Elections 2015 If you can't beat them, join them! He is the worst dictator. Let's pray for him!

Magufuli will be remotely controlled from Msoga..!!! Like Bulldozer...!!!

Naamini 100% kwa uhakika kabisa.....MAGUFULI HAWEZI kamata mali ya ma trillions za JK, Mkapa au Kinana...!!!

Naamini 100% kwa UHAKIKA..!! MAGUFULI HAWEZI fumua mikataba mibovu JK aliyo ingia hata kidogo...!!!

So, WATANZANIA watabakia MASKINI WA KUFA...ufukara hadi wakome...!!!

Watanzania ndio WAKOME... NATAKA WAPATE SHIDA KUU, NA DHIKI KUU... ILI wapate akili na kujua adui wa maisha yao ni CCM...!!!

Na DHIKI kuu kwa wananchi ndio INAANZA...!!!

WATANZANIA WATAJUTIA KUIRUDISHA CCM MADARAKANI...!!!

NEC ni ya CCM 100%... UKAWA, wangetakiwa wakomae kabisa kabisa... wapate TUME HURU YA UCHAGUZI...!!!

HAPA NI WIZI WA KURA TU...!!!

NEC ni ya CCM...!!! So, UPINZANI sasa wakatae NEC na wakiingia tu BUNGENI... WATAKE TUME HURU YA UCHAGUZI...!!!

BILA TUME HURU YA UCHAGUZI NI BUREEEEEEEEEE....!!!

Mkuu,
Kama vile ulikuwa kwenye akili yangu. Magufuli atakuwa mtumishi wa JK, na nataka nikuambie tu kwamba kwa Magufuli tutaendelea kuongozwa na Kikwete na Mkapa kwa miaka 5 au 10 ijayo. Hakika ni majuto kwa watanzania.
 
The prospect of CCM being in power for almost 60 years makes me sick to my stomach!

Not only that.

The fact that Magufuli is the least qualified of all past CCM presidential nominees and therefore the likely next president for the next 10 years is hard to bear and unforgivably cringeworthy!

The problem is that the opposition hasn't given us a worthy replacement and has alienated sane Tanzanians with its sheningan. They joined forces so they have now labeled themselves collectively this Ukawa brand which is non existent and weak. What we need is a separate platform to organize on!
 
Thing is CCM is trying so hard maintain its ruling party position and is doing whatever it takes even if its faking ballot papers or whatever...
It also sickens me that people when they get into power there's not too much they do to contribute to development of our economy.. Thats why we just lag behind other african countries..
I respect all those who voted CCM politicians but i feel sorry for them at the same time.. I mean CCM should trust that they have all of you "CCM" to vote for them With no need to rig the elections..
:rolleyes:
 
Rais:DK Magufuli PM:DK Mwakyembe SPEAKER:SITTA NISHATI&MADINI:pROF MUHONGO(Mengi lazima aharishe mfululizo) .Patachimbika Mazeee...."KAZI TUUU"
 
Watu wenye ufahamu ndio wapotoshaji wakubwa, mmekosa uzalendo badala yake mmetanguliza ubinafsi mbele, ulichokisimamia jana leo hukitaki, unachokisema leo baadae unakikana alimradi maslahi yenu yafanikiwe, aibu sanaaa!
 
Wanapotosha nini?
 
Wanabodi,

Wakati wa mchakato wa kumpata mgombea wa CCM nilipandisha uzi huu,
Yajue Makundi 10 Top Ten wa CCM, Ambamo Watatoa Top 5,

kuhusu baadhi ya wagombea wa CCM wakipita wana hatari ya ku make the worst Dictators, John Pombe Magufuli was number 2 ya Rais who can make the worst dictator this country has ever had!.

Hoja kuwa Magufuli ni dictator haina mjadala, kitu cha muhimu ni kumuombea tuu kwa Mungu, angalau amfanye ni a benevolent one, vinginevyo tutajuta!.

Thanks God, mimi ni mmoja wa wachache, wanaojua huyu Magufuli aliibukia wapi hadi yeye kuwa ndie mgombea wa CCM na sababu ni zipi!. Ukilisoma bandiko hili ukazijua sababu zilizosababisha akawa Magufuli, labda utanielewa nazungumzia nini!.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli!

Hivyo let's hope, only zile sababu, zilizopelekea kwa nini ni Magufuli, ndio the only ones zitakazo mcheck and balance him in between being a real dictator and a benevolent dictator!.
Pasco!.
Nafanya tuu rejea ni kwa mujibu wa sheia, taratibu na kanuni ipi iliyompa rais wetu mamlaka ya kuamuru matumizi sahihi ya private money za michango?!.

Jee rais anayo mamlaka ya kuifuta parade ya uhuru?!.

