If Nakuru's GDP is equal to Rwanda's, why is Nakuru town not even close to the beauty of Kigali city

Halafu wanapika Kijinga, hawana akili hawa, huwezi sema Nakuru yenye watu 1.5m iwe na GDP sawa naRwanda yenye watu milioni 10 wakati huo huo ukilinganisha Maendeleo ya Rwanda na Nakuru ni kama Mbingu na Ardhi,
Pengine tungetegemea kwa hiyo advantage ya population hiyo nakuru iwe first world kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado unaendeleza ujinga tu..pole sana jomba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chigali city iko slightly more developed but the rural areas of Rwanda are poorer than Nakuru. Nakuru iko na utajiri mkubwa kwa sababu ya vitu hivi.
1) Geothermal power stations in Naivasha generating more than 750 MW of power. Total cost of building these powerplants is more than $4 billion.
2) Flower industry in KE is mainly based in Naivasha. This industry exports more than $1 billion worth of flowers every year.
3.) Tourism. Naivasha is a top 3 tourist destination in KE. Mombasa and Masai Mara
are the only competitors. Naivasha has many high class tourist hotels.
4.) Molo is becoming an industrial town. Just last week the president opened a big cement plant. A milk processing plant was also opened recently.
5) Nakuru town itself is the fourth biggest urban area with more than a million residents and big industrial companies like Menengai oil. The value of goods and services generated in Nakuru town is sizeable.
So Rwanda can be compared with Nakuru, one of the richest counties in KE. If you think Rwanda is wealthier then tell me why, after all this is just a discussion.

Tz boy 4tino Mbekenga
Geza Ulole
Usijisumbue na hao jamaa, yani huaga wanapayuka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio ilitumika $4bn kujenga hiyo plant?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni mjinga namna gani? Ni wapi nilisema eti ni plant moja? Mbona umejaza maji kwa kichwa? Nimekwambia ni plant sita Olkaria one mpaka six. Ya kwanza ilijengwa miaka arubaini iliyopita. Wacha kusumbua watu kama huelewi chochote. Kukuelimisha ni kazi ngumu sana. Nenda kagoogle neno Ol karia
 
Back
Top Bottom