Ifahamu Familia ya Said Salim Bakhresa

Said Salim Bahresa sio tajiri kivile, mali zake nyingi za kuwezeshwa, lakini wenye hizo mali ni wengine. (YAANI hidden hand au web master au web spider) bahresa anatumika kama Vehicle tu, au tunaita the Gofer.
Huyu ni elite kama alivyo Bill gates na wakina Jeff Bezos au Mark Zuckerberg au Jack Ma..mali zao ni kama wamepewa wasimamie tu mali sio zao, ni ngumu sana eti kuuza kahawa ndani ya miaka 30 uwe tajiri namba hiyo, tena kwenye uchumi mdogo wa Zanzibar na Dsm.
Hawa ni waabudu shetani angalia logo za kampuni yao utaelewa. Ndo maana product zao za vyakula zina viambata visivyo sahihi kama Fortification nk kwenye maji na juice na ngano watu wanaumwa kwa kula vyakula vyao. Sio Azam tu hata Mo ni satanist.
Familia ya Said Salim Bakhresa

Said Salimu Awadh Bakhresa ni mfanyabiashara mwenye mafanikio na uzoefu wa zaidi ya miaka 30 wa kusimamia kundi la kampuni za biashara. Yeye ni mwasisi na mwenyekiti wa Bakhresa Group of Companies. Alizaliwa mwaka 1949 na kukulia Zanzibar.

Bakhresa Group ni mkusanyiko wa kampuni mbalimbali zilizosajiliwa zinazofanya uchakataji wa mazao ya kilimo, vyakula na vinywaji baridi, usafiri wa majini, ufungashaji, usafirishaji, urejelezi wa plastiki na vyombo vya habari. Pia anaendesha hoteli huki Zanzibar inayoitwa Hotel Verde.

Mwanaviwanda maarufu anayefahamika Afrika Amshariki na Kati yote, Bakhresa aliacha shule akiwa na umri wa miaka 14 na kuwa muuzaji wa urojo, kabla ya kujishughulisha kama mwendesha mkahawa katika miaka ya 1970. Kutokana na kuanza bila ya makuu aliunda himaya ya biashara ndani ya kipindi cha miongo mitatu tu. amemuoa Fathiya Bakhresa na wana watoto saba: Mohamed Said Salim Bakhresa, Abubakar Said Salim Bakhresa, Omar Said Salim Bakhresa , Yusuph Said Salim Bakhresa, Khalid Said Salim Bakhresa (amefariki 2007), Mariam Said Salim Bakhresa. Bakhresa Group ni biashara ya familia. Watoto wake wote ni Wakurugenzi Watendaji wa Salim bakhresa & Co Ltd yenye hisa nyingi katika Azam Media Limited. Watoto wake pia wana nyadhifa zifuatazo:

Yusuph Said Salim Bakhresa:
Ni Mkurugenzi Mtendaji wa Azam Media Limited na Mkurugenzi wa Group Companies. Anashiriki kila siku kwenye shughuli za Bakhresa Food Products Ltd.

Abubakar Said Salim Bakhresa:
Anasimamia Bakhresa Malawi Limited, Bakhresa Grain Milling (Rwanda), Bakhresa Grain Milling Limitada (Msumbiji) na Bakhresa South Africa (Pty) Limited. Ana shahada ya kwanza ya Sayansi katika Usimamizi wa Biashara, somo kuu likiwa Fedha kutoka Chuo kikuu cha George Town, Washington D.C USA. Anajihusisha zaidi na biashara za usindikaji ngano katika Group na anasimamia ununuzi wa ngano kwa ajili ya Group.

Mohamed Said Salim Bakhresa:
Ni mkurugenzi Mtendaji wa Bakhresa Grain Milling (Uganda) Limited, kiwanda kikubwa zaidi cha kusindika ngano nchini Uganda. Amehitimu katika fedha,Sheria na utunzaji fedha kutoka chuo kikuu cha Southbank, United Kingdom.

Salim Ali Salim Bakhresa:
Ni Mkurugenzi Mtendaji wa Verde Hotel. Hoteli Bora ya viwango vya 5 star iliyopo Zanzibar.
Pia amehitimu shahada ya Uzamili kwenye chuo cha Salford University huko United Kingdom.

