Ifahamu funga yenye kuleta afya

Doctor MD

Senior Member
Jan 10, 2020
129
146
Huu ni aina ya ufungaji wenye kusaidia kutibu magonjwa sugu. Katika magojwa haswa kisukari, shikizo la damu na maumivu ya maungio kwa muda mrefu. Aina hii ya mfungo ni nzuri Zaidi ukaifanya kwa siku 3 hadi siku tano kutegemeana na aina ya ugonjwa wako wenyewe.

Siku moja kabla ya kufunga.

Katika siku hii hakikisha unakula haswa matunda mbalimbali na mboga za majani mbalimbali.

Siku ya mfungo
Kunywa maji tu ambayo ni safi pale utakapopatwa na kiu. Ukizidiwa na njaa kali basi kula matunda na mboga za majani tu.epuka matumizi ya vyakula aina hii; pombe,soda,chai,energy drink na chakula kingine chochote.

Ipangilie siku hiyo katika kusoma vitabu,kuangalia muvi,kuandika mambo mbalimbali,kusikiliza musiki. Epuka mazoezi yoyote mana yatasababisha mwili kuhitaji kiwango kikubwa cha energy kutoka katika vyakula mbalimbali.

Kuoga maji ya moto ni muhimu Zaidi lakini haishauriwi matumizi ya perfume,sabuni zenye kemikali,spray,detergents,shampoo na kemikali zingine hii huweza kupunguza mwili katika kujitibu wenyewe. Jitahidi kukaa kwenye jua la asubuhi kwa muda wa dakika 10-20 hii itakusaidia katika utengenezaji wa vitamin.

Siku baada ya mfungo
Muda wa kufungua jitahidi unakula vyakula kama hivi;
1. Juisi nyepesi ya matunda yasiyo na sukari. Isipokuwa juisi ya malimao usitumie
2. Pia waweza tengeneza juisi ya tangawizi au nyanya au kabeji
3. Supu nyepesi
4. Mboga za majani
5. Parachichi au karanga
6. Vyakula vya nafaka kama vile wali
 
Ahsante mwanajamvi kwa elimu adhym.
 
Kwa bahati nzuri Uislamu umeshatufundisha mda mrefu sana juu ya suala la kufunga na umuhimu wake
Ww kma Muislamu usikose kufunga siku 3 ktka kila mwezi au kma utakua unaweza kufunga j3 na Alhamis pia itakua vizuri

Najivunia kua Muislamu
Karibu na endelea kufuatlia masomo yangu mbalimbali
 
Huu ni aina ya ufungaji wenye kusaidia kutibu magonjwa sugu. Katika magojwa haswa kisukari, shikizo la damu na maumivu ya maungio kwa muda mrefu. Aina hii ya mfungo ni nzuri Zaidi ukaifanya kwa siku 3 hadi siku tano kutegemeana na aina ya ugonjwa wako wenyewe.

Siku moja kabla ya kufunga.

Katika siku hii hakikisha unakula haswa matunda mbalimbali na mboga za majani mbalimbali.

Siku ya mfungo
Kunywa maji tu ambayo ni safi pale utakapopatwa na kiu. Ukizidiwa na njaa kali basi kula matunda na mboga za majani tu.epuka matumizi ya vyakula aina hii; pombe,soda,chai,energy drink na chakula kingine chochote.

Ipangilie siku hiyo katika kusoma vitabu,kuangalia muvi,kuandika mambo mbalimbali,kusikiliza musiki. Epuka mazoezi yoyote mana yatasababisha mwili kuhitaji kiwango kikubwa cha energy kutoka katika vyakula mbalimbali.

Kuoga maji ya moto ni muhimu Zaidi lakini haishauriwi matumizi ya perfume,sabuni zenye kemikali,spray,detergents,shampoo na kemikali zingine hii huweza kupunguza mwili katika kujitibu wenyewe. Jitahidi kukaa kwenye jua la asubuhi kwa muda wa dakika 10-20 hii itakusaidia katika utengenezaji wa vitamin.

Siku baada ya mfungo
Muda wa kufungua jitahidi unakula vyakula kama hivi;
1. Juisi nyepesi ya matunda yasiyo na sukari. Isipokuwa juisi ya malimao usitumie
2. Pia waweza tengeneza juisi ya tangawizi au nyanya au kabeji
3. Supu nyepesi
4. Mboga za majani
5. Parachichi au karanga
6. Vyakula vya nafaka kama vile wali
Asante sana kwa Elimu hii
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom