Elections 2015 If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

Kama taasisi ya umma inayojua thamani ya pesa imefungua FD ili fedha hizo zizae na kuongezeka imehukumiwa kifo, then nasisitiza tuzidishe maombi kwa Mungu amjaalie rais wetu Magufuli afunguke macho ya kiuchumi aone mwanga, vinginevyo. ..

Paskali

Ni majanga sana...sasa alitaka watu wafanyeje? watu wamekuwa creative kuirahisishia serikali...Mimi nadhani tuna tatizo kubwa sana...huyu mtu huyu sidhani kama anashaurika....

Uchumi wetu anauua huyu mtu alafu tunamwangalia tuuuu
 
Brother ...jicho lako ni hatari. Utabiri wako wa 2020 upinzani utakuwa kwenye hatari kubwa naona dhahiri linaenda kutokea labda yafanyike mabadiliko makubwa. Wengine tunachukiwa kwa kusema ukweli huu. Tunataka upinzani imara lakini upinzani wanaishi kwa kusubiri huruma ya Rais aliyeko madarakani na kwa umri wote wa upinzani wameshindwa kujiwekea misingi muhimu kukamata dola.


Mkuu..zaidi ya kulalamika ume play part gani kuleta hayo mabadiliko..ujue mimi na wewe tunapishana sehemu moja...wewe ni mfuasi wa mtu sio wa itikadi...ndio maana umebaki kama mwanamke aliyeachwa na mumewe ilihali bado anampenda
 
Leo hujavuta bangi!
Mkuu Dada yangu Faiza, mimi sivuti bangi ila imetokea tuu wengine akili zimekaa kibangi bangi hadi kudhaniwa tunavuta bangi, ila nakiri kwenye ujana niliisha ijaribu na humu jf nimewahi kuitetea iruhusiwe kwa wale ambao bangi inawatuma vizuri.

https://www.jamiiforums.com/threads/moral-question-morphine-drug-iruhusiwe-kupunguza-maumivu-makali.

Ila pía sikuitetea bangi peke yake, bali pía nimeitetea ile biashara ya profesionalprofesion yako nayo ihalalishwe.

https://www.jamiiforums.com/threads...me-tanzania-tuhalalishe-the-oldest-profession.

Paskali
 
Alinselema ....

Selema selema...

Tanzania oyee

Mwanza oyee

Shinyanga oyee

Geita oyee

Simiyu oyee

Kagera oyee

Morogoro oyee

Manyara oyee

Dodoma oyee

Singida oyee

Tanga oyee

Tabora oyee

Kigoma oyee

Ruvuma oyee

Katavi oyee

Mbeya oyee

Musoma oyee

Iringa oyee

Musoma oyee

Dar oyee

Zanzibar oyee

Pwani oyee

CCM OYEE

Tanzania oyeee!

Hebu imba kwa sauti ya Magufuli!
Rukwa?????
 
Wanabodi,
Jakaya Kikwete ukiondoa mambo yake ya uswahili swahili, alikuwa ni mtu mwenye huruma sana iliyopitiliza kiasi cha kutafsiriwa kuwa ni Rais dhaifu, hivyo CCM ya Kikwete ilikuwa ni CCM dhaifu!, CCM ya kubezwa, CCM ya kufanywa ya mchezo mchezi, lakini CCM ya Magufuli itakuwa ni CCM isiyo na mchezo, huruma wala mswalie Mtume, hii ni CCM ya hapa kazi tuu, ambayo ni hatari kwa waliozoea CCM lege lege, hivyo Magufuli akijenga CCM imara sana, huu upinzani lege lege uliopo nchini Tanzania, mwisho wake ni 2020, tunarudi kwenye chama kimoja, ndio maana nimesema 2020 hakuna uchaguzi wa rais.

