Ifahamu kabeji (cabbage) kama Dawa (Tiba mbili za kabeji)

JDr J

Member
Jul 23, 2017
27
26
Kabeji ni miongoni mwa mboga ambayo hutumiwa na watu pamoja na nchi mbalimbali Russia ikiwa ni nchi inayo ongoza kwa matumizi ya cabbage, lakini wenda hujajua pia kabeji (cabbage)ni dawa!

Kabeji(cabbage) Tiba ya vidonda vya tumbo (ulcers)
Zipo dawa nyingi (medical drugs and herbals) za kutibu vidonda vya tumbo cabbage ikiwa miongoni

Ndani ya kabeji kuna vitamin U ambayo hupatikana kwenye kabeji tu,jina vitamin U lilitokana na uwezo wa kabeji kutibu vidonda vya tumbo yaani Anti-Ulcers.

√cha kufanya tengeneza juice ya cabbage na kunywa kutwa Mara 3 glass!!

Cabbage Tiba ya addiction ya pombe
Wapo watu ambao amabo wamesha adhiriwa na matumizi ya pombe na hii imekuwa ni tabia yao na wamekosa namna ya kujinasua cabbage ni miongoni mwa Tiba ambayo inaweza kukunasua katika kifungo hiki

Andaa juice ya cabbage na kunywa kijiko kimoja cha chai (full) kila baada ya saa moja!!!!
 
Hii ya kupunguza mwili ni Juice yake au hata ukila kama mboga?
Chemsha dk 5 weka kachumvi kwa mbalii weka kwa bakuli kula hyo !inapunguza fast sana !na km umetoka jifungua (mwanamke ) pasha yale maganda yake moton jifunge tumboni na kanga lala nayo !ila sasa yananukaga vibaya mno kama kinyesi !lakini tumbo linakuwa flat kbs !ukiweza hata wiki 2 ila ni kero kwa mwenza
 
chemsha dk 5 weka kachumvi kwa mbalii weka kwa bakuli kula hyo !inapunguza fast sana !na km umetoka jifungua (mwanamke ) pasha yale maganda yake moton jifunge tumbon na kanga lala nayo !ila sasa yananukaga bvy mno kama kinyesi !lakini tumbo linakuwa flat kbs !ukiweza ht week 2 !ila ni kero kwa mwenza
Thanks mbiti wangu,unakunywa for how long?
 
we kula tu daily !usiiwekee mafuta !mie niliila sana nilipojiopen nikaona matokea kwa muda wa 3wks ! yaan km utaweza kila sk ule
Thanks dear. Hata juice ya ukwaju mchachu ule,unasaidia sana kuondoa mafuta tumboni,sana yaani.
 
uwiii! nilishaushindwa huo ukwaj jaman hapa mate yashachachuka !uwii nitajaribu jms !
Jaribu siku ambayo hautoki home. Uliweke ijumaa,then jmos asubuhi utengeneze weka hata sukari ili kupunguza uchachu na ukakasi,then kabla hujala chochote asubuhi. Piga grass moja halafu tulia usile kitu.

Usisahau feedback mama yoyooo
 
Jaribu siku ambayo hautoki home. Uliweke ijumaa,then jmos asubuhi utengeneze weka hata sukari ili kupunguza uchachu na ukakasi,then kabla hujala chochote asubuhi. Piga grass moja halafu tulia usile kitu.
Usisahau feedback mama yoyooo


haiharishi kweli !naogopa sana hiyo kazi jaman !teh
 
haiharishi kweli !naogopa sana hiyo kazi jaman !teh
Lazima,sasa mafuta yanatokaje kwa mfano??? Mie dawa eti zina burn ndani kwa ndani mwenzangu sizitaki,bora nipige kitu kitoke tu. Kama hupendi kuhara usinywe,maana unahara kweli kweli,hasa ukianza kunywa mara ya kwanza
 
Lazima,sasa mafuta yanatokaje kwa mfano??? Mie dawa eti zina burn ndani kwa ndani mwenzangu sizitaki,bora nipige kitu kitoke tu. Kama hupendi kuhara usinywe,maana unahara kweli kweli,hasa ukianza kunywa mara ya kwanza
Hahahahahhha hyo bas hainifai !nitakazana na zoez la kutembea tu kwakweli !aisee una roho ngumu shoga !kuhara mie hapana
 
Kabeji inaongeza nguvu za kiume?

Kati ya kabeji na tangawizi kipi kina nguvu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom