WAKO WAPI WATU WAKO
JF-Expert Member
- Sep 26, 2017
- 2,356
- 3,114
Maagizi kutoka juuHiv Kwa nini inaitwa hivi? Chato inatoka wap
Maagizi kutoka juuHiv Kwa nini inaitwa hivi? Chato inatoka wap
Hii ndio point kubwa siku moja nitakuja kutembea hukoNdo maana zimegeuzwa hifadhi ilo ulinzi uongezeke.maana Zamani yalikuwa mapori tu
Wanyamapori kuhamishiwa katika Hifadhi Taifa Burigi ni mbinu ya na utalaam wa "ecology"
Ipo kagera tena mbali Sana na chato.
Yaani mlima Kilimanjaro upo Kilimanjaro wew unauita mlima mwanza hiv inaingia akilini?Maagizi kutoka juu
Siyo kila mnyama utampeleka mazingira yasiyo yake akaishi. Ndiyo maana nataka kujua hiyo hifadhi itakuwa na wanyama gani.
Jamii ya paka hawatahifadhiwa humo siyo?Twiga na nyati
shida nini mzee au mwajuana?Hopeless hutakuwa na la kuibadili branding ya hii National Park, wewe endelea kuumia tu ikiwezekana ufe unapoona magari ya rangers yenye logo za Burigi-Chato NP kwa kijiba cha roho.
Waafrika kama ni wivu wa kipumbavu na roho mbaya kwa minor things Ingekuwa mtaji tungefika mbali, chuki za mtu binafsi tunaziextend mpaka kwa Majirani na wanyama, asshole
Unajua maana ya hii {-} kwenye brackets? Hii National Park inajumuisha kuanzia Chato Bay, parts of Rubondo, Biharamulo game reserves na Burigi Lake kwa hiyo ni muhimu kumewekwa hivyo sababu ya uhalisia wa eneo zimaHiv wew bandari kuu ipo dar na mtu anakuja nakuiita morogoro port.hiv hii kitu ni Sawa?
Ndo yanayotokea . burigi ipo huko muleba kagera lakini inaitwa chato iliyopo geita
Jamii ya paka hawatahifadhiwa humo siyo?
Kwa maagizo toka juu, inawezekana, tena ukiwa umetolewa Jalalani ndio inaingia akilini vizuri....Yaani mlima Kilimanjaro upo Kilimanjaro wew unauita mlima mwanza hiv inaingia akilini?
Anijulie wapi stress zake tushida nini mzee au mwajuana?
Huna ulijualo kwenye mambo ya NP, game reserves, reserves, ukiangalia Serengeti ni neno la kimaasai means {endless plains} lakini Serengeti pia ni wilaya huko Mara ambapo sio umasaini na ipo mkoa tofauti na kabila la wamaasai, sasa ukija na dhana ya majina kuna majina mengi yanatakiwa kubadilishwa japo hii ya Burigi-Chato NP kuna mambo ya msingi yamezingatiwa mpaka limefika hapo, sababu tu ya chuki za kijinga watu wamekurupuka na feelings na emotions badala ya kufanya simple research.Yaani mlima Kilimanjaro upo Kilimanjaro wew unauita mlima mwanza hiv inaingia akilini?
Labda kama na vijiji vya kimwani.na biharamulo vitakuwa sehemu ya hifadhi.Unajua maana ya hii {-} kwenye brackets? Hii National Park inajumuisha kuanzia Chato Bay, parts of Rubondo, Biharamulo game reserves na Burigi Lake kwa hiyo ni muhimu kumewekwa hivyo sababu ya uhalisia wa eneo zima
Ingeitwa Burigi pekee kuna misunderstandings zingetokea sababu wengi wanajua Burigi ni kaeneo kadogo tu kuanzia check point ya njia panda ya kwenda Chato kama unatokea Muleba mpaka Biharamulo.
daah pole asee!Anijulie wapi stress zake tu
Mshangae na wewe!!
Bora ungebaki Jalalani!!?Huna ulijualo kwenye mambo ya NP, game reserves, reserves, ukiangalia Serengeti ni neno la kimaasai means {endless plains} lakini Serengeti pia ni wilaya huko Mara ambapo sio umasaini na ipo mkoa tofauti na kabila la wamaasai, sasa ukija na dhana ya majina kuna majina mengi yanatakiwa kubadilishwa japo hii ya Burigi-Chato NP kuna mambo ya msingi yamezingatiwa mpaka limefika hapo, sababu tu ya chuki za kijinga watu wamekurupuka na feelings na emotions badala ya kufanya simple research.
Hakika Mkuu...sasa unaingia Mkoa wa Chato...Tunachora mipaka upyaView attachment 1126467