Toa maoni yako hapo chini;-
 
Said Salim Bahresa sio tajiri kivile, mali zake nyingi za kuwezeshwa, lakini wenye hizo mali ni wengine. (YAANI hidden hand au web master au web spider) bahresa anatumika kama Vehicle tu, au tunaita the Gofer.
Huyu ni elite kama alivyo Bill gates na wakina Jeff Bezos au Mark Zuckerberg au Jack Ma..mali zao ni kama wamepewa wasimamie tu mali sio zao, ni ngumu sana eti kuuza kahawa ndani ya miaka 30 uwe tajiri namba hiyo, tena kwenye uchumi mdogo wa Zanzibar na Dsm.
Hawa ni waabudu shetani angalia logo za kampuni yao utaelewa. Ndo maana product zao za vyakula zina viambata visivyo sahihi kama Fortification nk kwenye maji na juice na ngano watu wanaumwa kwa kula vyakula vyao. Sio Azam tu hata Mo ni satanist.
Kumekucha
 
kumekucha kumekucha
 
nataka nimjue mkurugenzi wa UKWAJU kwanini anatutesa kwa kuweka kipenyo kikubwa namna hiyo cha mdomo
 
Said Salim Bahresa sio tajiri kivile, mali zake nyingi za kuwezeshwa, lakini wenye hizo mali ni wengine. (YAANI hidden hand au web master au web spider) bahresa anatumika kama Vehicle tu, au tunaita the Gofer.
Huyu ni elite kama alivyo Bill gates na wakina Jeff Bezos au Mark Zuckerberg au Jack Ma..mali zao ni kama wamepewa wasimamie tu mali sio zao, ni ngumu sana eti kuuza kahawa ndani ya miaka 30 uwe tajiri namba hiyo, tena kwenye uchumi mdogo wa Zanzibar na Dsm.
Hawa ni waabudu shetani angalia logo za kampuni yao utaelewa. Ndo maana product zao za vyakula zina viambata visivyo sahihi kama Fortification nk kwenye maji na juice na ngano watu wanaumwa kwa kula vyakula vyao. Sio Azam tu hata Mo ni satanist.
It's all about hard work maskini wengi wanachukia matajiri that is poor mindset
 
Maryam ni classmate wangu alikua analindwa sana tukitoka tu shule gar inamsubir badae alihamishwa shule sijui alipelekwa wap
 
Kudos Bakhresa, hao vijana wameenda shule nzuri, nadhani wana-deserve hizo positions.
 
Hahaha

Bakhresa sio tajir kivile ila we utakuwa maskin kivile
Said Salim Bahresa sio tajiri kivile, mali zake nyingi za kuwezeshwa, lakini wenye hizo mali ni wengine. (YAANI hidden hand au web master au web spider) bahresa anatumika kama Vehicle tu, au tunaita the Gofer.
Huyu ni elite kama alivyo Bill gates na wakina Jeff Bezos au Mark Zuckerberg au Jack Ma..mali zao ni kama wamepewa wasimamie tu mali sio zao, ni ngumu sana eti kuuza kahawa ndani ya miaka 30 uwe tajiri namba hiyo, tena kwenye uchumi mdogo wa Zanzibar na Dsm.
Hawa ni waabudu shetani angalia logo za kampuni yao utaelewa. Ndo maana product zao za vyakula zina viambata visivyo sahihi kama Fortification nk kwenye maji na juice na ngano watu wanaumwa kwa kula vyakula vyao. Sio Azam tu hata Mo ni satanist.
 
Said Salim Bahresa sio tajiri kivile, mali zake nyingi za kuwezeshwa, lakini wenye hizo mali ni wengine. (YAANI hidden hand au web master au web spider) bahresa anatumika kama Vehicle tu, au tunaita the Gofer.
Huyu ni elite kama alivyo Bill gates na wakina Jeff Bezos au Mark Zuckerberg au Jack Ma..mali zao ni kama wamepewa wasimamie tu mali sio zao, ni ngumu sana eti kuuza kahawa ndani ya miaka 30 uwe tajiri namba hiyo, tena kwenye uchumi mdogo wa Zanzibar na Dsm.
Hawa ni waabudu shetani angalia logo za kampuni yao utaelewa. Ndo maana product zao za vyakula zina viambata visivyo sahihi kama Fortification nk kwenye maji na juice na ngano watu wanaumwa kwa kula vyakula vyao. Sio Azam tu hata Mo ni satanist.
Uzi umevamiwa tayar
 
Ni kweli tupu, ingawa watu hawapendi kuambiwa ukweli!
Hayo majitu yamerudisha nyuma maendeleo ya watu mamilioni.

Akuna kitu kinacho kwamisha ubongo kufikiri kama ngono unapangua ratiba za maana! Kula cha kula ushibe ila usimwage hutapata hasara kwenye maisha yako! Ila panga kujenga ama kuanzisha biashara anza ingia na kwenye ngono hufiki mahala! Ngono ni ufukara amini hivyo pengine kuna watu wenye mawazo mazuri sana ya maendeleo ila wanapo ingia kwenye ngono tu basi kila kitu hupotea!!
Wapo wanaume wanao panda dala dala vimada vina usafiri!
Wapo wanaume nyumbani hakuna chakula kimada ana mwaga chakula!
Wana siasa wengi wakitoka kwenye siasa huandamwa na magonjwa ya msongo wa mawazo tatizo huwekeza kwenye Ngono wanapo kuwa kwenye madaraka!
NGONO ni cancer ya maendeleo!!
Jifanyie tafiti!!!
 
Back
Top Bottom