Kwenye uzi wangu huu,
Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour!, nilimzungumzia JK kuwa sifa kubwa iliyomfanya CCM impitishe ni cheko na bashasha zake!, hivyo JK tumemchekea, tumemdhihaki, tumembeza, tumemkejeli, hadi kumchezea, huku yeye akicheka tuu na kuyaacha yapite. Kwa Magufuli, hakuna kuchekacheka au kuchekeana, wala hakuna mchezo mchezo, ni kazi tuu, hivyo hili ni angalizo muhimu sana na hata majaaliwa ya uhuru huu usio na mipaka tulionao humu jf mbele ya unpredictable dictator kama huyu, ni mashaka matupu, salama yetu ni sisi jf pía tumjoin vinginevyo....

Thanks God, mimi ni mmoja wa wana jf wachache, waliopata priviledge wanaojua huyu Magufuli aliibukia wapi hadi yeye kuwa ndie mgombea wa CCM na sababu ni zipi!. Ukilisoma bandiko hili ukazijua sababu zilizosababisha akawa Magufuli, labda utanielewa nazungumzia nini!.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli!

Hivyo kwa udikiteta wa Magufuli, let's hope, kuwa zile sababu zilizopelekea kwa nini rais akawa ni Magufuli, ndizo pekee the ones and only zitakazo weza kumcheck and balance him in between being a real dictator and a benevolent dictator vinginevyo hata hao CCM wanaoshangilia ushindi, watakuja kujuta!, therefore, to be on a safe side, if you can't beat him, just join him.

Wana Chadema, Wana UKAWA na Watanzania wenzangu, najua wengi wenu mlimtaka Lowassa, mmemkosa!, mkapewa Magufuli, hivyo "If you can't get what you want, just take what you get!", tumkubali Magufuli kwa moyo mkunjufu, tumpokee na kumpatia ushirikiano wote unaotakiwa, Tanzania sio nchi ya Magufuli wala sio mali ya CCM, Tanzania ni yetu sote!.

Sio tumjoin Magufuli kwa sababu ndio tunampenda hivyo tumemkubali, no way, tumkubali Magufuli kwa sababu ndie the only one tuliyepatiwa na Mungu, hivyo we have to join him kwa lazima, tutake tusitake, tupende tusipende, yeye ndie rais wetu hivyo we have to join him because we have to!.
Paskali
Najikumbusha tuu nilisema nini in light ya hiki kinachotokea CCM sasa. Wenye uwezo wa kudetect tone ya visasi watakuwa wameona!. 2020 hakutakuwa na uchaguzi wa rais bali igizo la uchaguzi na CCM imara, majaaliwa ya upinzani ni mashakani sana! .

Paskali
 
In light ya muongozo uliotolewa leo pale Ubungo kuhusu majadiliano kwenye mitandao ya kijamii, tunatakiwa tusi discuss watu, tudiscuss ideas, hivyo nashauri kuanzia leo tusizungumzie kabisa mtu yoyote kuwa dikteta bali tusizungumzie udikteta tuu na sio watu.

Paskali
 
Wanabodi,
Hoja kuwa Magufuli ni dictator haina mjadala, kwa watu wenye jicho la tatu, wanaona fire on his eyes, ambayo ni kiashiria cha chuki na visasi toka moyoni mwake, na wenye sikio la tatu wanaisikia tone ya ukatili kwenye sauti yake!. Kitu cha muhimu cha kufanya ni kumuombea tuu kwa Mungu, angalau Mungu amfanye kuwa ni a benevolent one ili huo udikiteta wake ulisaidie taifa, vinginevyo tutajuta!.


Thanks God, mimi ni mmoja wa wana jf wachache, waliopata priviledge wanaojua huyu Magufuli aliibukia wapi hadi yeye kuwa ndie mgombea wa CCM na sababu ni zipi!. Ukilisoma bandiko hili ukazijua sababu zilizosababisha akawa Magufuli, labda utanielewa nazungumzia nini!.Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli!

Hivyo kwa udikiteta wa Magufuli, let's hope, kuwa zile sababu zilizopelekea kwa nini rais akawa ni Magufuli, ndizo pekee the ones and only zitakazo weza kumcheck and balance him in between being a real dictator and a benevolent dictator vinginevyo hata hao CCM wanaoshangilia ushindi, watakuja kujuta!, therefore, to be on a safe side, if you can't beat him, just join him.

