wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,226
- 37,574
Battery yake ikifa replacement yake inakuaje mkuu?
Hivi kwa nini makampuni mengi ya kuagiza magari hawana ofisi jiji la Mwanza?
Last time I checked ilikuwa ni Beforward pekee!
Mkuu ndo kiti gani hicho?Gari ikishakua na staff gear basi mpenzi hayanitumi huko
Huwa hawana uvumilivu wa kusubiri Gari itoke Japan mpaka ifike. Ndio Maana wenye yard wanafanya biashara sana.Hivi kwa nini makampuni mengi ya kuagiza magari hawana ofisi jiji la Mwanza?
Ni Dar,Arusha,Dodoma.
Last time I checked ilikuwa ni Beforward pekee!
Ģia ya juu kwenye usikani...Mkuu ndo kiti gani hicho?
Ģia ya juu kwenye usikani...
Tuuu...Battery yake ikifa replacement yake inakuaje mkuu?
Gari ikishakua na staff gear basi mpenzi hayanitumi huko
KIMOMWE MOTORS (T) Ltd waagizaji wa magari tunakufahamisha machache kwa ufupi
Injini na Mafuta
Gari hii inakuja na injini 2. Moja ina Cc 1500 na nyingine Cc 1800 zote zikiwa na mfumo wa Hybrid unaowezesha gari kutumia mafuta kidogo zaidi huku umeme ukitumika zaidi.
Injini ndogo ya Cc 1500 inaelezewa kwenda zaidi ya Kilomita 38 wakati injini ya Cc 1500 inaenda kilomita 34 kwa lita.
Utulivu/ Comfortability
Kwa ujumla gari hii ina utulivu wa wastani kama ilivyo kwa gari nyingine za Toyota za saizi yake na hiyo kuiwezesha kwenda mwendo mpaka 140 bjla kuyumba yumba na kwenye njia za vumbi pia ina utulivu wa wastani.
Ziada
Gari hii ina Camera angavu wakati unarudi nyuma, ina options kwenye usukani za kukuwezesha kupokea sim, kubadiri radio na kuzima na kuwasha AC
Vifaa
Vifaa vyake vinapatikana kwa gharama za wastani japo sio kwa wingi sana kwa sababu gari hizi hazijawa nyingi hapa Tanzania kutokana na bei yake hapo awali ilikua juu sana kuliko sasa.
Mafundi
Mafundi wa magari mengine ya Toyota ndio pia hutengeneza gari hizi hivyo mafundi wapo, kwa upande wa umeme kwa sasa mafundi wengi wa umeme wana vifaa vya muundo wa kompyuta inayowezesha kugundua tatizo na kulishughulikia.
Gharama
Kwa kuagiza gharama zote kwa sasa zinaanzia kwenye 13,800,000.
Zaidi tembelea ofisi zetu za Dar es Salaam- Magomeni Mapipa au Mbeya- Mwanjelwa Soko Jipya
Au piga 0746 267740 au 0719 989222.
View attachment 1683218View attachment 1683219View attachment 1683220View attachment 1683221View attachment 1683222View attachment 1683223View attachment 1683224View attachment 1683225View attachment 1683226View attachment 1683227View attachment 1683228