If you want long lasting relationship, usiguse simu ya mpenzi wako

sasa mkuu mkeo akipigiwa cmu na mabwana zake ukae kimya kwasababu unampenda huyo my wife wako? Una moyo mkuu.

sasa mkuu mkeo akipigiwa cmu na mabwana zake ukae kimya kwasababu unampenda huyo my wife wako? Una moyo mkuu.
Hahahaa kaka ukiona mkeo anaongea na simu za wanaume wengine mbele yako ujue kakuchoka huyo, PERIOD!

Kwahiyo hata kama ikitokea nimegundua kuwa ananisaliti kwa kupitia simu yake ninyamaze tu kama nimemezeshwa mapande ya barafu eeee. Mi sikubali lazima patachimbika tu.

kuna binti mmoja ilitoke tulitaka anzisha mahusiano mie na yeye..wakat huo tulikua twachat sana na cm.. Nilipomuomba mzigo... akanigea sharti la kutogusa cm yake.. Nikamsahau maishani mwangu..hamu yote ikaisha

mimi interview ya kwanza kama mtu anataka siriaz relationship na mimi nikae na simu yake siku tatu net usiku na mchana
Sio tabu but kwann unataka kujipa tabu hv we mwanamke! Haya mi ntakupa ya kwangu ukae nayo ila kabla cku ya 2 haijesha utakuwa umekuwa admited kwa hospitali

kuna binti mmoja ilitoke tulitaka anzisha mahusiano mie na yeye..wakat huo tulikua twachat sana na cm.. Nilipomuomba mzigo... akanigea sharti la kutogusa cm yake.. Nikamsahau maishani mwangu..hamu yote ikaisha
Kaka na wewe pia?

He he he siungi mkono hoja hata kdogo,mimi shem wako aliniambia hvyo nilimuambia mbona hata anipige sitaacha una siri gani cmu yako isiguswe tena na mwandani wako,kunyima ni kuonyesha una hila binafsi kweli tena na mara zote mi nlizoangalia nilikuta vsms vya kijinga mi sikomi kuiangalia hata nipgwe,mambo mabaya ndo yanafichwa,

Haina maana kuwa na relationship ambapo mmoja wapo anacheat,
ishu kubwa ni TRUE LOVE&COMMITEMENT hapo uhusiano utadumu!

dah! Hii kali kuliko zote

Jamani hizi simu simu simu za mkononi ni noma! Kwa vile wapendanao wengi wamejikuta ktk matatizo mengi na makubwa kupitia hivi vicellular, napingana na mwanzisha mada kwa kuwa ili kuwepo na relationship (NDOA) yenye amani, ya kweli na ya kudumu basi kusiwe na mipaka ktk matumizi ya simu zetu kinyume na hapo ni usaliti kwa kwenda mbele na si wa mwili mmoja nyie.

Hakuna haja ya kumchunguza mkeo. Kitendo chochote atakachofanya cha kukùvunjia heshma ni ishara tosha amekuchoka. Hakuna haja ya kuchunguza simu yake.

He he he siungi mkono hoja hata kdogo,mimi shem wako aliniambia hvyo nilimuambia mbona hata anipige sitaacha una siri gani cmu yako isiguswe tena na mwandani wako,kunyima ni kuonyesha una hila binafsi kweli tena na mara zote mi nlizoangalia nilikuta vsms vya kijinga mi sikomi kuiangalia hata nipgwe,mambo mabaya ndo yanafichwa,

uko sahihi kabisa... Abiria lazma tuchunge mizigo yetu..

hapana kumchunguza lazima ujue tuu ukweli eti sio kwamba unamkalia kimya kisa unampenda ndo mwanzo wa kuleteana magonjwa ndani ya nyumba na madharau yasiyo na mpango..mjue vizuri mumeo/mkeo kuliko eti kuogopa kumjua kisa mtaachana...hapo ni kufuga maradhi yasiyo na tiba

Hakuna haja ya kumchunguza mkeo. Kitendo chochote atakachofanya cha kukùvunjia heshma ni ishara tosha amekuchoka. Hakuna haja ya kuchunguza simu yake.
je yeye kukuchunguza ni sawa?
Unajua haya mambo ni busara tu inahitajika. Wengine wanakagua cm, wengine wanataka kujua kila unaloongea kwenye cm umwambie huyo ni nani na mlikuwa mnaongea nini. Na kuna wengine wanataka kujua kila jina la mwanamke kwenye cm, na kuwajua wasichana wote unaofanya nao kazi!
Some women!! Huh! Tuache tuendelee kuwa shock absorbers!!

kwanini anichunguze?. Mimi na mke wangu, kama nipo nje simu yangu anapokea na ya kwake pia napokea. Hatukupanga hivyo ila tulijikuta ktk hali hiyo. Naamini kuwa swala ni uwazi utakuweka huru zaidi.

Hebu acha kutufundisha upumbafu wanaume wenzako hakana mtu mwenye haja ya kugusa simu ya mwenzake ila mazingira ndiyo yatakayoleta picha kamili ya mpenzi wako anaishi maisha gani na ndipo utakapoanza kumchunguza maana penzi ni kikohozi na yangu anaweza hata kukaa nayo mwezi kama anataka maadamu ninajijua nikoje na tabia zangu kwenye mahusiano.

Back
Top Bottom