If you hate football, you are against the world.

Marekani football ni kitu tofauti kabisa na huko kwingine.
Wale ni mashabiki wa kubwa wa soka, wana viwanja vikubwa mno.. Tena isitoshe wananunua wachezaji waliostaafu ulaya kwa bei ndefu tu ili wawaone kwa Karibu huko kwao
 
Marekani inakusanya kila kitu na kutaka kuwa binhwa wa kika kitu.

Lakini hilo halimaanishi kwamba wanaoenda soccer.

Ukiangalia statistics wana American Football, Baseball, Basketball na Hockey zote zimeifunika soccer.

Watu hawajui hata kanuni ndogo tu za mchezo.

Kwa hiyo kuna sehemu soccer watu hawafuatilii kihivyo.
 
Life limebadilika, maendeleo pamoja na namna ya kufikiri kwa watu
Ndio maana nikasema mwanzoni kuwa u-mtumwa wa kifikra...!!

Hushangai kuleta Mada (Uzi) kwa lugha ya kigeni na ndani yake ukatiririka kwa lugha Mama...!!
 
Marekani inakusanya kila kitu na kutaka kuwa binhwa wa kika kitu.

Lakini hilo halimaanishi kwamba wanaoenda soccer.

Ukiangalia statistics wana American Football, Baseball, Basketball na Hockey zote zimeifunika soccer.

Watu hawajui hata kanuni ndogo tu za mchezo.

Kwa hiyo kuna sehemu soccer watu hawafuatilii kihivyo.
Unadhani wangekuwa hawapendi wangehangaika nao?

Na ukiona wanatamani wawe top kwenye football, maana yake football ni kitu Kikubwa ktk dunia hii... Ingekua kitu kidogo, wasingepoteza mabilioni kuwekeza kwenye soka
 
Wamarekani wanatamani wae top katika kila kitu.

Kuna watu Wamarekani wanafurahi kwamba nchi yao wako top katika kuuana kwa mass shootings, na siku nchi nyingine ikivunja hiyo rekodi wataona vibaya.

Ubaya au uzuri ni kwamba kikundi kidogo tu cha Wamarekani kiking'ang'ania kitu, hicho kitu kitapaa kwenye charts za dunia kwa upande wa Marekani.

Ndiyo maana soccer si mchezo unaofuatiliwa sana Marekani lakini wamefika mpaka kombe la dunia, wakati Tanzania soka inapendwa kichizi na hatujafika kombe la dunia.

Sasa ukiangalia nani kaenda kombe la dunia na kanunua wachezaji bei mbaya ili ujue soka inapendwa wapi, unaweza kusema inapendwa Marekani kuliko Tanzania.
 
Al-Watan

Marekani hawawezi kutaka kuwa top kwenye kitu kisicho na maana.

Soka kule linapendwa, hata timu kubwa km man utd zikienda kufanya tour kule, viwanja vinajaa mpaka pomoni.

Marekani wanafuzu kombe la dunia maana wanaupenda mpira na wanafanya uwekezaji wa maana kuweza kupata mafanikio.

Tz tunapenda pia mpira but uwekezaji na mipango yetu butu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom