Sio tabu but kwann unataka kujipa tabu hv we mwanamke! Haya mi ntakupa ya kwangu ukae nayo ila kabla cku ya 2 haijesha utakuwa umekuwa admited kwa hospitalimimi interview ya kwanza kama mtu anataka siriaz relationship na mimi nikae na simu yake siku tatu net usiku na mchana
dah! Hii kali kuliko zotemimi interview ya kwanza kama mtu anataka siriaz relationship na mimi nikae na simu yake siku tatu net usiku na mchana

dah! Hii kali kuliko zote

He he he siungi mkono hoja hata kdogo,mimi shem wako aliniambia hvyo nilimuambia mbona hata anipige sitaacha una siri gani cmu yako isiguswe tena na mwandani wako,kunyima ni kuonyesha una hila binafsi kweli tena na mara zote mi nlizoangalia nilikuta vsms vya kijinga mi sikomi kuiangalia hata nipgwe,mambo mabaya ndo yanafichwa,
je yeye kukuchunguza ni sawa?Hakuna haja ya kumchunguza mkeo. Kitendo chochote atakachofanya cha kukùvunjia heshma ni ishara tosha amekuchoka. Hakuna haja ya kuchunguza simu yake.
Hahahaa kaka ukiona mkeo anaongea na simu za wanaume wengine mbele yako ujue kakuchoka huyo, PERIOD!

je yeye kukuchunguza ni sawa?

Unajua haya mambo ni busara tu inahitajika. Wengine wanakagua cm, wengine wanataka kujua kila unaloongea kwenye cm umwambie huyo ni nani na mlikuwa mnaongea nini. Na kuna wengine wanataka kujua kila jina la mwanamke kwenye cm, na kuwajua wasichana wote unaofanya nao kazi!

Some women!! Huh! Tuache tuendelee kuwa shock absorbers!!