Sio tumjoin Magufuli kwa sababu ndio tunampenda hivyo tumemkubali, no way, tumkubali Magufuli kwa sababu ndie the only one tuliyepatiwa na Mungu kuwa kiongozi wetu, kuwa rais wetu hivyo we have to join him kwa lazima, tutake tusitake, tupende tusipende, yeye ndie rais wetu hivyo we have to join him because we have to!.
We are doomed!
Paskali
Tetesi: - Trend Reading: Mabadiliko Madogo ya Baraza la Mawaziri Yananukia!. Head-hunting Imeishaanza!.
Magufuli kiboko!.
Any way, Kabudi ni jembe, na Mwakyembe ni mwanahabari.
Jina la Nape limeandikwa kwenye kitabu cha majina ya mashujaa wa taifa hili, na uwaziri sio kitu mbele ya karma!.
Paskali
Kuna vitu niliwahi kusema siku nyingi, sasa naanza kuvishuhudia little by little!.
We are doomed!.
Paskali
 
Characteristics of a dictator, and they fit very well with dikteta uchwara Magufuli.

Common characteristics of world dictators

It was hard to tell whether Hugo Chavez rigged the Venezuela recall vote in his favor. But Coyote Blog’s "How to spot a dictator" post has a point. Click here.

For the record, a dictator guarantees none of the following:

Freedom of speech.
Freedom of the press.
Free opposition political parties.
Independent courts.
Free and regular elections.


Degrees of repression. Some dictators see themselves as a transition to democracy, but, in general, few eventually subject themselves to a free and fair election.

Some dictators allow limited freedom of expression, as long the expression -- written or spoken -- doesn’t directly challenge the dictator’s rule.

The restrictions vary. In some dictatorships, the people can call for free elections or criticize the dictator. In the more repressive tyrannies, such speech could be punished by imprisonment or worse. Under the most severe oppression, a society may appear calm, but only because the punishment for dissent is swift, harsh and certain.

Totalitarianism. Totalitarian dictatorships, the most repressive of regimes, strictly enforce the absence of freedom, and relentlessly apply the power of the press, the courts, the bureaucracy, the army and the police against individual liberties. Totalitarian means total dictatorial control.

Most totalitarian police states have some form of neighborhood block watches, requiring residents to inform on neighbors who exhibit any democratic tendencies. Secret police also watch for anti-dictatorship activity. Religions often are not permitted to operate without a government license; dictators fear that worshipers might plot against them during private religious activities. In totalitarian theocracies, one religion is central to the dictatorship, which relentlessly tells the people that oppression is God's will.

In totalitarian societies, gross abuses of human rights are common. Totalitarian dictatorships also tend to justify their abuses by claiming the total repression serves a higher cause, like material equality or superficial stability. Totalitarian dictators regularly educate both children and adults that freedom is a scary thing, or they redefine "freedom" as equality or stability. The arguments for totalitarian control become an "ideology," a system of principles that average citizens are never permitted to question.

No named successor. One oddly common trait among dictatorships: The dictator almost never has a named successor. Most democracies have something like a vice president, to take over if the president dies. Dictators don't want their opponents to know who would succeed them. The uncertainty discourages the opposition from assassinating the dictator. To the would-be assassin, the successor could be worse, or the chaos of choosing a successor too dangerous.

In dictatorships, the ruling political party either restricts the activities of opposition political parties or outlaws opposition parties altogether. (Each "party" simply is a group of people who agree on and organize around a collection of political ideas.) Dictatorships also allow the courts little or no independence; judges are expected to issue rulings based on what the dictator wants, even if the dictator's wishes contradict the truth or the law.

The same lack of openness and accountability makes dictatorships much more prone to mass murders of outcasts, political opponents and even people simply suspected of opposing the government. With no free elections, no strong opposition parties, no free press and no independent courts to challenge them, dictators can order mass death at their whim.

