Kabisaa. Naanza hivi:chere louisie, voici ma mere,madame Nchinchila..........
Wanawake wa aina hii ni wachapakazi wakubwa mashambani ndio maana kipato chake kikamwezesha kumpata mtoto anayefahamiana na watu wa ufaransa!
Mleta mada hadi muda huu sijui unajisikiaje? Maana hakuna ambaye amekua na mawazo kama yako. Pole ndugu, ukikua utajua kosa lako. Huwezi kua na mbadala wa mama hata aweje............
Rafiki wa Paris umejuana nae muda mama ni wa milele, rafiki hana samani mbele ya mama. Nitamwambia huyu ndio mama yangu bila ya yeye basi hata hio Paris nigekuwa naiona kwenye Luninga tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.