If you allow me to see you; you will be shocked and amazed!- From Sabodo to Hon Anna Tibaijuka

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,133
17,099
Yawezekana mama tibaijuka anajua uchafu mkubwa unaioendelea huko Nhc
Mh sabodo ametoa hayo maneno kwa kweli ukiyasoma utahuzunika na utajiuliza kwa nini mama tibaijuka
ameombwa zaidi ya mara 4 na sabodo kumwona amekataa...je anahisi anahongwa la hasha baada ya magazeti kuandika
kundi la waasia wanataka kumhonga mama anna tibaijuka sabodo ameweka wazi leo kwenye gazeti la daily news

""NOBODY IS WITHOUT SIN;HOW CAN YOU TRANSFER THE HOUSES WITHOUT THE PERMISSION FROM NHC::TANZANIA IN COLLABORATION WITH SOME NHC OFFICIALS ARE MAKING ALOT OF MONEY;I PUBLICLY ANNOUNCE IF YOU WILL ALLOW ME TO SEE YOU EVEN 5 MINS I WILL DISCLOSE CERTAIN INFORMATIONS TO YOU AND YOU WILL BE SHOCKED AND AMAZED IF YOU LOVE YOUR COUNTRY"""PLS GIVE SOME MINS
TO SEE YOU IF YOU LOVE YOUR COUNTRY"""

KWA KWELI NIMEFIKIA KUJIULIZA MAMA TIBAIJUKA KWA NINI ANAKATAA KUONANAN NA WATU HAWA KAMA WANA HABARI MUHIMU ZA KUONDOA UCHAFU HUKO NHC??JE NAYEYE ANASHIRIKI HUO UCHAFU..NA KAMA ANAOGOPA KWA NINI ASIOMBE WAWEPO WATU WA USALAMA KUSIKIA ANACHOSEMA SABODO BADALA YA KUMKATALIA KUONANA NAE ZAIDI YA MAARA NNE???\\


MWENYE MACHO AAMBIWI ONA???NATUMAINI IPO SIKU SABODO KAMA ATASHINDWA KUSEMA KWAA WAZIRI BASI ATAWEKA HADHARANI KWENYE MAGAZETI MUONE HAO VIONGOZI WA NHC WANAVYOUZA NYUMBA KWA MAMILION NA KUJENGA NYUMBA KAMA AWANA AKILI NZURI NA BAYA WANAWAPA NDUGU NA WENGINE WANAWEKA WATU ALAFU WANAKUJA KUZIUZA AMA KUPANGISHA KWA WAHINDI KAMA ALIVYOSEMA SABODO

MH TIBAIJUKA TUMPE NAFASI SABDO AELEZE KINACHOENDELEA HUKO NHC VINGINEVYO ATUTOWIWA KUKUULIZA KAMA ZILE NYUMBA ZA MGAO UMEWEKA WATU WAKO WANGAPI
 

mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,790
4,621
kuna uwalakini hapa prof.Tibaijuka is being manipulated not to meet him.ukweli tutaujua tu.
 

FJM

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
8,081
6,189
Kama Sabodo ana jambo la maana kwa nini asitoe kwenye magezeti kama ambavyo amekuwa anafanya kila anapokuwa na jambo kuhusu serikali au hata wosia (will) wake? Ni lazima aonane uso kwa uso na Mama Tobaijuka?
 

Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
12,733
4,156
Kwani siku hizi Waziri (tobaijuka) ndo chombo cha malalamiko?, sabodo si akatoe malalamiko yake kwenye vyombo vingine huru: pccb, polisi, tume ya haki za binadamu, tume ya maadili ya watumishi wa umma, OWM, UWT, etc- kumng'ang'ania Tiba tu inatia uwalakini, analake jambo.
 

Mr. Mwalu

JF-Expert Member
Feb 4, 2010
1,057
558
Mahela yote hayo anayomiliki bado anang'ang'ana na nyumba za NHC? Akatengeneze estate bana nasi tupange kwake!
 

jipitishe

Member
Sep 12, 2011
55
10
Kwani siku hizi Waziri (tobaijuka) ndo chombo cha malalamiko?, sabodo si akatoe malalamiko yake kwenye vyombo vingine huru: pccb, polisi, tume ya haki za binadamu, tume ya maadili ya watumishi wa umma, OWM, UWT, etc- kumng'ang'ania Tiba tu inatia uwalakini, analake jambo.
Naunga mkono hoja...
 

Majala Kimolo

JF-Expert Member
Aug 3, 2007
342
39
Hawana aibu hawa, nashauri itungwe sheria kila raia apate fursa ya kukaa kwenye nyumba hizi. Kanuni mojawapo ni kupangishwa kwa miaka mitano tu, baada ya hapo nenda kwenye nyumba yako uliyojenga au kapange sinza na maeneo mengine kama watanzania wote wanavyofanya. Kodi hawalipi, uchafuzi ndo kazi yao na hatimaye wanataka kupora kabisa eti wauziwe, hii ni aibu. Mmebebwa sana jengeni zenu muwapishe wataalam walioajiriwa hivi karibuni wawe jirani na ofisi za serikali watutumikie, kutwa miyo yao ipo juujuu kufikiria foleni, tupisheni jamani eeeeeeeeeeeeeeeeee
 

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
47,133
17,099
Kwani siku hizi Waziri (tobaijuka) ndo chombo cha malalamiko?, sabodo si akatoe malalamiko yake kwenye vyombo vingine huru: pccb, polisi, tume ya haki za binadamu, tume ya maadili ya watumishi wa umma, OWM, UWT, etc- kumng'ang'ania Tiba tu inatia uwalakini, analake jambo.

vyombo ulivyovitaja ushasikia walioenda wakataja watu wamechukuliwa atua..najiuliza kwa nini awampi nafasi akataje uozo na ameomba mh waziri akitaka aite wandishi wa habari yuko radhi lakini mama huyu anadanganywa na wafuasi wake kuficha upuuzi wa waliochini yake namwonea huuma kweli
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom