Hakika wana JF nawapongeza sana kwa habari na changamoto nyingi za maisha katika nyanja zote.
nimeamua nami niongezeke kwenye jamii ,ili tuzidi kubadilishana mawazo mbalimbali kati ya aliyekuwa na hili na
aliyekuwa na lile.
sasa tutakuwa pamoja mpaka mwisho utakapofika.