Ifahamu Hifadhi ya Taifa Burigi

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Mar 1, 2019
295
679
1126372

Burigi ni moja kati ya Hifadhi tano zilizopo Mkoani Kagera ambazo ni Biharamulo, Burigi, Kimisi, Ibanda na Rumanyika yaliyotangazwa hivi Karibuni kuwa hifadhi za Taifa ambapo mapori hayo yalikuwa chini ya Mamlaka ya Wanyamapori Tanzania (TAWA) na sasa tayari Mapori hayo yanasimamiwa na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA).
Hebu tueleze hiyo hifadhi ukubwa wake, na historia yake kwanza. Je inaweza kuhifadhi wanyama wa aina gani.
>>>>>>>>https://www.ippmedia.com/sw/makala/utalii-wapiga-hodi-kagera [Fuatilia taarifa hii kutoka IPP media ya August 26, 2018]
Wanyamapori kuhamishiwa katika Hifadhi Taifa Burigi ni mbinu ya na utalaam wa "ecology" lengo likiwa ni kuwaepusha baadhi ya wanyama kupata madhara ya kimazingira katika maeneo waliokuwepo na pia lengo lingine ni kupandikiza aina mbalimbali nyingine za wanyama katika Hifadhi ili kuongeza vivutio ambavyo ni muhimu kwa Watalii wa ndani na nje kuja katika Hifadhi hizo kuona.

Aidha, TANAPA wanaendelea na mikakati ya kuzitangaza Hifadhi mpya zilizoko Mkoani Kagera ili wawekezaji wa ndani nje waweze kuwekeza Kagera.

Hifadhi hiyo haipo katika Wilaya ya Chato kama ilivyoelezwa bali ipo katika Mkoa wa Kagera.

Wito kwa wananchi wa Mkoa wa Kagera .
Wito unatolewa kwa vijana Mkoani Kagera kuanza kuchangamkia fursa kwa kuanza kujiandaa katika masomo ya utalii ambapo watapata ajira za kuongozA Watalii, kujiandaa kusomea uhotelia ili kufanya kazi katika Hoteli za Kitalii zitakazojengwa katika Hifadhi hizo za Taifa Mkoani Kagera, hayo ni pamoja na kusomea lugha mbalimbali ili kupata fursa nzuri ya kuongoza Watalii kutoka nchi mbalimbali na kuelezea vizuri juu ya maliasili katika hifadhi hizo.

1126350
 
Hivyo tu basi? Ama kweli nimeifahamu hifadhi ya Burigi, hongera sana mkuu umejitahidi sana kuidadavua hiyo hifadhi ya Burigi!
 
Burigi ni moja kati ya Hifadhi tano zilizopo Mkoani Kagera ambazo ni Biharamulo, Burigi, Kimisi, Ibanda na Rumanyika yaliyotangazwa hivi Karibuni kuwa hifadhi za Taifa ambapo mapori hayo yalikuwa chini ya Mamlaka ya Wanyamapori Tanzania (TAWA) na sasa tayari Mapori hayo yanasimamiwa na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA).

Wanyamapori kuhamishiwa katika Hifadhi Taifa Burigi ni mbinu ya na utalaam wa "ecology" lengo likiwa ni kuwaepusha baadhi ya wanyama kupata madhara ya kimazingira katika maeneo waliokuwepo na pia lengo lingine lengo ni kupandikiza aina mbalimbali nyingine za wanyama katika Hifadhi ili kuongeza vivutio ambavyo ni muhimu kwa Watalii wa ndani na nje kuja katika Hifadhi hizo kuona.

Aidha, TANAPA wanaendelea na mikakati ya kuzitangaza Hifadhi mpya zilizoko Mkoani Kagera ili wawekezaji wa ndani nje waweze kuwekeza Kagera.

Hifadhi hiyo haipo katika Wilaya ya Chato kama ilivyoelezwa bali ipo katika Mkoa wa Kagera.

Wito kwa wananchi wa Mkoa wa Kagera .
Wito unatolewa kwa vijana Mkoani Kagera kuanza kuchangamkia fursa kwa kuanza kujiandaa katika masomo ya utalii ambapo watapata ajira za kuongozA Watalii, kujiandaa kusomea uhotelia ili kufanya kazi katika Hoteli za Kitalii zitakazojengwa katika Hifadhi hizo za Taifa Mkoani Kagera, hayo ni pamoja na kusomea lugha mbalimbali ili kupata fursa nzuri ya kuongoza Watalii kutoka nchi mbalimbali na kuelezea vizuri juu ya maliasili katika hifadhi hizo.