Pasco
 
Kapitie public holiday Act
 
Nafanya tuu rejea ni kwa mujibu wa sheia, taratibu na kanuni ipi iliyompa rais wetu mamlaka ya kuamuru matumizi sahihi ya private money za michango?!.

Jee rais anayo mamlaka ya kuifuta parade ya uhuru?!.

Pasco

Mkuu ulishamaliza kila kitu! Nakasirika sana ninapokumbuka wa-TZ tulichofanyiwa na akina Lubuva na wenzake! Huyu hatukumchagua sisi! Kwa wale wanaopiga mbinja sasa hivi nawahurumia sana!! Na wote tuseme "ALANIWE LUBUVA NA WENZAKE"
 
Sisi watanzania tunaangalia maamuzi ambayo yana tija kwetu.....ni kwamba sherehe ya uhuru/parede kwa mwaka huu kufutwa ni jambo jema na litasaidia pesa za kugharamia zoezi zitimike kwenye huduma za kijamii...

Pasco watanzania tumelialia sana kuwa na dictator na tumempata...hata luwasa alikuwa doctator kwani alikuwa akitutaka wapinzani wake kufunga midomo....

Magufuli anafaa awe dictator ili kupambana na uvivu wa watanzania...ili wafanye kazi...
 
Japo umechanganya lugha niseme tu: Awe dikteta mkaidi ama dikteta muungwana, Rais wa sasa anaunganisha mielekeo miwili ya uongozi; anajali wananchi yaani watu na pia majukumu yake kama kiongozi mkuu wa nchi. Yeye anayatolea maongozi mambo yanayolisibu taifa letu. Huo si udikteta pitilizi bali uongozi unaotafuta uwiiano unaofaa kuliongoza taifa katika njozi zake za kimaendeleo - NJONZI YA KITANZANIA - kumiliki rasilimail zetu kwa manufaa ya watu wote na hivyo kuondosha matabaka ya kijamii-uchumi, umaskini wa kujitakia na utumwa wa kiuchumi nchini mwetu. Mhe. Maghufuli ni nyota ya mapambazuko ya uamsho mpya wa kitaifa wa Tanzania.
 
Wanabodi,

John Pombe Magufuli ndiye mshindi wa urais Tanzania kwa mwaka huu wa 2015-2025!, anayesubiri kutangazwa rasmi!.

Wakati wa mchakato wa kumpata mgombea wa CCM nilipandisha uzi huu,
Yajue Makundi 10 Top Ten wa CCM, Ambamo Watatoa Top 5,
kuhusu baadhi ya wagombea wa CCM wakipita wana hatari ya ku make the worst Dictators, John Pombe Magufuli was number 2 ya Rais who can make the worst dictator this country has ever had!.

Hoja kuwa Magufuli ni dictator haina mjadala, kitu cha muhimu ni kumuombea tuu kwa Mungu, angalau amfanye ni a benevolent one, vinginevyo tutajuta!.

Jakaya Kikwete ukiondoa mambo yake ya uswahili Swahili, alikuja ni mtu mwenye huruma iliyopitiliza kiasi cha kutafsiriwa kuwa ni Rais dhaifu, hivyo CCM ya Kikwete ilikuwa ni CCM dhaifu!, CCM ya Magufuli itakuwa ni CCM sasa kazi tuu, ambayo ni hatari kwa waliozoea CCM lege lege, hivyo akijenga CCM imara sana, huu upinzani mwisho ni 2020!.
Pasco!.
Nafanya tuu rejea!, "CCM ya Magufuli itakuwa ni CCM sasa kazi tuu, ambayo ni hatari kwa waliozoea CCM lege lege, hivyo akijenga CCM imara sana, huu upinzani mwisho ni 2020!."

Kwa haya yanatotokea, nawashangaa wanaoshangaa, as if hawakutegemea!.
Pasco
 
Wanabodi,

John Pombe Magufuli ndiye mshindi wa urais Tanzania kwa mwaka huu wa 2015-2025!, anayesubiri kutangazwa rasmi!.

Kuna walioshindana nae, kuna waliopingana nae, na kuna waliopingana nae!.
Sasa kwa wote wa makundi hayo, kwa vile sasa yeye ndiye mshindi, hii inamaanisha, they were fighting him but they can't beat him!, hivyo kuna huu msemo usemao, "if you can't beat them, join them!". Nawashauri makundi hayo, to join him, sio kwa kupenda, but because they have to!.

