Salama, mi nimelielewa jina lako 😃Nambie
Unafanya business ya bags?Sawasawa
Hapo nimekupata
Whaaat! 😮Yap na design nashona pia
Hakuna jina lingine ungeweza kutumia mkuu zaidi ya Jiwe?Poleeee, mjamaa ameona mwenziake kapata jiwe kaacha kuchimba shimo lake anakomaa kwenye shimo la mwenzake wakati katika shimo lake angeendelea kidogo tu angeokota jiwe, huo ndio ukweli wa maisha tunayoishi .....