Ifahamu fursa hii ya miamvuli ya ufukweni (beach umbrellas)

LellozWho

Member
Jul 13, 2021
89
121
Nimeona watu kadhaa wakifanikiwa kwenye hili (nchi ya wengine)

Sio kwasababu Mimi nimeshindwa kujaribu Basi nisitoe nafasi kwa wengine. Hasa Tanzania. Sijui sheria ikoje lakini hii inaweza mpa mtu mkate na kubadili maisha yake na wengine kuwapa ajira. Bongo jua Lipo (yearly round)

Beach life is part of our life in Tz (Dar/Znz)nk. Kuanza na miamvuli hata 3 tu kujaribu

Kulipisha kwa lisaa Au kwa siku, naamini kwenye public beach(coco)/maziwa(mwanza) kutakua na namna ya kupata FURSA

(sijajua taratibu kwa hapo tz)

Kama itamfaa mtu mshirikishe

Nimeiweka kwa wepesi lakini kwa maelezo zaidi twaweza eleweshana

44FD0574-3FE7-4BB6-9055-7A197DBD8341.jpeg

 
Wazo zuri ila si kwa beach zetu za huku bongo, beach nyingi zina miti inayotoa kimvuli bure mfano Kawe beach kuna miarobaini ya kutosha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom