Unatakiwa ufanyaje asa?kuwa GF bwana!!
Kuwa great thinker bwana maelezo hayajitoshelezi!
Ungeandika "If you are..." na sio "if your....
Ungeandika "If you are..." na sio "if your....
Poa mkuu, ngoja tuchek
Hahahaha.......mwalimu FaizaF............ shkamooooo mwaaaalimu lol wanchekesha!.............Hizi lugha za watu bana khaa!Ungeandika "If you are..." na sio "if your....
faiza muda mwngne wewe mtata,utafanya watu waogope kuandika kithungu.
teh teh kwel bana faiza nimekosea kizungu kidogo b'se it is not my mother tongue language
Matatizo ya kutomaliza shule.Ungeandika "If you are..." na sio "if your....
Matatizo ya kutomaliza shule.
??????????....................................