi) yalikuwa yanapigwa Bob mpaka unakubali
Kwa miaka hiyo kule Kati hakukuwa na wizi kabisa Kati ya wanafunzi wenyewe kwa wenyewe hii Ni kutokana na action zilizo kuwa zikifanywa dhidi ya wezi au mtu yoyote mwenye tabia ya udokozi, I wonder for the first time kuona madaftari na vitabu kubaki darasani Yani kila darasa lilikuwa Ni Kama maktaba ndo, no sweat kuchukua kitabu darasa flani kutumia na kurudisha
MHhhh yapo mengi mazuri kwa mm pale niliishi Kama home Bob binafsi yangu mazingira yalinikubali Sana
Msosi
Kwa chakula mbeya ni mkoa ambao hauna njaa kabisa ki ukweli wamabarikiwa Sana hivyo tangu tunaingia pale mpaka tunaondoka shule haijawahi kufungwa kwa sababu ya kukosa chakula, migomo haijawahi tokea labda huko mbeleni hii Ni kwa sababu ya life style ya shule ile watu wanavyoishi iko bond poa Sana Kati ya walimu na wanafunzi
Finally
Tangu ile shule ianzishwa hakuna mtu kwa upande wa "A" level aliye pata zero, matema Ni kwaida Sana kufaulu darasa zima in all combination to the extent kukaanzishwa ka slogan na wanafunzi wenyewe later on walimu waka adopt

"MATEMA BEACH HIGH SCHOOL IS THE SHORTCUT WAY TO UNIVERSITY"
Shukran kwa maelezo deep walau napata picha jinsi nilivyomiss bonge la fursa kufika huko
 
Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2017
Messages
32,675
Points
2,000
Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2017
32,675 2,000
kuna jamaa yang aliupata, mda akiamua kujisugua anajisugua mpk unga unajaa chini halaf anaita kuku walee, wale kuku wakitoka hapo ni chafya na kuanguka kwa kulewaa, ilikua wakimuona tuu anaingia chemba wanasimama nje kwa furaha.
 
Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2017
Messages
32,675
Points
2,000
Mwifwa

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2017
32,675 2,000
Ila huu ugonjwa wakati unajikuna ni rahaaaa utamu nyie acheni tu. Pond boys Minaki kwa Jokate asalaam aleikum
Nipo hapa mkuu, huo ugonjwa umenitendea haki, haukunibagua hata kidogo enzi za Upond boy
 
GeoMex

GeoMex

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Messages
2,143
Points
2,000
GeoMex

GeoMex

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2014
2,143 2,000
Hahahaaa pamoja sana mkuu Mwifwa ukichanganya yale maji ya bwawani na uchafu aisee P. Erosion ilikua Kama SI unit ya pond boy yeyote. Unajikuna wee mi nilikua hadi naokota vigunz kule kwa kinyogoli naenjoy. Ila ndo zinakua kama maini na maumiv makali baada ya hapo dah
 
C

copernicucci98

Senior Member
Joined
Jul 28, 2018
Messages
183
Points
500
C

copernicucci98

Senior Member
Joined Jul 28, 2018
183 500
Shukran kwa maelezo deep walau napata picha jinsi nilivyomiss bonge la fursa kufika huko
Kwasasa Lami inakupeleka hadi Matema Beach.. Kuna Hoteli nzuri sana hapo ipo ufukweni kabisa @120,000/= per day.. Chini ya Milima kama mkuu alivyoelezea hapo juu.
 
LOTH HEMA

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Messages
4,964
Points
2,000
LOTH HEMA

LOTH HEMA

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2015
4,964 2,000
Ni Ugonjwa Wa Siri Unaosumbua Usiopewa Kipaumbele Kudhibitiwa. Hautangazwi Sana
 
Forum statistics

Threads 1,314,057
Members 504,780
Posts 31,813,911
Top