Natoa wito kwa wote walioshindana nae, kwanza kukubali matokeo, kwa sababu asiyekubali kushindwa sii mshindani!, regardless umeshindwaje!, iwe ni kwa ushindi halali, haramu, bao la mkono, etc, the end will always justify the means!, Pili kumpatia ushirikiano kwa kum join him!, tena hapa mtawashuhudia baadhi ya wale opportunists waliojiengua kumfuata, wakipiga magoti kulamba matapishi yao kwa kurejea, because they see no more opportunities they expected!.

Wakati wa mchakato wa kumpata mgombea wa CCM nilipandisha uzi huu,
Yajue Makundi 10 Top Ten wa CCM, Ambamo Watatoa Top 5,

kuhusu baadhi ya wagombea wa CCM wakipita wana hatari ya ku make the worst Dictators, John Pombe Magufuli was number 2 ya Rais who can make the worst dictator this country has ever had!.

Hoja kuwa Magufuli ni dictator haina mjadala, kitu cha muhimu ni kumuombea tuu kwa Mungu, angalau amfanye ni a benevolent one, vinginevyo tutajuta!.

Jakaya Kikwete ukiondoa mambo yake ya uswahili Swahili, alikuja ni mtu mwenye huruma iliyopitiliza kiasi cha kutafsiriwa kuwa ni Rais dhaifu, hivyo CCM ya Kikwete ilikuwa ni CCM dhaifu!, CCM ya Magufuli itakuwa ni CCM sasa kazi tuu, ambayo ni hatari kwa waliozoea CCM lege lege, hivyo akijenga CCM imara sana, huu upinzani mwisho ni 2020!.

Kwenye uzi wangu huu,
Miongoni Mwa Mazuri ya Kikwete: "Has Good Sense of Humour!, nilimzungumzia JK kuwa sifa kubwa iliyomfanya CCM impitishe ni cheko na bashasha zake!, hivyo JK tumemchekea, tumemdhihaki, tumembeza, tumemkejeli, hadi kumchezea, huku yeye akicheka tuu na kuwaacha yapite. Kwa Magufuli, hakuna kucheka, wala hakuna mchezo, ni kazi tuu, hivyo hili ni angalizo muhimu sana na hata majaaliwa ya huu Uhuru usio na mipaka tulionao humu jf mbele ya unpredictable dictator kama huyu, ni mashaka matupu unless we join them!.

Thanks God, mimi ni mmoja wa wachache, wanaojua huyu Magufuli aliibukia wapi hadi yeye kuwa ndie mgombea wa CCM na sababu ni zipi!. Ukilisoma bandiko hili ukazijua sababu zilizosababisha akawa Magufuli, labda utanielewa nazungumzia nini!.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli!

Hivyo let's hope, only zile sababu, zilizopelekea kwa nini ni Magufuli, ndio the only ones zitakazo mcheck and balance him in between being a real dictator and a benevolent dictator!, therefore, to be on a safe side, if you can't beat them, just join them!.

Wana Chadema, Wana UKAWA na Watanzania wenzangu, najua wengi wetu tulimtaka Lowassa, tumemkosa!, tukapewa Magufuli, let's just take him!. If you can't get what you want, just take what you get!.

Sio tumjoin kwa sababu ndio tumemkubali, au kwa sababu ndio sasa tunampenda, no way, we have to join them because we have to!.

Kwa kuweka tuu kumbukumbu sawa, 2010 Chadema walisusia matokeo walijidai hawamtambua JK, lakini hatima yake ilikuja kuwa hivi

Chadema Yakubali Yaishe! Yamtambua Rais!, Yampongeza!

Bandiko hili liliwaudhi sana Chadema humu jf, Mwana JF, Regia Mtema (RIP) akanitaka niombe radhi
Pasco Tuombe radhi CHADEMA-Umemwelewa Vibaya ....

Radhi iliombwa
Nawaomba radhi wana CHADEMA, nilimwelewa vibaya ...

This same, same scenario inataka kujirudia!.

Pasco!.
Rejea......

P.
 
Rejea......

P.
Brother ...jicho lako ni hatari. Utabiri wako wa 2020 upinzani utakuwa kwenye hatari kubwa naona dhahiri linaenda kutokea labda yafanyike mabadiliko makubwa. Wengine tunachukiwa kwa kusema ukweli huu. Tunataka upinzani imara lakini upinzani wanaishi kwa kusubiri huruma ya Rais aliyeko madarakani na kwa umri wote wa upinzani wameshindwa kujiwekea misingi muhimu kukamata dola.
 
Kama taasisi ya umma inayojua thamani ya pesa imefungua FD ili fedha hizo zizae na kuongezeka imehukumiwa kifo, then nasisitiza tuzidishe maombi kwa Mungu amjaalie rais wetu Magufuli afunguke macho ya kiuchumi aone mwanga, vinginevyo. ..

Paskali
 
35 Reactions
Reply
Back
Top Bottom