Link to famine. Some political scientists argue that the lack of openness and accountability of dictatorships also is a major cause of mass famine. Democracies occasionally experience hunger and malnutrition, but democracies seldom experience the kind of famine that lets hundreds of thousands or even millions die of starvation. A government that faces a free press and free elections is much more likely to produce quick action to avoid famine.

A dictatorship is more inclined to cover up famine and look the other way.

Hopeless oppression. The most common characteristic of a dictatorship: Hopelessness in the people -- no hope of a free election to change leaders, no hope of fairness in court, no hope of a life lived with the freedom to speak your mind or challenge a bad idea.

Yote haya niliyoweka rangi yanafanyika ndani ya hii serikali dhalimu ya dikteta uchwara ambayo sasa inashabihiana sana na iliyokuwa Serikali ya makaburu kule South Africa.
Hii ni mbolea kwenye hoja za udikiteta

Paskali
 
Jimbo la kilindi: Jumla ya Wapiga kura = 46830
Kura halali = 46830
Kura zilizokataliwa = Hakuna

Matokeo
ACT = 324
ADC = 221
CCM = 33942
CHADEMA = 22123
CHAUMA = 40
NLRA = 31
TLP = 27
UPDP = 22

SASA JUMLISHA MWENYEWE UJIONEE MSHANGAO WAKE.
Ukifuga kuku kuna vitu anavyofanya vilivyo tofauti na kufunga ng'ombe au mbwa. Vivyo hivyo kujiita (kuwa) binadamu kuna vitu unavitarajia kutoka kwa kiumbe huyu vilivyo tofauti na viumbe wengine. Tunachofanya sisi ni kudharirisha ubinadamu!
 
Kwenye hoja ya udikiteta wa rais Magufuli, kuna madikiteta wabaya na madikiteta wazuri au madikiteta wema.
Madikiteta wazuri ni wale ambao wanafanya vitendo vya udikiteta kwa nia njema, hata ikibidi kuivunja katiba, au kukiuka sheria, taratibu na kanuni, kwa nia njema, ni udikiteta unaokubalika, mfano katiba inaruhusu vyama vya siasa kufanya mikutano, rais Magufuli anataka watu wafanye kazi na sio kuwa wazururaji kwa kisingizio cha kufanya maandamano, au kuwa ni watu wanaokaa bure tuu kwa kisingizio cha kuhudhuria mikutano ya siasa, watu wenye muda wa kuhudhuria mikutano ya siasa kila siku ni watu wasio na kazi, hivyo kama tangazo lake la kupiga marufuku mikutano ya siasa na maandamano ni ili watu wasizurure ovyo, na wasikae onyo bila kufanya kazi, then huu ni udikiteta mzuri. Dikiteta wa aina hii anaitwa a benevolent dictator.

Hata kuachiwa kwa Babu Seya, sheria hairuhusu wabakaji na wauwaji kuachiliwa kwa msamaha wa rais, kilichofanyika pia ni udikiteta, ila umefanywa kwa nia njema kuwa vipindi walivyotumikia gerezani, wamejirekebisa, na sasa ni watu wema, hivyo udikiteta is not necessarily ni udikiteta mbaya, udikiteta mwingine ni udikiteta mzuri.

Big up sana rais Magufuli.

Paskali
 
Kwenye hoja ya udikiteta wa rais Magufuli, kuna madikiteta wabaya na madikiteta wazuri au madikiteta wema.
Madikiteta wazuri ni wale ambao wanafanya vitendo vya udikiteta kwa nia njema, hata ikibidi kuivunja katiba, au kukiuka sheria, taratibu na kanuni, kwa nia njema, ni udikiteta unaokubalika, mfano katiba inaruhusu vyama vya siasa kufanya mikutano, rais Magufuli anataka watu wafanye kazi na sio kuwa wazururaji kwa kisingizio cha kufanya maandamano, au kuwa ni watu wanaokaa bure tuu kwa kisingizio cha kuhudhuria mikutano ya siasa, watu wenye muda wa kuhudhuria mikutano ya siasa kila siku ni watu wasio na kazi, hivyo kama tangazo lake la kupiga marufuku mikutano ya siasa na maandamano ni ili watu wasizurure ovyo, na wasikae onyo bila kufanya kazi, then huu ni udikiteta mzuri. Dikiteta wa aina hii anaitwa a benevolent dictator.