View attachment 1126350
Daaah mi nikawa nashangaa Chato imekuaje tena. . .hata ukigoogle Burigi unaambiwa iko Kagera huko. Watu waache upotoshaji aise
 
Siyo kila mnyama utampeleka mazingira yasiyo yake akaishi. Ndiyo maana nataka kujua hiyo hifadhi itakuwa na wanyama gani.
Kweli kabisa. . .watakuwa wamezingatia hilo nadhani. Labda tupate taarifa zaidi ya aina ya wanyama wanaohamishwa. Labda ni kwaajili ya kupandikiza sijui. Itafaa sana wizara husika ikatolea maelezo
 
Hebu tueleze hiyo hifadhi ukubwa wake, na historia yake kwanza. Je inaweza kuhifadhi wanyama wa aina gani.
Historia na ukubwa wake siujui lakini nimewahi kuishi sehemu ya hilo pori nikifanya shughuli za uchunga ng'ombe ni kubwa kwa macho na wanyama kama chui fisi simba swala twiga tembo walikuwemo baada ya wanyarwanda kuongezeka kwa kasi hao wanyama walipungua kama sio kupotea kabisa

Hivyo basi kupandikiza wanyama ni suala jema lakini kuiita hifadhi kwa jina la chato national park inakera hata masikioni
 
Uliposema wanyarwanda umenipa hasira sana. Hivi hao watu hii nchi wameigeuza shamba lao.

Inauma sana.
 
Saiv ukipita ni msitu kweli lakini ungeingia mule mwaka 2017 kurudi nyuma ungelia, pori lilikuwa jeupeeee na wengi waliofaidi na kutajirika walikuwa wanyarwanda wahamiaji yaani anatokea Rwanda na pesa mkononi mifugo ananunulia karagwe ye anafanya kulisha na kuzalisha zaidi

Dharau zao sasa ilikuwa ni kichefuchefu kingine

Kwa wenyeji waliokuwa mule ni wachache na hata kupata nafasi walau kuweka mifugo ilikuwa unatazamwa muoneakano wako km unafanania watutsi basi ilikuwa rahisi kupata malisho mule,, ukiritimba ulikithiri

Magufuli tunamshukuru sana kwa hili analofanya ukipita mule kwa sasa panapendeza na kufurahisha shida ni hilo jina chato national park,, atutolee huo umimi wake.
 
Hakuna kitu nachukia kama raia kunyanyaswa na mgeni haramu kwenye nchi yake, hata kama ni mgeni mwenye vigezo vyote vya kuwepo hapa nchini siwezi kukubali anidhalilishe kwenye ardhi mama.

Hawa watu siyo wa kuwapa nafasi hata ya kufika bafuni, achilia mbali jikoni.
 
Kwa huku mpakani tulipo muingiliano haukwepeki shida yao wale ni nyodo zilizopitiliza wanakaribishwa halafu wanapenda kutawala wenyeji hawajui kula na kipofu

Anyway kinachojadiliwa hapa ni burigi hayo tuyaache
 
Sina hamu ya kujadili tena Burigi..
 
View attachment 1126372

Burigi ni moja kati ya Hifadhi tano zilizopo Mkoani Kagera ambazo ni Biharamulo, Burigi, Kimisi, Ibanda na Rumanyika yaliyotangazwa hivi Karibuni kuwa hifadhi za Taifa ambapo mapori hayo yalikuwa chini ya Mamlaka ya Wanyamapori Tanzania (TAWA) na sasa tayari Mapori hayo yanasimamiwa na Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA).

Wanyamapori kuhamishiwa katika Hifadhi Taifa Burigi ni mbinu ya na utalaam wa "ecology" lengo likiwa ni kuwaepusha baadhi ya wanyama kupata madhara ya kimazingira katika maeneo waliokuwepo na pia lengo lingine ni kupandikiza aina mbalimbali nyingine za wanyama katika Hifadhi ili kuongeza vivutio ambavyo ni muhimu kwa Watalii wa ndani na nje kuja katika Hifadhi hizo kuona.

Aidha, TANAPA wanaendelea na mikakati ya kuzitangaza Hifadhi mpya zilizoko Mkoani Kagera ili wawekezaji wa ndani nje waweze kuwekeza Kagera.

Hifadhi hiyo haipo katika Wilaya ya Chato kama ilivyoelezwa bali ipo katika Mkoa wa Kagera.

Wito kwa wananchi wa Mkoa wa Kagera .

Wito unatolewa kwa vijana Mkoani Kagera kuanza kuchangamkia fursa kwa kuanza kujiandaa katika masomo ya utalii ambapo watapata ajira za kuongozA Watalii, kujiandaa kusomea uhotelia ili kufanya kazi katika Hoteli za Kitalii zitakazojengwa katika Hifadhi hizo za Taifa Mkoani Kagera, hayo ni pamoja na kusomea lugha mbalimbali ili kupata fursa nzuri ya kuongoza Watalii kutoka nchi mbalimbali na kuelezea vizuri juu ya maliasili katika hifadhi hizo.

View attachment 1126350
Kwa hapo kwenye bold na rangi ya blue nadhani unastahili PUMBAFU nyingi mno! Kwani kila kitu mnafanya siasa???!!!!!!!!
 
Hakuna kitu nachukia kama raia kunyanyaswa na mgeni haramu kwenye nchi yake, hata kama ni mgeni mwenye vigezo vyote vya kuwepo hapa nchini siwezi kukubali anidhalilishe kwenye ardhi mama.

Hawa watu siyo wa kuwapa nafasi hata ya kufika bafuni, achilia mbali jikoni.
Twiga na wenzake safarini Burigi
 
Back
Top Bottom