Ifahamu dhambi ya mtu mmoja ilivyoiangamiza familia nzima

carnte

Ebu usome na Kumbukumbu la Torati 5:9
Mungu hasemi kuwa atawaangamiza kizazi cha NNE na cha tatu,Anaelezea ukubwa/magnitude ya hasira yake kwa dhambi iliyotajwa hapo juu kwa watakao mkosea...sawa na kusema kuwa mzazi anakuadhibu anakuambia na Leo ntamalizia hasira yangu yote na ya makosa ya nyuma

Rej pia Yoh 9:1-3

Mungu sio asiye na huruma kiasi hiko,sisi wenyewe tuu hatuwezi kukamilika ndio aguse na makosa ya babu zetu???

Mengine magumu yanatupata ili Mungu Ajichukulie utukufu yamkini tuu tumekuwa na tunabaki waaminifu kwake
 
Kama Yona alivyokataa kwenda Ninawi akakimbilia Tarshishi. Wote waliokuwa kwenye meli walipata msukosuko. Mpaka Yona alivyotoswa baharini.

Tunatakiwa kuomba TOBA kwa Mungu kila mara kutokana na makosa tunayoyafanya kwa kuwaza na kunena....
 
Ndiyo maana nimetangulia kwa kusema "if u believe" kama unaamini imani nyingine sawa ijaribu kama itakusaidia well & good.
Ulitupa jiwe kizani , kupata kwako au kukosa , kulitokana na mlio Wa mwangwi sio nguvu uliyotumia kurusha hilo jiwe ,wala si upande uliogeukia!
 
Mkuu na hapa je Ezekiel 18:18-20

18 Kwa habari za yule baba yake, kwa sababu aliwaonea watu kwa ukali mwingi, na kumnyang?anya ndugu yake mali yake kwa nguvu; na kuyatenda yasiyo mema kati ya watu wake, tazama, atakufa katika uovu wake.
19 Lakini ninyi mwasema, Kwani yule mwana asiuchukue uovu wa baba yake? Yule mwana atakapofanya yaliyo halali na haki, na kuzishika amri zangu na kuzitenda, hakika ataishi.
20 Roho itendayo dhambi, ndiyo itakayokufa; mwana hatauchukua uovu wa baba yake, wala baba hatauchukua uovu wa mwanawe, haki yake mwenye haki itakuwa juu yake, na uovu wake mwenye uovu utakuwa juu yake.
21 Lakini mtu mbaya akighairi, na kuacha dhambi zake zote alizozitenda, na kuzishika amri zangu zote, na kutenda yaliyo halali na haki, hakika ataishi, hatakufa.
22 Dhambi zake zote alizozitenda hazitakumbukwa juu yake hata mojawapo; katika haki yake aliyoitenda ataishi

Wagalatia 6:5


5 Maana kila mtu atalichukua furushi lake mwenyewe.

Hapo je
Nimekupenda bure !
 
Rahabu

Zilikuwa ngumu kwani hata watu wa kipindi hicho walikuwa wazito wa kuamini na kumuishi Mungu na amri zake!
 
Back
Top Bottom