Ifahamu mikoa 10 yenye maghorofa mengi Tanzania

Una uhakika Gani mwanza Kuna ghorofa 2400 ripoti ipo bias na inakosa logic za kuifanya iwe na facts
Kwanza hawajatuambia ni ghorofa Gani zilizopo .mfano Zanzibar na Tanga Kuna maghofu yale ya waarabu nayo yamekuwa included...hapo ukija kufanya filters nzuri miji inayobaki kuwa na maghorofa ambayo yako potential and active ni dar , Arusha na mwanza..
Huu Ni ujinga sasa.
 
Mapema mwezi wa 8 2022 Kulifanyija sensa ya watu na makazi na matokeo take kutoelewa mwezi wa 10.

Kwa Mujibu wa Matokeo ya sensa,Mikoa 10 ambayo Ina majengo mengi ya maghorofa kwa maana ya makazi, biashara na Taasisi Ni Kama ifuatavyo:

1. Dar es Salaam-32,219

2. Arusha-7,180

3. Tanga-4,282

4. Kilimanjaro-3,540

5. Mwanza-2,481

6. Pwani-1,885

7. Dodoma-1,461

8. Morogoro-1,331

9. Mbeya-1,073

10. Kagera-702.

My Take.

Hii inaonesha pia Hali za maisha za Wananchi wa maeneo husika.

View attachment 2427153
Source:NBS
Tofauti ya Dar na Arusha ni kubwa sana.Tuna safari ndefu sana
 
Takwimu hupingwa kitakwimu, huo ndio uhalisia. Dar ndio mpango mzima, Dar ndio Tz yenyewe japokuwa wachache kati ya wakazi wake ndio wanaishi kwenye makazi bora ikiwemo hayo maghorofa.
 
Kwanza jirekebishe sio kua kujenga nyumba za kawaida ndio utajiri, asili ya gorofa ilianzia huko ulaya kwenye uhaba wa ardhi, baadae kwetu ikaja ikawa fashion pamoja na uwekezaji, lakini pia ujenge apartment ya gorofa muleba nani atakuja kurent?
Hapa umeongea nn?
Sasa ni k2 gani hatujacopy ulaya? Hamna uwezo wa kujenga kaa kimya
 
Back
Top Bottom