SAGAI GALGANO JF-Expert Member Nov 13, 2009 43,707 60,760 Oct 5, 2011 #4 Easymutant said: View attachment 38405 Mungu atuepushie balaa... Click to expand... Hivi ndivyo wanastahili kufanywa wezi na wachakachuaji wa kura
Easymutant said: View attachment 38405 Mungu atuepushie balaa... Click to expand... Hivi ndivyo wanastahili kufanywa wezi na wachakachuaji wa kura
KakaJambazi JF-Expert Member Jun 5, 2009 18,711 12,067 Oct 5, 2011 #6 Jehanamu a.k.a "Peponi" ni mara 70 ya hivyo.
Lukansola JF-Expert Member Sep 5, 2010 5,435 1,597 Oct 5, 2011 #7 Easymutant said: View attachment 38405 Mungu atuepushie balaa... Click to expand... Kwani ameapatwa na nini, ni wapi na lini tuambie basi>
Easymutant said: View attachment 38405 Mungu atuepushie balaa... Click to expand... Kwani ameapatwa na nini, ni wapi na lini tuambie basi>
Globu JF-Expert Member Jan 12, 2011 8,571 2,068 Oct 5, 2011 #9 Easymutant said: View attachment 38405 Mungu atuepushie balaa... Click to expand... Rekebisha heading Mkuu. Sio lazima utumie kiingereza kama kinakupa tabu. Naamini Kiswahili ndiyo lugha yako.
Easymutant said: View attachment 38405 Mungu atuepushie balaa... Click to expand... Rekebisha heading Mkuu. Sio lazima utumie kiingereza kama kinakupa tabu. Naamini Kiswahili ndiyo lugha yako.
Globu JF-Expert Member Jan 12, 2011 8,571 2,068 Oct 5, 2011 #10 the FK said: Arest in peace Click to expand... Duh watu wengine bwana wana mambo kweli. Kwani lazima utumie lugha usiyoijua? Kiswahili kimejitosheleza Mkuu.
the FK said: Arest in peace Click to expand... Duh watu wengine bwana wana mambo kweli. Kwani lazima utumie lugha usiyoijua? Kiswahili kimejitosheleza Mkuu.
Jestina JF-Expert Member Jan 6, 2011 4,831 1,707 Oct 5, 2011 #11 Globu said: Duh watu wengine bwana wana mambo kweli. Kwani lazima utumie lugha usiyoijua? Kiswahili kimejitosheleza Mkuu. Click to expand... wewe nae umekuwa kifimbo cheza wa gazeti la sani?
Globu said: Duh watu wengine bwana wana mambo kweli. Kwani lazima utumie lugha usiyoijua? Kiswahili kimejitosheleza Mkuu. Click to expand... wewe nae umekuwa kifimbo cheza wa gazeti la sani?
K kijumo Member Sep 21, 2011 16 2 Oct 6, 2011 #15 Mbona mzungu akikosea kiswahili mnaona poa tu! so far we are not English native speakers. kwa watoto wa mjini tunasema "that is a slip of a pen" OK?
Mbona mzungu akikosea kiswahili mnaona poa tu! so far we are not English native speakers. kwa watoto wa mjini tunasema "that is a slip of a pen" OK?
K kingmajay Member Jul 22, 2011 72 6 Oct 6, 2011 #18 Easymutant said: View attachment 38405 Mungu atuepushie balaa... Click to expand... Natamani watuhumiwa wa ufisadi wa hii nchi wafanywe kitu kama hii.
Easymutant said: View attachment 38405 Mungu atuepushie balaa... Click to expand... Natamani watuhumiwa wa ufisadi wa hii nchi wafanywe kitu kama hii.
kanywaino Senior Member Sep 10, 2010 171 19 Oct 6, 2011 #19 r i p.mungu atuepushie balaaa hii watanzania isijeshamiri
afrodenzi Platinum Member Nov 1, 2010 18,145 9,207 Oct 6, 2011 #20 halafu najiuliza kwa nini mtu anajilipua mwenyewe....?