Hata kuachiwa kwa Babu Seya, sheria hairuhusu wabakaji na wauwaji kuachiliwa kwa msamaha wa rais, kilichofanyika pia ni udikiteta, ila umefanywa kwa nia njema kuwa vipindi walivyotumikia gerezani, wamejirekebisa, na sasa ni watu wema, hivyo udikiteta is not necessarily ni udikiteta mbaya, udikiteta mwingine ni udikiteta mzuri.

Big up sana rais Magufuli.

Paskali
Wewe inabidi tuoongee kisukusu ndo tuaelewana....

Kinyume cha dictator ni nini???
 
Kwenye hoja ya udikiteta wa rais Magufuli, kuna madikiteta wabaya na madikiteta wazuri au madikiteta wema.
Madikiteta wazuri ni wale ambao wanafanya vitendo vya udikiteta kwa nia njema, hata ikibidi kuivunja katiba, au kukiuka sheria, taratibu na kanuni, kwa nia njema, ni udikiteta unaokubalika, mfano katiba inaruhusu vyama vya siasa kufanya mikutano, rais Magufuli anataka watu wafanye kazi na sio kuwa wazururaji kwa kisingizio cha kufanya maandamano, au kuwa ni watu wanaokaa bure tuu kwa kisingizio cha kuhudhuria mikutano ya siasa, watu wenye muda wa kuhudhuria mikutano ya siasa kila siku ni watu wasio na kazi, hivyo kama tangazo lake la kupiga marufuku mikutano ya siasa na maandamano ni ili watu wasizurure ovyo, na wasikae onyo bila kufanya kazi, then huu ni udikiteta mzuri. Dikiteta wa aina hii anaitwa a benevolent dictator.

Hata kuachiwa kwa Babu Seya, sheria hairuhusu wabakaji na wauwaji kuachiliwa kwa msamaha wa rais, kilichofanyika pia ni udikiteta, ila umefanywa kwa nia njema kuwa vipindi walivyotumikia gerezani, wamejirekebisa, na sasa ni watu wema, hivyo udikiteta is not necessarily ni udikiteta mbaya, udikiteta mwingine ni udikiteta mzuri.

Big up sana rais Magufuli.

Paskali

Mkuu tukienda kwa utashi wa mtu mmoja mmoja hivyo nchi itakua banana republic..ndio maana kuna katiba...utashi wa Magufuli kwa muono wake anaweza ona sahihi ila kwa wengine sio sahihi,kipimo ni kipi?Hakuna kipimo kingine kuacha katiba

There is a reason katiba kuwepo na iheshimiwe.Binadamu anafanya makosa,Magufuli ni mwanadamu wa kawaida kabisa,kosa lake moja tu la bahati mbaya linaweza tukausha wananchi milioni 50.......

Eti kuwaachia Babu Seya nalo ni jambo jema,hivi Paskali mzima kweli ndugu yangu?Mtu kadhibitishwa na mahakama zote ni mbakaji na mlawiti,kuanzia mahakama ya mwanzo mpaka mahakama ya rufaa imedhibitisha hilo,wewe ni nani mpaka uje useme eti ni jambo jema?

Mtu anaetetea udikteta wa aina yoyote ile decision making skills zake ni very suspect.

Eti dikteta mzuri...ridiculous premise kabisa.......Watu mil 50 waishi kwa IQ very suspect ya mtu mmoja anaeitwa Rais?Itakua Tanzania kama jamii hatujafikia civilization stage collectively......Yaani mtu atoe maamuzi kuendesha watu mil50 bila kuwekwa kwenye scrutiny na peers wake ni hatari mnooo,ni hatari kama kulala na binti yako wa kumzaa.Tanzania kama civilization hatuwezi rudi nyuma kiasi hiki,ni insult to Tanzanians' intelligence

Paskali kubali unakua academically dishonest na unatoa lip services kwa mtawala.
 
Habari wana jamii

Hii methali ya kiingeleza " If you don't them join them. Hii inamaana kwamba ukiona unayegombana nae amekuzidi nguvu; kete au mbinu na kila kitu huna haja ya kunyoosha mikono juu na kujisalimisha au kutimua mbio bali yakufaa kuomba msamaha na kuwa rafiki yake na kuungana nae. Ukijifanya nunda au mjuaji utapigwa kwa aibu na kufa kifo cha aibu.

Hiki ndo kitu kinachofanyika kwa sasa hapa nchi kwa upande wa siasa. Vyama vya upinzani vikiongozwa na CHADEMA vimeanza kutekeleza huu msemo kwa chama kongwe chama kisiki CCM.

Leo hii tunaona viongozi wengi wa upinzani madiwani kwa wabunge wakikimbilia CCM kwa sababu mbali mbali kuu kubwa ikiwa ni ile ya kumuunga mkono Mh. Rais kwa kazi anayoifanya.

Wapinzani bado nawakumbusha tu kwa bure: If you don't beat them join them.
Karibu pande hizi, haya yanayotokea leo, angalia akina sisi tulianza kuyaona lini!.
Paskali
 
Pascle usiwe mkata tamaa,siasa ni uga wa upepo. Upinzani unasoma yanayojili kwa mda huu hasa watu kuama kwa vishawishi. Genge la wanunuzi lingefanya mchezo huu januari ya 2020 naamini wangefanyikiwa san. Rushwa ya kisiasa sasa tanzania iko waz. Ushahidi wa waz wa akina nasari ni turufu nzur upinzan ukiitumia ku reverse ujinga wote huu. Wapinzan naiona their bright future kama watabadili gia ya kisiasa kufuatana na hali ya sasa. Bahati mbaya watesi wao hanawa uvumilivu.wanaweka silaha ya hela kununua watu mchana kweupe. Cku zote ukiona mtu anaalalisha kuungwa mkono na watu ujue kaishiwa sera. Msiogope utamaduni huu wa kununua watu utazoeleka mwishoni utakwisha na wasionunulika watawaumbua WANUNUZI. Tena wenye AUDIO CLIP za Maongez ya biashara hizo ebu rusheni hewani TUZIFANYE CALLER TUNE YA CM ZETU ili tuwakomeshe.
 
Maishani kuna pande mbili za ubaya na wema utakuwa mwendawazimu kujiunga upande wa ubaya kwasababu tu wao ndio walioshinda,Hata kama kuna asilimia moja ya ushindi na tisini na tisa za kushinda .
 
Ccm hii sio imara bali ccm ya dictator,ya Lisu yanaogopesha,,kwa dictator bora kumpenda kwa unafiki na kumsifu unaweza kuwa safe kuliko kumpinga,ameshasema takwimu ambazo hazina authority ya NBS marufuku,vinginevyo jela itamhusu mtu,hatari sana.
"Natamani malaika ashuke afungie mitandao"
 
Hili la Lowassa kwenda ikulu, limewashangaza baadhi ya watu, kwetu sisi wengine ni kufanya tuu rejea, siku ya Mbowe Lema na Lissu na makamanda wengine kupiga hodi ikulu kumshukuru rais Magufuli na kumpongeza pia itafika, nawaomba msishangae!.

Paskali
 
Hili la Lowassa kwenda ikulu, limewashangaza baadhi ya watu, kwetu sisi wengine ni kufanya tuu rejea, siku ya Mbowe Lema na Lissu na makamanda wengine kupiga hodi ikulu kumshukuru rais Magufuli na kumpongeza pia itafika, nawaomba msishangae!.

Paskali

yan me huwa wanakusoma sana wacha leo nikoment kaka
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom